Premium listings
Premium
Wasiliana na muuzaji
TANGAZO LA KAZI
We are Hiring! HR Coordinator --- Why Join Us? At Ramada Hotel, we believe our people are our greatest asset. This role offers the chance to develop your HR career in a supportive, international hospitality environment, while making a meaningful impact on employee engagement and organisational success. --- About the Ro...
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza unga wa sembe
MAMA SWAI SUPER SEMBE UNGA BORA WA MAHINDI..5KG,10KG,25KG... โ
UNAFAA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI โ
MIGAHAWANI โ
KUUZA MADUKANI TUNAPATIKANA MASHINE YA MWEMBETOGWA INAYOTAZAMANA NA UKUMBI WA SHULE YA SEKONDARI MWEMBETOGWA.. Simu namba 0766811362. KARIBUNI SANA..
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Brauzi za Mtumba Grade 1 Zinauzwa
Brauzi za Mtumba Grade 1 Zinauzwa ๐ Maelezo: Nauza brauzi safi za mtumba Grade 1 โ ubora mzuri, bado zipo kwenye hali nzuri kwa matumizi ya muda mrefu. ๐ Mahali: Iringa mjini, Frelimo โ
Faida: Ubora wa juu (Grade 1) Bei nafuu na punguzo kwa wanaochukua nyingi Zinafaa kwa biashara au matumizi binafsi ๐ Mawasiliano:06248...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni Mazuri ya Mtumba Grade A Bei Nafuu Iringa
Nauza magauni mazuri ya mtumba Grade A yenye ubora wa hali ya juu, safi, na ya mitindo ya kisasa. Magauni yetu yanatoka kwa wachuuzi wa kuaminika na yamechaguliwa kwa uangalifu kuhakikisha kila kipande kina muonekano mzuri, kinaendana na mitindo ya sasa, na kinastahili kwa sherehe, shuleni, au matumizi ya kila siku. Tu...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama wazuri, waliokuzwa kwa ubora na afya njema. Unapata kuku safi, wenye uzito mzuri na tayari kwa matumizi ya familia, sherehe au biashara ya chakula. ๐ Napatikana Gangilonga Iringa mjini ๐ Piga simu / WhatsApp: 0627731551, 06222155033 ๐ Karibu uwasiliane nami kwa bei nafuu na huduma ya haraka.
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni ya Mtumba Bei Nafuu โ Safi na Bora
Nauza magauni ya mtumba ya kike yenye ubora mzuri na muonekano wa kisasa. Magauni yapo katika hali nzuri, safi na yanapatikana kwa bei nafuu sana. โก๏ธ Aina mbalimbali za magauni (short, long & casual wear) โก๏ธ Ubora mzuri โ yanavaliwa muda mrefu โก๏ธ Bei nafuu inayokufaa Mahali: Iringa mjiniโ Kitanzini Wasiliana Nasi: ...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
masweta mazuri ya kisasa
Nauza masweta mazuri ya kisasa, yenye ubora mzuri na bei nafuu. Yanapatikana katika size na rangi tofauti kulingana na mahitaji yako. Yanafaa kwa matumizi ya kila siku na sherehe. Mahali: Iringa Mjini Wasiliana Nami: 0745395040
Located: Mafinga, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza unga wa lishe
Ni unga mzuri kwa afya yako inatumika na lika zote Kuna mchangiko wa mahindi, Soya Ngano Karanga Ulezi
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nguo za Mtumba za Watoto Zinapatikana
Nauza Nguo nzuri na za bei nafuu za watoto ๐น Mahali: Iringa, Mashine Tatu ๐น Ubora: Zipo katika hali nzuri, zimechaguliwa kwa umakini ๐น Bei: Nafuu kabisa โ unapata kwa bei ya jumla na rejareja ๐ Karibu ujipatie nguo bora za mtumba kwa ajili ya watoto wako! ๐ Kwa mawasiliano: 0769333551
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunatengeneza furniture aina zote with high quality standard
NB.Tunatengeneza furniture aina zote โ๏ธ with high quality standard ๐ฅ WE DO ๐ Interior and Exterior ๐Site visiting ๐ Office ; Changโombe Maduka Please call/Whatsapp us 0788847257
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunatengeneza masofa ya kisasa
Tunatengeneza masofa ya kisasa ya aina mbalimbali tunapatikana iringa mjini Kwa mawasiliano 0624659006
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunatoka mikopo kwa watumishi
๐๐๐ก๐๐๐๐ช๐ ๐ ๐๐๐ฅ๐ข๐๐๐ก๐๐ก๐๐. ๐ณ๐บ๐บ๐๐๐๐ ๐๐๐บ๐๐๐๐๐บ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐บ ๐๐บ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐บ ๐ด๐ฌ๐ฌ๐ ๐๐พ๐๐๐พ ๐๐๐ป๐บ ๐๐บ๐ฟ๐๐ ๐๐บ๐๐ฝ๐. ๐ช๐๐ป๐๐บ ๐๐๐
๐๐๐ ๐๐๐บ๐๐๐ฝ๐๐๐๐๐บ ๐๐๐๐๐๐พ ๐๐๐บ ๐๐๐๐บ ๐๐บ ๐๐๐๐ ๐๐. ๐ถ๐บ๐๐๐
๐๐บ๐๐บ ๐๐บ๐๐.๐๐๐บ ๐๐บ๐๐ป๐บ 0620673040/0768417146. ๐ ๐ ๐๐๐๐บ ๐๐ ๐๐๐๐๐ป๐พ
Located: Iringa, TZ
Check with seller
Best Scientific Calculator Tanzania
Best Scientific Calculator Tanzania โ Nunua Original kwa Bei Nafuu ๐น๐ฟ Unatafuta best scientific calculator Tanzania kwa masomo, mitihani au matumizi ya kitaalamu? Tunauza scientific calculators bora na original zinazofaa wanafunzi wa sekondari, vyuo na walimu. โ๏ธ Zinakubalika kwenye mitihani โ๏ธ Zinahesabu kwa haraka na...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Tunauza Notebook na Diaries Bei ya Jumla
Tunauza Notebook na Diaries Bei ya Jumla ๐โ๏ธ Pata notebook na diaries za ubora wa juu kwa bei ya jumla โ zinafaa kwa shule, ofisi, taasisi na wauzaji wa rejareja. Zinapatikana kwa miundo mbalimbali, jalada imara na bei nafuu kulingana na idadi. ๐ฆ Ununuzi wa jumla = faida zaidi ๐ Usafirishaji ndani ya Tanzania ๐ Wasilia...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Kamba za Vitambulisho Bei ya Jumla
Kamba za Vitambulisho Bei ya Jumla ๐ซ Tunauza kamba za vitambulisho za ubora wa juu kwa bei ya jumla โ kamili kwa ofisi, shule, na hafla za makampuni. Zenye nguvu, zenye rangi mbalimbali na zinazodumu. ๐ฆ Ununuzi wa jumla = faida zaidi ๐ Usafirishaji haraka ndani ya Tanzania ๐ Wasiliana nasi leo upate kamba bora kwa bei ...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Tunauza gift bags bei ya jumla
Tunauza Gift Bags kwa Bei ya Jumla! ๐โจ Pata gift bags zenye ubora wa juu kwa bei nafuu kwa mauzo ya jumla. Kamili kwa maduka, biashara, au matukio maalum. Wasiliana nasi sasa: ABE MWANGAZA STATIONERY ๐ Instagram: @mwangaza_stationery_supply Ubora, bei nafuu, na huduma ya haraka โ chagua Mwangaza Stationery!
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Tunauza Vifaa vya stationery bei ya jumla
Karibu mwangaza Stationery and supplies. TUNAUZA JUMLA ,REJAREJA NA TUNASUPPLY โ
All Stationery & Office Supplies โ
All School &Ict Equipments โ
Branding & Promotion Materials Na Vingine Vingi โโโโโโโโโโโโโ TUNAO UZOEFU NA UWEZO WA KUTOSHA KUHUDUMIA Wafanyabiashara Wakubwa na Wadogo,Taasisi za Uma na Binafsi h...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Orodha ya Vifaa vya stationary
Tunauza kila kitu unachohitaji kwa shule, ofisi au biashara yako. Angalia baadhi ya bidhaa zetu: Penseli na kalamu โ๏ธ๐๏ธ Notebooks na diaries ๐๐ Kamba za vitambulisho ๐ท๏ธ Vifaa vya kuchora na rangi ๐จ Staplers, files, na vifaa vingine vya ofisi ๐ Wasiliana nasi sasa: ABE MWANGAZA STATIONERY ๐ Instagram: @mwangaza_statione...
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Vifaa vya shule stationery
TUNAUZA JUMLA ,REJAREJA NA TUNASUPPLY โ
All Stationery & Office Supplies โ
All School &Ict Equipments โ
Branding & Promotion Materials Na Vingine Vingi โโโโโโโโโโโโโ TUNAO UZOEFU NA UWEZO WA KUTOSHA KUHUDUMIA Wafanyabiashara Wakubwa na Wadogo,Taasisi za Uma na Binafsi hata Mashirika ya Kimataifa KWA MFUMO WA C...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Vifaa vya Shule Stationery Jumla Tanzania
Nunua vifaa vya shule stationery kwa jumla kwa wanafunzi Tanzania. Penseli, kalamu, daftari, rula na vifaa vingine vya elimu kwa bei nafuu."
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Vifaa vya Shule Stationery Orodha Kamili ya Bidhaa
Vifaa vya Shule Stationery - Orodha Kamili ya Bidhaa ๐ Unatafuta vifaa vya shule vya ubora wa juu kwa bei nafuu? Tunayo vifaa vya shule stationery vya kila aina: kalamu, daftari, rula, lifti, kikokotoo, penseli, na zaidi! ๐ โ
Bei za jumla na rejareja โ
Bidhaa mpya na za kuaminika โ
Huduma haraka na rafiki ๐ Tembelea du...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Duka la Vifaa vya stationary
Duka la Vifaa vya Stationary โ Bidhaa Bora na Bei Nafuu! โ๏ธ Unatafuta vifaa vya shule, ofisi au biashara? Tembelea duka letu la vifaa vya stationary kwa: Kalamu, penseli, daftari, rula, kikokotoo ๐ Gift bags, staples na vifaa vingine vyote vya ofisi ๐ Bei za jumla na rejareja ๐ฐ Huduma ya haraka na rafiki ๐ค ๐ Tembelea s...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Michezo ya watoto shuleni
Michezo ya Watoto Shuleni โ Furaha, Afya na Elimu Bora Tunatoa michezo bora ya watoto shuleni inayochangia afya, akili na maendeleo ya mtoto ๐งธโฝ๐จ. Michezo ya kujifunzia, michezo ya nje na ya darasani inayofaa kwa shule za awali, msingi na chekechea. Inasaidia kukuza ubunifu, nidhamu, ushirikiano na uwezo wa kufikiri kwa...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Vifaa vya stationary na bei zake wholesale
VIFAA VYA STATIONARY NA BEI ZAKE WHOLESALE โ KIKAMILIFU NA CHA KIASILI! ๐น Unatafuta vifaa vya stationary na bei zake wholesale kwa biashara yako, shule au ofisi? ๐น Tunakuletea bidhaa bora zaidi kwa bei za jumla (wholesale) โ thamani kwa pesa yako! โจ Tunauza: โ Penseli za ubora wa juu โ Kalamu za kugusa na zisizokausha ...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
