Search

Check with seller
Usajili wa Biashara, Mikataba na Graphics Design Tanzania

QR CODE
🤝Mikataba
Posted 1 day ago
1 views
USITUME PESA BILA KUONANA NA MUUZAJI
  • Usajili wa Biashara, Mikataba na Graphics Design Tanzania - 1

Usajili wa Biashara, Mikataba na Graphics Design Tanzania

Check with seller
QR CODE
🤝Mikataba
Posted 1 day ago
1 views

Maelezo

Je, unaanzisha biashara mpya au unahitaji nyaraka rasmi za biashara yako? Tunakupa huduma za kitaalamu za usajili, maandalizi ya mikataba na ubunifu wa kibiashara kwa haraka na uhakika.
HUDUMA ZA USAJILI
✅ Usajili wa Jina la Biashara (Business Name)
✅ Usajili wa Kampuni
✅ Usajili wa Leseni ya Biashara
✅ Usajili wa TIN Number
✅ Usajili wa BASATA
✅ Usajili wa NEST
✅ Tax Clearance Certificate
✅ Usajili wa Watermark (Logo)
✅ Renewal ya Leseni ya Biashara
✅ Renewal ya Business Name
✅ Taarifa za Kampuni na Majina ya Biashara
✅ Kupatikana kwa Namba ya NIDA Iliyopotea
MAANDALIZI YA MIKATABA
📄 Mkataba wa Pango la Nyumba
📄 Mkataba wa Pango la Biashara
📄 Mkataba wa Mauziano ya Kiwanja
📄 Mkataba wa Mauziano ya Nyumba
📄 Mkataba wa Ushirikiano wa Biashara
📄 Mkataba wa Ajira
📄 Mkataba wa Huduma (Service Agreement)
📄 Mkataba wa Madeni na Malipo
📄 Barua za Makubaliano (Agreements)
📄 Nyaraka mbalimbali za biashara na uwekezaji
HUDUMA ZA GRAPHICS DESIGN
🎨 Logo Design
🎨 Posters na Mabango
🎨 Flyers na Brochures
🎨 Business Cards
🎨 Lebo za Bidhaa
🎨 YouTube Thumbnails
🎨 AI Video Advertisements
🎨 Stickers
🎨 ID Cards
🎨 Magazines
🎨 T-Shirt Printing
🎨 Na huduma nyingine nyingi za ubunifu
KWA NINI UTUCHAGUE?
✔ Huduma za haraka na uhakika
✔ Wataalamu wenye uzoefu
✔ Bei nafuu na huduma bora
✔ Usajili na maandalizi ya nyaraka kwa njia ya mtandaoni
✔ Msaada kwa wafanyabiashara, wawekezaji na kampuni
Wasiliana Nasi
📞 0772 509 183

Vigezo

Sifa: New
Malipo: Sell
Mimi MUUZAJI wa mabelo ya mitumba OG nauza bidhaa bora zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu. Nauza shuka safi na nene, suruali za kike na kiume, nguo bora za watoto, pamoja na nguo za wakubwa kwa matumizi ya kila siku na hafla mbalimbali. Mitumba yangu huchaguliwa kwa umakini, iko katika hali nzuri na inavutia wateja. Nafaa kwa rejareja na jumla, bei ni rafiki na zinajadiliwa. Karibu ununue mitumba OG ya kuaminika, huduma ya haraka na uaminifu wa hali ya juu. Tunapokea oda na kusafirisha ndani na nje ya mkoa.

Matangazo mengine ya muuzaji huyu

Comments

No comments has been added yet, be first to comment this ad!
Tuma maoni

Guliostore's profile

Guliostore
Guliostore Registered for 10+ months Last online 2 hours ago
Seller's description No description left by seller

Contact Guliostore (seller)

    Usajili wa Biashara, Mikataba na Graphics Design Tanzania - 1
    Usajili wa Biashara, Mikataba na Graphics Design Tanzania
    Check with seller
    To protect against prohibited activities, we may check your message before it is forwarded to the recipient and, if necessary, block it.

    Seller details Details

    Guliostore
    Guliostore
    29 active listings
    Non-Professional seller
    Registered for 10+ months
    Last online 2 hours ago
    Contact All items

    Listing location

    Iringa Mjini, Iringa, Iringa, Tanzania
    -7.76667, 35.7

    Stay safe!

    Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.
    Usajili wa Biashara, Mikataba na Graphics Design Tanzania
    Check with seller Usajili wa Biashara, Mikataba na Graphics Design Tanzania by Guliostore
    Js