Nauza masweta mazuri ya mtumba grade A, ubora wa hali ya juu na bado mapya kwa kuvaa. Yanafaa kwa msimu wa baridi na yana muonekano wa kisasa.
π Bei ni nafuu na inakubaliana
π Yanapatikana kwa rangi na size tofauti
Mahali:
Iringa mjini
Mawasiliano: 0624589320
Piga/Sms/WhatsApp kwa maelezo zaidi