Tangaza huduma zako kupitia Gulio Iringa Pata huduma za ufundi, ujenzi, IT, usafiri, usafi na biashara zote sehemu moja.
Higher price first
2.00 TZS
Neema beauty spa salon
Quality & Natural Beauty Salon Sed ut perspiciatis unde omnis iste natus error sit voluptatem accusantium doloremque laudantium totam rem aperia eaque ipsa quae abillo inventore veritatis quasi architecto beatae vitae dicta sunt explicabo. Nemo enim quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit sed consequuntur m...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
G’S Contractors Co. Ltd iringa
G’S Contractors Co. Ltd ni kampuni inayoongoza mkoani Iringa katika utoaji wa huduma za ujenzi wa majengo na miradi ya civil engineering. Tunajivunia taaluma, uzoefu na uaminifu katika kutekeleza miradi mikubwa na midogo kwa viwango vya kimataifa. Timu yetu ya wataalamu imebobea katika ujenzi wa nyumba za kisasa, majen...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Check with seller
Fundi Bomba Iringa | Erneo Plumbing
🔧 KARIBU ERNEO PLUMBING – FUNDI BOMBA MWENYE UZOEFU NA UBORA IRINGA! 🔧 Unatafuta fundi bomba wa kuaminika kwa kazi za maji nyumbani, ofisini au kwenye jengo lako? Karibu Erneo Plumbing kwa huduma za uhakika, ubora wa hali ya juu na bei nafuu. Tunafanya kazi mbalimbali za plumbing ikiwemo: ✅ Ufungaji wa mabomba ya maji ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Turnbull Technical Training College Iringa | Kozi za Ufundi na Kompyuta
TURNBULL TECHNICAL TRAINING COLLEGE Kumbuka: Tunapatikana Mkoani Iringa, Iringa mjini kabisa Gangilonga- Sabasaba Jengo la UVCCM kata kwa kozi zifuatazo: 1: Kozi ya Ubunifu wa mavazi 2: Kozi ya ufumaji 3: Kozi ya Ususi na Urembo 4: Kozi ya Upambaji wa Kumbi na Keki 💥Vilevile tunapatikana Kihesa Majembe Barabara inayoel...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Wauzaji wa furniture za ndani
Karibu kwenye duka letu la furniture za ndani, ambapo tunauza aina zote za samahani, sofa, meza za jikoni na sebule, viti vya kuburudisha, kabati, rafu, na mapambo ya nyumbani kwa ubora wa hali ya juu. Tunahakikisha kila bidhaa inakidhi mahitaji yako ya mtindo, uimara, na unafuu. Kwa bei nafuu na huduma bora, unaweza k...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Usajili wa Kampuni na Jina la Biashara Tanzania | TIN, BASATA na Leseni
*••• USAJILI WA JINA LA BIASHARA* *••• USAJILI WA LESENI YA BIASHARA* *••• USAJILI WA KAMPUNI* *••• USAJILI WA TIN NUMBER* *••• USAJILI WA BASATA* *••• KU RENEW LESENI YA BIASHARA* *••• KU RENEW BUSINESS NAME* *••• USAJILI WA WATERMARK (LOGO)* *••• TAX CLEARANCE* *••• DETAIL INFORMATIONS ABOUT BUSINESS NAME* *••• DETAI...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Usajili wa Biashara, Mikataba na Graphics Design Tanzania
Je, unaanzisha biashara mpya au unahitaji nyaraka rasmi za biashara yako? Tunakupa huduma za kitaalamu za usajili, maandalizi ya mikataba na ubunifu wa kibiashara kwa haraka na uhakika. HUDUMA ZA USAJILI ✅ Usajili wa Jina la Biashara (Business Name) ✅ Usajili wa Kampuni ✅ Usajili wa Leseni ya Biashara ✅ Usajili wa TIN ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Fundi Gypsum Iringa | Gypsum Ceiling na Wall Molding
FUNDI GYPSUM IRINGA – UBORA UNAONEKANA Je, unajenga nyumba mpya au unafanya ukarabati wa nyumba yako? Karibu kwa huduma bora za Gypsum na Interior Decoration Iringa. Tunabadilisha mwonekano wa nyumba, ofisi, hoteli, migahawa na biashara mbalimbali kwa kutumia gypsum za kisasa na wall molding zenye muonekano wa kifahari...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Check with seller
IRINGA MAKEOVER (I.M.O) | Makeup Artist Bora Iringa
IRINGA MAKEOVER (I.M.O) – Ubora wa Urembo Unaokufanya Uonekane wa Kipekee! ✨ Je, unatafuta huduma bora za makeup kwa harusi, send-off, graduation, birthday, kitchen party, photoshoot au tukio lolote muhimu? Karibu IRINGA MAKEOVER (I.M.O), mahali ambapo uzuri wako unapewa thamani na kuangaziwa kwa kiwango cha hali ya ju...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Tunatoka mikopo kwa watumishi
𝗙𝗔𝗡𝗜𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗠𝗜𝗖𝗥𝗢𝗙𝗜𝗡𝗔𝗡𝗖𝗘. 𝖳𝖺𝖺𝗌𝗂𝗌𝗂 𝗂𝗇𝖺𝗒𝗈𝗍𝗈𝖺 𝗆𝗂𝗄𝗈𝗉𝗈 𝗄𝗐𝖺 𝗐𝖺𝗍𝗎𝗆𝗂𝗌𝗁𝗂 𝗐𝖺 𝖴𝖬𝖬𝖠 𝗒𝖾𝗇𝗒𝖾 𝗋𝗂𝖻𝖺 𝗇𝖺𝖿𝗎𝗎 𝗓𝖺𝗂𝖽𝗂. 𝖪𝗎𝖻𝗐𝖺 𝗄𝗎𝗅𝗂𝗄𝗈 𝗎𝗇𝖺𝗁𝗎𝖽𝗎𝗆𝗂𝗐𝖺 𝗉𝗈𝗉𝗈𝗍𝖾 𝗄𝗐𝖺 𝗇𝗃𝗂𝖺 𝗒𝖺 𝗌𝗂𝗆𝗎 𝗍𝗎. 𝖶𝖺𝗌𝗂𝗅𝗂𝖺𝗇𝖺 𝗇𝖺𝗌𝗂.𝗄𝗐𝖺 𝗇𝖺𝗆𝖻𝖺 0620673040/0768417146. 𝖠𝗎 𝗍𝗎𝗆𝖺 𝗍𝗎 𝗎𝗃𝗎𝗆𝖻𝖾
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Udahili RUCU 2026/2027 Wazi Sasa – Omba Bure Leo
NEW MONTH. NEW BEGINNING. NEW FUTURE. Welcome to June 2026 — a month filled with new opportunities, fresh goals, and life-changing decisions. This month, take a bold step toward your future by joining Ruaha Catholic University (RUCU), where knowledge, skills, and values come together to shape tomorrow's leaders. Admiss...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
HUDUMA ZA UFUNDI UMEME NA SOLAR IRINGA MJINI ☀️🏠
HUDUMA ZA UFUNDI UMEME NA SOLAR IRINGA MJINI ☀️🏠 Je, unahitaji fundi umeme wa kuaminika kwa nyumba, biashara, ofisi au mradi wako wa ujenzi? Sisi ni wataalamu wa ufundi umeme na mifumo ya nishati ya sola (Solar) wenye uzoefu wa kutosha kuhakikisha kazi yako inafanyika kwa ubora wa hali ya juu na kwa viwango vya kisasa....
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
