Nauza kuku wa kisasa wenye afya nzuri na waliokuzwa kwa chakula bora.
Unapata kuku bora kwa ajili ya biashara, sherehe, au matumizi ya nyumbani. Bei zetu ni nafuu na unaweza kupata kwa rejareja au jumla.
π Napatikana kihesa Iringa
π Wasiliana nami kwa maelezo zaidi
0718603656
0742610610