Tafuta mali isiyohamishika Tanzania โ nyumba, viwanja, ofisi na biashara kwa ununuzi, kodi au uwekezaji kupitia Gulio Iringa.
Higher price first
Check with seller
Nyumba za KUPANGA Iringa
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ 2026,2026,2026,2026 IRINGA MANISPA NAPANGISHA NYUMBA NZIMA, VYUMBA, FREMU,CONTENA. Welcome welcome โผ๏ธโผ๏ธโผ๏ธโผ๏ธโผ๏ธโผ๏ธโผ๏ธ Kodii kuanzia 30K....350, vyumba Kodii FREMU: kuanzia 50....500+ vilemba MAENEO YA ๐
ฐ๏ธ MKWAWA ๐
ฐ๏ธ ILALA ๐
ฐ๏ธ ISAKALILO ๐
ฐ๏ธ MKIMBIZI ๐
ฐ๏ธ DONIBOSCO ๐
ฐ๏ธ MAWELEWELE ๐
ฐ๏ธ KIGONZILE ๐
ฐ๏ธ TUMAINI, ๐
ฐ๏ธ KIHESA ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Shamba la Kilimo Linauzwa Iringa Ekari 16
SHAMBA LINAUZWA โ IRINGA Unatafuta shamba kubwa kwa ajili ya kilimo, ufugaji au uwekezaji? Hili ni fursa nzuri kwako. ๐ Mahali: Eneo la Ekari 16, takribani kilomita 25 kutoka Mji wa Iringa kuelekea Mbeya, na kilomita 1 tu kutoka Barabara Kuu ya IringaโMbeya. ๐ฟ Ukubwa wa Shamba: Ekari 16 ๐ฐ Bei: Shilingi Milioni 100 (maz...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Dalali Iringa | Nyumba, Viwanja na Ofisi za Kupanga
DALALI IRINGAMJINI โ NYUMBA, VIWANJA, MASHAMBA NA OFISI ZA KUPANGA IRINGA Je, unatafuta nyumba ya kuishi, kiwanja cha kujenga, shamba la kilimo au ofisi ya biashara kwa ajili ya kupangisha? Dalali Iringamjini tunakusaidia kupata mali unayoihitaji kwa haraka, kwa usalama na kwa bei inayokidhi mahitaji yako. Tunapatikana...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Kiwanja kipo mafinga nauza
BEI IMEVUNJWA UKUBWA WA KIWANJA MITA 25KWA 22. KIWANJA KIPO LUMWAGO MAFINGA IRINGA TANZANIA ๐น๐ฟ. BEI NI MILIONI MBILI. BARABARA, UMEME, MAJI, VYOTE VIPO JILANI. ๐ฒO768651525.
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Hotel Iringa Nzuri Huduma Bora
FJN Countryside Hotel ni sehemu sahihi na bora kwa ajili ya kufanyia vikao mbalimbali ndani ya Iringa Mjini. Tunatoa mazingira tulivu, safi na yenye utulivu yanayokufaa kwa vikao vya harusi, vikao vya kiofisi, mikutano ya kibiashara, warsha, mafunzo, kongamano, sherehe ndogo, pamoja na mikusanyiko mingine ya kijamii. U...
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Tuna design na tuna Jenga nyumba
Tuna design,tuna Jenga tuna Fanya makadilio ya ujenzi , ukarabati, landscape ( garden) designing,Tunatoa ushauri kabla na baada ya ujenzi,Tunabuni langi mbalimbali pia ,karibu tukupe huduma ๐ช ๐ ๐0673143486 IRINGA MJINI.
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Karibu Gentle Hills Hotel โ Iringa Tanzania
๐ฟ Karibu Gentle Hills Hotel โ Iringa, Tanzania ๐ฟ Enjoy comfort, relaxation, and unforgettable hospitality in the gentle hills of Gangilonga, Iringa. Whether you're traveling for business or leisure, Gentle Hills Hotel offers peaceful accommodation, modern rooms, delicious meals, and a welcoming environment for every gu...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Rent
Check with seller
Dalali wa Nyumba, Vyumba na Viwanja Iringa Tanzania
Dalali fadhili iringa ๐ KARIBU KWA HUDUMA BORA ZA UDALALI IRINGA ๐ Unatafuta nyumba ya kupanga, chumba, fremu ya biashara au kiwanja Iringa? Usihangaike tena! Tunakusaidia kupata sehemu nzuri, salama na yenye mazingira bora kulingana na bajeti yako. โ
๐ HUDUMA ZETU: โ๏ธ Nyumba za kupanga โ๏ธ Vyumba vya bei nafuu โ๏ธ Fremu...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Transaction: Sell
Check with seller
Dalali wa Nyumba Iringa | Viwanja, Mashamba na Magari
Dalali wa Nyumba, Viwanja, Mashamba na Magari Iringa Je, unatafuta nyumba ya kununua au kupanga, kiwanja cha kujenga, shamba la kilimo, gari, au fremu za biashara katika Mkoa wa Iringa? Umefika mahali sahihi. Tunatoa huduma za udalali wa kuaminika na kuwasaidia wateja kupata mali bora kulingana na mahitaji na bajeti za...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Viwanja vya Biashara Iringa | Viwanja Vinauzwa kwa Uwekezaji
Viwanja vya Biashara Vinauzwa Iringa โ Fursa Bora ya Uwekezaji Je, unatafuta kiwanja cha biashara Iringa kwa ajili ya kujenga maduka, ofisi, lodge, hotel, godown au mradi mwingine wa kibiashara? Hii ni fursa nzuri kwa wawekezaji na wafanyabiashara wanaotaka kupata maeneo yenye thamani kubwa na ukuaji wa haraka. Tunayo ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Affordable Apartments in Iringa Town | Lipilima Tower & Apartments
๐ข KARIBU LIPILIMA TOWER & APARTMENTS โ IRINGA TOWN ๐ข Unatafuta sehemu nzuri, tulivu na yenye huduma bora za malazi pamoja na working space ndani ya Iringa Town? โจ Lipilima Tower & Apartments ndio chaguo sahihi kwa ajili yako! ๐ LOCATION: Mshindo โ opposite na Total Petrol Station, Iringa Town. Eneo rahisi kufik...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Transaction: Rent
Check with seller
Mashamba Yanauzwa Iringa | Ihemi, Kising'a, Ulete, Ilula na Lulanzi
Mashamba Yanauzwa Iringa โ Fursa Kubwa ya Kilimo na Uwekezaji Je, unatafuta shamba kwa ajili ya kilimo, ufugaji au uwekezaji wa muda mrefu? Sasa fursa imepatikana ya kununua mashamba yenye ukubwa mbalimbali katika maeneo yenye rutuba na yanayofaa kwa shughuli za kilimo ndani ya Mkoa wa Iringa. Maeneo yanayopatikana: โ
...
Located: Iheme, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
