Tafuta nyumba na makazi Tanzania โ nyumba za kulala, apartments, nyumba za kodi na ununuzi kupitia Gulio Iringa kwa urahisi.
Check with seller
Ramani za nyumba iringa za kisasa
Kazi mpya hii kutoka DBD ipo kwenye mchakato wa kukamilika Haina mteja hii na ukipata ni ya kwako pekeako hihi design ๐ Ramani hii ni mchangayiko wa SOBA HOUSE (Round house) na hidden roof (flat roof) ni jengo lenye mvuto wa kipekee na decorations zenye mvuto wake , swimming pool,pia Ra yake ni minimalist creen sanaaa ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Lodge Bora Iringa Mjini | Eagle Lodge Mkwawa
๐จ EAGLE LODGE IRINGA โ SEHEMU BORA YA MAPUMZIKO, BIASHARA NA MAKAZI YA MUDA MFUPI ๐จ Karibu Eagle Lodge Iringa, mahali ambapo faraja, usalama na huduma bora hukutana ili kukupa uzoefu wa kipekee kila unapofika. Iwe unasafiri kikazi, likizo, masomo, semina, au matembezi ya kifamilia, Eagle Lodge ndiyo chaguo sahihi kwa m...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Rent
Check with seller
Nyumba ya Vyumba 4 Inauzwa Isakalilo Iringa kwa Milioni 35
๐ก NYUMBA INAUZWA โ ISAKALILO, IRINGA ๐ก Unatafuta nyumba kubwa ya familia katika eneo zuri na linalokua kwa kasi? Hii ni fursa yako ya kumiliki nyumba yenye nafasi kubwa na mazingira mazuri katika eneo la Isakalilo, Iringa. โ
Maelezo ya Nyumba: Vyumba 4 vya kulala Sebule kubwa Dining room Jikoni Vyoo na mabafu Veranda y...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Buy
Check with seller
Affordable Apartments in Iringa Town | Lipilima Tower & Apartments
๐ข KARIBU LIPILIMA TOWER & APARTMENTS โ IRINGA TOWN ๐ข Unatafuta sehemu nzuri, tulivu na yenye huduma bora za malazi pamoja na working space ndani ya Iringa Town? โจ Lipilima Tower & Apartments ndio chaguo sahihi kwa ajili yako! ๐ LOCATION: Mshindo โ opposite na Total Petrol Station, Iringa Town. Eneo rahisi kufik...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Transaction: Rent
Check with seller
Dalali wa Nyumba, Vyumba na Viwanja Iringa Tanzania
Dalali fadhili iringa ๐ KARIBU KWA HUDUMA BORA ZA UDALALI IRINGA ๐ Unatafuta nyumba ya kupanga, chumba, fremu ya biashara au kiwanja Iringa? Usihangaike tena! Tunakusaidia kupata sehemu nzuri, salama na yenye mazingira bora kulingana na bajeti yako. โ
๐ HUDUMA ZETU: โ๏ธ Nyumba za kupanga โ๏ธ Vyumba vya bei nafuu โ๏ธ Fremu...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Transaction: Sell
Check with seller
Karibu Gentle Hills Hotel โ Iringa Tanzania
๐ฟ Karibu Gentle Hills Hotel โ Iringa, Tanzania ๐ฟ Enjoy comfort, relaxation, and unforgettable hospitality in the gentle hills of Gangilonga, Iringa. Whether you're traveling for business or leisure, Gentle Hills Hotel offers peaceful accommodation, modern rooms, delicious meals, and a welcoming environment for every gu...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Rent
Check with seller
Nyumba za KUPANGA Iringa
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ 2026,2026,2026,2026 IRINGA MANISPA NAPANGISHA NYUMBA NZIMA, VYUMBA, FREMU,CONTENA. Welcome welcome โผ๏ธโผ๏ธโผ๏ธโผ๏ธโผ๏ธโผ๏ธโผ๏ธ Kodii kuanzia 30K....350, vyumba Kodii FREMU: kuanzia 50....500+ vilemba MAENEO YA ๐
ฐ๏ธ MKWAWA ๐
ฐ๏ธ ILALA ๐
ฐ๏ธ ISAKALILO ๐
ฐ๏ธ MKIMBIZI ๐
ฐ๏ธ DONIBOSCO ๐
ฐ๏ธ MAWELEWELE ๐
ฐ๏ธ KIGONZILE ๐
ฐ๏ธ TUMAINI, ๐
ฐ๏ธ KIHESA ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Nyumba inauzwa mafinga Iringa
Nyumba ipo mafinga luganga ukubwa wa uwanja MITA 40 kwa 70 bei milioni 23 lipa milioni 18 milioni 5 nakupa miezi 6 utamalizia hata Leo njoo kagua
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Kiwanja kipo mafinga nauza
BEI IMEVUNJWA UKUBWA WA KIWANJA MITA 25KWA 22. KIWANJA KIPO LUMWAGO MAFINGA IRINGA TANZANIA ๐น๐ฟ. BEI NI MILIONI MBILI. BARABARA, UMEME, MAJI, VYOTE VIPO JILANI. ๐ฒO768651525.
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
Kiwanja kinauzwa ipogolo
๐ฒ *Haya! Haya! Hayaaaa!!!...*๐ฒ๐๐ Kile *(KIWANJA KIZURI) SAANA* Cha *(PALE IPOGOLO)* Mkoani *(IRINGA)* Bado Kipo -KIWANJA *(KIPO KLM 3)* From ๐ *(CITY CENTER)* -KIWANJA kinafikika GARI inafika *(MPAKA๐SAITI)* -KIWANJA KIPO Kwa JUU Sio *(BONDENI)* -KIWANJA KINAFAA Kwa *(UWEKEZAJI)* kama Vile *(SHAMBA)* ๐ *(YADI)* au *(GO...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
2.00 TZS
Nyumba za Kupanga Iringa Bei Nafuu na Makazi Bora
*๐ข UNAHITAJI CHUMBA/NYUMBA YA KUPANGA AU FRAME YA BIASHARA?* Usijisumbue tena! Tunapangisha vyumba safi, salama na bei nafuu Iringa Mjini ๐ โ
*FRAME ZA BIASHARA MJINI* ๐Kuna frame ya 250K Mjini, Karibu Ofisi Za Vyunjabei ๐Kuna frame ya 250k Kitanzini karibu na ofisi za vyumjabei kodi 250k โ
*Single Room:* 25kโ50k โ
*Se...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
Nyumba za zinazouzwa Iringa Ofa Bora za Makazi
๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ KARIBU, *IRINGA MJINI VYUMBA* , *APARTMENT* , *NYUMBA NZIMA* , *FREMU&CONTENA* โญโญVYUMBA vinapatikana: Maeneo ya: ๐ Isakalilo ๐Zizi ๐Mlandege ๐Kwa kilosa ๐ Mkimbizi ๐ Mawelewele ๐Donibosco ๐Kihesa ๐Tumaini ๐Mkwawa ๐Ikonongo ๐Itamba ๐Wilolesi ๐Gangilonga ๐ Ipogolo ๐ Kitwiru ๐Mwangata ๐Kigamboni ๐ Kig...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
