Nauza mashati ya kiume ya mtumba grade A, ubora wa hali ya juu na bado mapya kwa kuvaa.
✔️ Yanapatikana kwa rangi na design mbalimbali
✔️ Ubora wa kudumu na muonekano wa kisasa
✔️ Bei nafuu na inakubaliana
Mahali:
Iringa mjini
Mawasiliano: 0657693380
Piga/Sms/WhatsApp kwa maelezo zaidi