Higher price first
Matangazo ya kipekee
Premium
Wasiliana na muuzaji
Machimbo ya nguo za mtumba
"Tunazo balo zote za nguo za mtumba! Balo zetu zinapatikana kwa ukubwa na rangi mbalimbali, zikihakikisha nguo zako zinahifadhiwa kwa usafi na urahisi. Pata balo zenye ubora wa juu kwa bei nafuu zinazokidhi bajeti yako. Huduma yetu ya kirafiki na ushauri wa kitaalamu itakuwezesha kuchagua balo inayokufaa zaidi. Tembele...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
100000.00 TZS
Nauza nguo
Nauza nguo za mtumba za kiume mtumba jumla na na na na na na na na
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Mabegi ya mgongoni ya mtumba
Unatafuta mabegi ya mgongoni ya mtumba yenye ubora, mtindo na bei nafuu? Karibu kwenye duka letu la mtumba ambapo tunauza Mabelo ya mabegi safi, imara na yaliyochaguliwa kwa makini ili kukidhi mahitaji yako ya kila siku. Tunayo mabegi ya rangi na ukubwa mbalimbali, zinazofaa kwa wanafunzi, wafanyakazi, na watu wanaopen...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Belo la viatu vya mtumba
NAFUU & BORA โ BELO LA VIATU VYA MTUMBA Nauza belo la viatu vya mtumba kwa bei nafuu sana. Viatu vipo katika hali nzuri, vinafaa kuuzwa upya (resale) kwa faida. โ Viatu vya kiume & kike โ Mchanganyiko wa sports, rasmi na casual โ Ubora mzuri (Grade A/B) โ Bei poa kwa wafanyabiashara ๐ Mahali: dar es salaam ๐ฆ Tu...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tshirt Kali za mtumba
Tunauza Belo zaT-shirt kali za mtumba zenye ubora mzuri na mitindo ya kuvutia. Zipo kwenye hali nzuri, hazijachakaa, rangi bado ziko fresh na kitambaa kizito kinachodumu. Zinapatikana kwa size na design mbalimbali, zinafaa kuvaa kila siku, matembezi, kazi au mitoko. Bei ni nafuu sana ukilinganisha na ubora wake. Wasili...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Boyfriend jeans za mtumba
Unatafuta mabelo ya mtumba ya boyfriend jeans ambayo ni safi, nzuri na za kudumu? Tuna mabelo ya grade 1, ambayo yanaubora wa kipekee, hayajashonwa, na yamehifadhi rangi asili. Ni kamili kwa mitindo ya kila siku, shuleni au mapumziko. โ
Grade 1 โ Ubora wa juu, kama mpya โ
Mitindo ya kisasa โ Boyfriend jeans zinazokubal...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Pochi nzuri za mtumba
Unatafuta mabelo ya pochi za wanawake yenye ubora na mitindo kwa bei nafuu? Karibu kwenye duka letu la mtumba ambapo tunauza mabelo ya pochi za kila aina kwa wanawake wa rika zote. Pochi zetu ni safi, imara, na zimechaguliwa kwa uangalifu ili kuhakikisha zinakidhi mahitaji yako ya mtindo na matumizi ya kila siku. Tunay...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Masweta mazuri ya mtumba
Mashati ya Kiume ya Mtumba โ Daraja la Kwanza! ๐ Tunauza mashati ya kiume ya mtumba yaliyochaguliwa kwa umakini, yakiwa katika hali bora, safi na yenye mitindo ya kisasa. Yanapatikana kwa bei nafuu sana, yanafaa kwa kazi, ofisi, sherehe au matumizi ya kila siku. ๐ Ubora wa juu ๐ Bei rafiki ๐ Mitindo mbalimbali ๐ Huduma...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nunua Mabegi ya Shule ya Mtumba kwa Bei Nafuu
Tunauza mabelo ya mabegi ya shule ya mtumba kwa bei nafuu sana kwa wauzaji na walimu wa biashara. Mabegi ni imara, yanadumu, na yana miundo mbalimbali kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari. โ Mabegi original ya mtumba โ Bei ya jumla (wholesale) โ Inafaa kwa wafanyabiashara wanaoanza au waliopo โ Usafir...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Mashuka ya mtumba grade 1 ubora wa juu
Unatafuta mashuka ya mtumba grade 1 yenye ubora wa hali ya juu? Napatikana Iringa Mjini na nauza mashuka safi, imara, yenye rangi nzuri na yanayodumu muda mrefu. Kila shuka linaweza kutumika kwa matumizi ya nyumbani, nyumba za kulala wageni, hosteli, au matumizi ya kawaida. Mashuka yangu ya mtumba grade 1 yamechaguliwa...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nguo za mtumba grade one
Tunauza nguo za mtumba Grade One zenye ubora wa hali ya juu, karibu mpya, hazijachanika wala kuchuja rangi. Zipo kwa wanaume, wanawake na watoto. โ
Mitindo ya kisasa โ
Chaguo nyingi (mashati, suruali, magauni, track suit n.k.) โ
Bei nafuu sana โ
Unakaribishwa kuchagua mwenyewe ๐ Mahali: dar es salaam ๐ Wasiliana nasi k...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
nguo za watoto za mtumba
Niongeze picha ya know I have to
Located: Dar es Salaam, TZ
Check with seller
Mimi fundi
Nauza magaruo
Located: Bwaga, Kigoma, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
