Matangazo ya kipekee
Premium
Wasiliana na muuzaji
Suruali za kike za mtumba
DescriptionBATELEUR SAFARIS presents... RUAHA CHRISTMAS PARTY & SAFARI! 📍 Ruaha National Park | 🗓️ 25th & 26th December, 2025 2 DAYS / 1 NIGHT EXPERIENCE - AN ALL INCLUSIVE SAFARI PACKAGE! - Transport, 3 Meals, Accommodation, Soft Drinks, Entry & Guiding fees with so much fun! 💰 PRICES... > East African ...
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Mashuka ya mtumba grade 1 ubora wa juu
Unatafuta mashuka ya mtumba grade 1 yenye ubora wa hali ya juu? Napatikana Iringa Mjini na nauza mashuka safi, imara, yenye rangi nzuri na yanayodumu muda mrefu. Kila shuka linaweza kutumika kwa matumizi ya nyumbani, nyumba za kulala wageni, hosteli, au matumizi ya kawaida. Mashuka yangu ya mtumba grade 1 yamechaguliwa...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Viwanja vinauzwa
VIWANJA VINAUZWA. ✅VIWANJA VIPO KINYANAMBO A (MIFUGO) MAFINGA IRINGA 🇹🇿. ✅VIWANJA VIMEPIMWA UKUBWA WA MITA 20 KWA 25 NA 20 KWA 20 . ✅BEI NI MILIONI TATU NA LAKI TANO PUNGUZO LIPO KIDOGO. ✅VIMEBAKI VIWANJA VITATU TU. ✅O768651525.
Located: Mafinga, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Wauzaji wa accessories za magari
Tunauza spare zote za magari Tunauza accessories zote za magari Tunauza lubricant aina zote Tunafunga android music system Tunapatikana uhindini Iringa mjini
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunatengeneza masofa ya kisasa
Tunatengeneza masofa ya kisasa ya aina mbalimbali tunapatikana iringa mjini Kwa mawasiliano 0624659006
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
kuku wa kisasa wa nyama
Nauza kuku wa kisasa wenye afya nzuri na waliokuzwa kwa chakula bora. Unapata kuku bora kwa ajili ya biashara, sherehe, au matumizi ya nyumbani. Bei zetu ni nafuu na unaweza kupata kwa rejareja au jumla. 📍 Napatikana kihesa Iringa 📞 Wasiliana nami kwa maelezo zaidi 0718603656 0742610610
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Wauzaji wa furniture za ndani
Karibu kwenye duka letu la furniture za ndani, ambapo tunauza aina zote za samahani, sofa, meza za jikoni na sebule, viti vya kuburudisha, kabati, rafu, na mapambo ya nyumbani kwa ubora wa hali ya juu. Tunahakikisha kila bidhaa inakidhi mahitaji yako ya mtindo, uimara, na unafuu. Kwa bei nafuu na huduma bora, unaweza k...
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Mabelo ya Nguo za Mitumba Bei Nafuu
Nauza mabelo ya nguo bora za mitumba aina mbalimbali kwa bei nafuu. 👉 Ubora wa hali ya juu 👉 Bei rafiki na inayokubaliana 👉 Chaguo la mteja – mitindo na makundi tofauti Napatikana Iringa. Kwa mawasiliano na maelezo zaidi nipigie simu au tuma meseji. Simu/WhatsApp: 0716454646
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Raba Kali za Mtumba Bei Nafuu Iringa Miyomboni
Nauza raba kali za mtumba zenye ubora mzuri na bado zipo kwenye hali safi. 📍 Napatikana Iringa Mjini – Miyomboni. Karibu ujipatie raba imara kwa matumizi ya kila siku kwa bei nafuu. Mawasiliano: 0718239676 Piga/WhatsApp kwa maelezo zaidi.
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza Kuku wa sasso ni wazuri
KARIBUNI mjipatie kuku aina ya sasso wanapatikana wakuuza na kufuga wamepata chanjo wote
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza unga wa lishe
Ni unga mzuri kwa afya yako inatumika na lika zote Kuna mchangiko wa mahindi, Soya Ngano Karanga Ulezi
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Nauza nguo za watoto mtumba
Nauza nguo za watoto mtumba
Located: Dabaga, Iringa, TZ
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
