Viwanja vya Biashara Vinauzwa Iringa – Fursa Bora ya Uwekezaji
Je, unatafuta kiwanja cha biashara Iringa kwa ajili ya kujenga maduka, ofisi, lodge, hotel, godown au mradi mwingine wa kibiashara? Hii ni fursa nzuri kwa wawekezaji na wafanyabiashara wanaotaka kupata maeneo yenye thamani kubwa na ukuaji wa haraka.
Tunayo viwanja vya biashara katika maeneo mbalimbali ya Iringa yenye miundombinu mizuri ya barabara, umeme na maji. Viwanja hivi vinafaa kwa shughuli mbalimbali za biashara na uwekezaji wa muda mrefu.
Faida za viwanja vya biashara: ✔ Eneo lenye ukuaji wa haraka wa biashara
✔ Miundombinu ya barabara inayofikika kirahisi
✔ Hati na nyaraka zinazotambulika kisheria
✔ Mazingira salama kwa uwekezaji
✔ Thamani ya ardhi kuongezeka kila mwaka
Kama unahitaji kiwanja kwa ajili ya kujenga fremu za biashara, kituo cha mafuta, ofisi, maghala au biashara nyingine yoyote, wasiliana nasi upate maelezo zaidi kuhusu maeneo yanayopatikana na bei zake.
📍 Iringa, Tanzania
📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi
Mimi MUUZAJI wa mabelo ya mitumba OG nauza bidhaa bora zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu. Nauza shuka safi na nene, suruali za kike na kiume, nguo bora za watoto, pamoja na nguo za wakubwa kwa matumizi ya kila siku na hafla mbalimbali. Mitumba yangu huchaguliwa kwa umakini, iko katika hali nzuri na inavutia wateja. Nafaa kwa rejareja na jumla, bei ni rafiki na zinajadiliwa. Karibu ununue mitumba OG ya kuaminika, huduma ya haraka na uaminifu wa hali ya juu. Tunapokea oda na kusafirisha ndani na nje ya mkoa.
*••• USAJILI WA JINA LA BIASHARA* *••• USAJILI WA LESENI YA BIASHARA* *••• USAJILI WA KAMPUNI* *••• USAJILI WA TIN NUMBER* *••• USAJILI WA BASATA* *••• KU RENEW LESENI YA BIASHARA* *••• KU RENEW BUSINESS NAME* *••• USAJILI WA WATERMARK (LOGO)* *••• TAX CLEARANCE* *••• DETAIL INFORMATIONS ABOUT BUSINESS NAME* *••• DETAI...
Mashamba Yanauzwa Iringa – Fursa Kubwa ya Kilimo na Uwekezaji Je, unatafuta shamba kwa ajili ya kilimo, ufugaji au uwekezaji wa muda mrefu? Sasa fursa imepatikana ya kununua mashamba yenye ukubwa mbalimbali katika maeneo yenye rutuba na yanayofaa kwa shughuli za kilimo ndani ya Mkoa wa Iringa. Maeneo yanayopatikana: ✅ ...
Dalali wa Nyumba, Viwanja, Mashamba na Magari Iringa Je, unatafuta nyumba ya kununua au kupanga, kiwanja cha kujenga, shamba la kilimo, gari, au fremu za biashara katika Mkoa wa Iringa? Umefika mahali sahihi. Tunatoa huduma za udalali wa kuaminika na kuwasaidia wateja kupata mali bora kulingana na mahitaji na bajeti za...
DALALI IRINGAMJINI – NYUMBA, VIWANJA, MASHAMBA NA OFISI ZA KUPANGA IRINGA Je, unatafuta nyumba ya kuishi, kiwanja cha kujenga, shamba la kilimo au ofisi ya biashara kwa ajili ya kupangisha? Dalali Iringamjini tunakusaidia kupata mali unayoihitaji kwa haraka, kwa usalama na kwa bei inayokidhi mahitaji yako. Tunapatikana...
SHAMBA LINAUZWA – IRINGA Unatafuta shamba kubwa kwa ajili ya kilimo, ufugaji au uwekezaji? Hili ni fursa nzuri kwako. 📍 Mahali: Eneo la Ekari 16, takribani kilomita 25 kutoka Mji wa Iringa kuelekea Mbeya, na kilomita 1 tu kutoka Barabara Kuu ya Iringa–Mbeya. 🌿 Ukubwa wa Shamba: Ekari 16 💰 Bei: Shilingi Milioni 100 (maz...
GODOWN KUBWA YA KUPANGISHA IRINGA INDUSTRIAL AREA 🏢 Unatafuta godown ya kisasa kwa ajili ya kuhifadhi bidhaa, vifaa vya biashara au shughuli za uzalishaji? Fursa hii ni kwa ajili yako. Inapangishwa godown kubwa yenye ukubwa wa mita za mraba 1,000 (SQM 1000) iliyopo katika Industrial Area, Iringa, eneo linalofikika kwa ...
Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.
Wakuu kuna haya Mashamba yanauzwa, Kama una mzigo we ruka na mojawapo: Iringa, Wilaya ya Mafinga, Kata ya Mdabulo, Isipii. 1. Ekari 10: Shamba na Miti Pine (miaka 8) -> 15.5M 2. Ekari 20: Shamba na Miti Pine (miaka 7) -> 24M 3. Ekari 20: Shamba na Miti Pine (miaka 5) -> 18M 4. Ekari 5 - Shamba -> 2.1M 🎯Mao...