Premium listings
Premium
Wasiliana na muuzaji
Mashuka ya Mtumba grade 1 Bei Nafuu Dar es Salaam
Unatafuta mashuka safi na zenye ubora wa kipekee? Tuna mashuka ya mtumba Grade 1 ambayo yamehifadhi rangi na unyevunyevu, kamili kwa nyumba, hoteli, au matumizi ya kila siku. ✅ Grade 1 – Ubora wa hali ya juu ✅ Bei Nafuu – Thamani kubwa kwa pesa yako ✅ Mitindo Mbalimbali – Kubwa, ndogo, na rangi mbalimbali ✅ Inapatikana...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza jezi za mtumba
Nauza Belo za jezi za mtumba bora kabisa 🔥 Jezi original za timu kubwa Ulaya na Afrika, zikiwa kwenye hali nzuri sana na bei nafuu. Zinapatikana kwa size zote, zinafaa kwa kuvaa, mazoezi au biashara ya rejareja. 📦 Tunatoa huduma ya usafirishaji 💰 Bei poa kulingana na ubora 📞 Wasiliana nasi sasa upate jezi zako mapema!
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni Mazuri ya Mtumba Bei Nafuu na Ubora Bora Sokoni
Unatafuta magauni mazuri ya mtumba yenye mitindo ya kipekee na bei nafuu? Karibu kwenye duka letu la mtumba ambapo tunauza magauni ya kisasa, ya rangi tofauti na saizi mbalimbali. Tunayo magauni mazuri ya mtumba kwa wanawake wa rika zote, kuanzia casual hadi formal. Magauni yetu ni safi, yaliyochaguliwa kwa uangalifu i...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nunua Suruali za Mtumba za Kiume Bei Nafuu
Tunauza mabelo ya suruali za mtumba za kiume kwa bei ya jumla (wholesale) kwa wafanyabiashara na wauzaji wakubwa na wadogo. Suruali ni original, zenye ubora mzuri na zinadumu kwa matumizi ya muda mrefu. ✔ Suruali za jeans, kitambaa na cargo ✔ Bei nafuu sana kwa mabelo ✔ Inafaa kwa biashara ya soko, duka au online ✔ Sai...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Gauni nzuri ya mtumba
BELO ZA GAUNI NZURI ZA MTUMBA ZIPO! 🌸 Unatafuta gauni la kisasa, maridadi na kwa bei nafuu? Tunazo gauni nzuri za mtumba zenye ubora wa hali ya juu, mitindo ya kisasa na rangi zinazovutia 💃 ✅ Bei nafuu ✅ Ubora mzuri ✅ Mitindo mbalimbali (kazini, sherehe, outing) 📦 Usafirishaji unapatikana 📞 Wasiliana nasi sasa upate ga...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nguo za mtumba za watoto
Nguo za Mtumba za Watoto – Safi na Bei Nafuu! Tunauza nguo bora za watoto kuanzia miezi 0 hadi miaka 12. Mchanganyiko wa magauni, suruali, t-shirt, mashati na seti kamili. ✔ Jumla & rejareja ✔ Quality grade A ✔ Bei kuanzia Tsh 500/= kwa kipande ✔ Delivery Tanzania nzima
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
100000.00 TZS
Nauza nguo
Nauza nguo za mtumba za kiume mtumba jumla na na na na na na na na
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
nguo za watoto za mtumba
Niongeze picha ya know I have to
Located: Dar es Salaam, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
nguo za watoto za mtumba
Tafuta nguo za watoto za mitumba zenye ubora wa juu na mitindo ya kisasa! Tunauza: Shuka na suruali za watoto T-shirts, jackets, na nguo za michezo Nguo za shule na mitindo ya kila siku Bei nafuu, chaguo nyingi, na nguo zimehifadhiwa vizuri. Nzuri kwa watoto wadogo na wa shule. 📍 Pata kwenye soko zetu za Kariakoo, Bugu...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Pata magauni mazuri ya mtumba karibu mapya bei nafuu
Pata Belo magauni mazuri ya mtumba karibu mapya na kwa bei nafuu Dar es Salaam. ✅ Ubora wa juu, nguo zenye thamani ya pesa zako ✅ Mitindo ya kisasa inayofaa kwa wadada wa rika zote ✅ Chaguo nyingi za magauni, mashati, suruali na track suits ✅ Zilizochaguliwa kwa uangalifu ili kuhakikisha zinakaa vizuri na zinadumu 📍 Da...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Belo la viatu vya mtumba
NAFUU & BORA – BELO LA VIATU VYA MTUMBA Nauza belo la viatu vya mtumba kwa bei nafuu sana. Viatu vipo katika hali nzuri, vinafaa kuuzwa upya (resale) kwa faida. ✔ Viatu vya kiume & kike ✔ Mchanganyiko wa sports, rasmi na casual ✔ Ubora mzuri (Grade A/B) ✔ Bei poa kwa wafanyabiashara 📍 Mahali: dar es salaam 📦 Tu...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Suruali za cargo za kiume
Tunauza Belo suruali za cargo za kiume mtumba zenye ubora mzuri na muonekano wa kisasa. Zipo kwenye hali nzuri, hazijachakaa, zina kitambaa imara na mifuko mingi kwa matumizi ya kila siku, kazi, matembezi au safari. Zinakaa vizuri na kumpa mwanaume staili ya kuvutia bila gharama kubwa. Zinapatikana kwa size na rangi mb...
Located: Dar es Salaam, TZ
Check with seller
NauZa nguo nzuri
Nauza nguo zangu nzuri kila nguo ni poa Kabisa napatikana dar es salaam
Located: Changani, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
