Nunua na uza bidhaa za kilimo, mazao, pembejeo, mifugo na zana za kilimo kupitia Gulio Iringa kwa wauzaji na wakulima Tanzania
6.00 TZS
FASM Super Sembe – Sembe Bora kwa Ugali Mtamu
🌽 FASM SUPER SEMBE – Chaguo Sahihi kwa Familia Yako! 🌽 Je, unatafuta sembe safi, laini na yenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya familia yako? FASM SUPER SEMBE ndiyo suluhisho bora kwa chakula chako cha kila siku. Tunakuletea sembe iliyosagwa kwa umakini mkubwa ili kuhakikisha unapata ugali mtamu, mweupe, laini na wen...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Sembe Bora Ihemi Iringa | Sembe Safi kwa Bei Nafuu
PATA SEMBE BORA YA MAHINDI KWA BEI NAFUU KUTOKA SEMBETOFAUTI IHEMI – IRINGA! 🌾 Je, unatafuta sembe safi, nyeupe, yenye ubora wa hali ya juu na inayopatikana kwa bei rafiki? Karibu Sembetofauti Ihemi, Iringa, mahali sahihi pa kupata sembe bora inayokidhi mahitaji ya familia, biashara, migahawa, hoteli na taasisi mbalimb...
Located: Iheme, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
Jiunge na Kozi ya Video Production dar es salaam
Karibu CCT kwenye kozi ya Graphics & Video! Jifunze kutengeneza content ya kitaalamu inayovutia, ya ubora wa juu kwa ajili ya mitandao ya kijamii, biashara, matangazo, na maudhui ya digital marketing. Kozi hii inafaa kwa wajasiriamali, wauzaji wa bidhaa, waundaji wa video na picha, pamoja na wote wanaotaka kuongeza...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
2.00 TZS
SHEBBY ALLY TUITION CENTRE
SHEBBY ALLY TUITION CENTRE HUDUMA ZETU: *MASOMO YA ZIADA (TUITION) KWA SHULE ZA MSINGI *MASOMO YA ZIADA(TUITION) KWA SHULE ZA SEKONDARI (O'LEVEL) *MASOMO YA ZIADA (TUITION) KWA A'LEVEL(ADVANCED) KATIKA MICHEPUO YA PCM,PCB,PGM,CBG,HKL,HGK,HGL,HGE,EGM *PRE FORM ONE KILA MWAKA *PRE FORM FIVE KILA MWAKA *ENGLISH COURSE *PR...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
2.00 TZS
Manhattan_gym_fitness
Welcome to Manhattan Fitness Gym in Mtoni Kijichi, Dar es Salaam, the perfect place to achieve your health and fitness goals. We offer modern workout programs including strength training, aerobics, yoga, and personal training under the guidance of a certified Fitness Trainer and Healthy Eating Consultant. Join us to ge...
Located: Mtoni, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Check with seller
Tunauza simu na vifaa vya simu
#AZIZI #PHONE #STORE 🛵 DELIVERY TIME ✅ 📴 MAKADUPA -IRINGA TUNAUZA SIMU NA VIFAA VYA SIMU AINA ZOTE ______&&& tunapatikana 🚧 🚧 ________ 🚧 IRINGA STAND YA ZAMAN JENGO LA MZALENDO CHUMBA NO 17 Deo Mwenda Abubakar Kimario Neema Mathias 53 Contact: 0717536412
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Nauza mayai ya kisasa
Unataka kuwa MILIONEA? Uza MAYAI ! Anza hata na trey chache. Soko ni Kubwa. Uzia Nyumbani, Dukani, Kibandani, Gengeni... Agiza sasa kutoka KILOMBERO KUKU FARM Tsh.6,000/= @ Trey Piga 0769217810. Whatsapp 0677988499. * Makubwa ya kisasa yenye kiini cha njano. * Tupo Kilombero, Morogoro - Tanzania. * Tunasafirisha mikoa ...
Located: Morogoro, Morogoro, TZ
9000.00 TZS
Kuku wa Nyama Wanaouzwa Iringa – Kuku Waliokomaa na Bei Nafuu
Kuku wa Nyama Wanaouzwa Iringa – Waliokomaa na Wenye Afya Bora Unatafuta kuku wa nyama Iringa kwa matumizi ya nyumbani au biashara? Tunauza kuku wa nyama waliokomaa vizuri, wenye afya bora na uzito unaofaa kwa soko. Kuku wetu wanatunzwa katika mazingira mazuri ili kuhakikisha wanakuwa na ubora unaokidhi mahitaji ya wat...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
