TANGAZO LA KAZI

Check with seller
Published date: September 23, 2025
Modified date: October 1, 2025
  • Location: Zizi, Iringa, Iringa, Tanzania
#NAFASI_ZA_KAZI YA_KUSAMBAZA_TAARIFA
Wanahitajika watu watakao fanya kazi ya kusambaza taarifa za kampuni ya Gcat International Company Limited

Taarifa za huduma inayotolewa na kampuni kwa kutumia simu yako ya mkononi/ Smart phone.
NOTE:
* Nilazima uwe na simu kubwa/ Smart phone
* Uwe Iringa tu
* Uwe na bidii ya kazi
* Elimu kuanzia kidato cha nne mpaka chuo

MALIPO
* Malipo yapo ya aina mbili (Malipo ya kila siku na kila mwisho wa mwezi) yote utapata.
* Kima cha chini kwa malipo ni (Kwa siku 20,000/= na kwa mwezi ni 350,000/=)

Wote mnakaribishwa, Ofisi ipo IRINGA mjini maeneo karbu na zizi
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba
0653880934☎️

Contact seller Share

25 page views

Comments

    Leave your comment (spam and offensive messages will be removed)

    Privacy Policy