Nauza kuku wa nyama waliokomaa vizuri, wenye afya bora na wanakua haraka.
Kuku wanapatikana kwa bei nafuu na mzuri kwa biashara au matumizi ya nyumbani.
Maelezo ya Ziada:
✅ Kuku wazima na wenye uzito wa kutosha
✅ Bei nafuu kwa jumla na rejareja
✅ Napatikana Iringa
Mawasiliano:
Piga/SMS: 0760812258