Premium listings
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza unga wa sembe
MAMA SWAI SUPER SEMBE UNGA BORA WA MAHINDI..5KG,10KG,25KG... โ
UNAFAA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI โ
MIGAHAWANI โ
KUUZA MADUKANI TUNAPATIKANA MASHINE YA MWEMBETOGWA INAYOTAZAMANA NA UKUMBI WA SHULE YA SEKONDARI MWEMBETOGWA.. Simu namba 0766811362. KARIBUNI SANA..
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka pia Tunabadirisha muundo wa zamani kuwa wa kisasa kwa Bei nafuu tunapatikana iringa mjini mtaa wa zizi 0616181457
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Mashuka mazuri ya mtumba kwa bei poa Tanzania
Nauza mashuka ya mtumba safi na bed cover nzuri kwa bei nafuu. Ubora mzuri na wa kudumu Safi na zenye mvuto Bei nafuu kuanzia Tsh 15,000 na kuendelea Huduma: ๐ฆ Delivery inapatikana kulingana na eneo ulilopo Mawasiliano: ๐ Piga / WhatsApp:0762241408
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza masweta Mazuri ya Mtumba Grade A kwa Bei Nafuu Iringa
Nauza masweta mazuri ya mtumba grade A, ubora wa hali ya juu na bado mapya kwa kuvaa. Yanafaa kwa msimu wa baridi na yana muonekano wa kisasa. ๐ Bei ni nafuu na inakubaliana ๐ Yanapatikana kwa rangi na size tofauti Mahali: Iringa mjini Mawasiliano: 0624589320 Piga/Sms/WhatsApp kwa maelezo zaidi
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
45.00 TZS
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325 Malipo awamu mbili miez 6&12 Miezi 6 malipo kwa week 15821 Miezi 12 malipo kwa week 10640 Karibuni sana iringa free delivery Piga 0611218325
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza viatu vya Travolta
Viatu vya Mtumba Grade A Travolta Vinauzwa ๐ฅฟ Nauza viatu vya mtumba grade A vilivyo kwenye hali nzuri sana. ๐ Napatikana Iringa mjini โ
Ubora wa hali ya juu โ
Bei nafuu kabisa โ
Vyote viko tayari kwa matumizi Karibu ununue kwa ajili yako au biashara. Piga/WhatsApp: 0621006724
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunatengeneza furniture aina zote with high quality standard
NB.Tunatengeneza furniture aina zote โ๏ธ with high quality standard ๐ฅ WE DO ๐ Interior and Exterior ๐Site visiting ๐ Office ; Changโombe Maduka Please call/Whatsapp us 0788847257
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Mikopo ya biashara kuanzia milioni moja
Mikopo ya BIASHARA kuanzia Milioni moja(1,000,000) na kuendelea. Ni kwa ajili ya wafanyabiashara walio na biashara Iringa. Tunakuja kukagua biashara,na kiwango cha mkopo kitategemeana na uwezo wa biashara yako. Piga simu ili uje Benki kwetu kwa maelezo zaidi. PIGA SIMU 0612 250266-Afisa Mikopo
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Rent
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza unga wa mchele
Tunauza unga halisi wa mchele usioongezwa kitu chochote kwa matumizi wa uji, mkate na vitumbua kilo moja sh 3500/= Tupo Iringa mjini mawasiliano zaidi tupigie 0658931392 mikoa ya jirani tunatuma kwa uaminifu
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama waliokomaa vizuri, wenye afya bora na wanakua haraka. Kuku wanapatikana kwa bei nafuu na mzuri kwa biashara au matumizi ya nyumbani. Maelezo ya Ziada: โ
Kuku wazima na wenye uzito wa kutosha โ
Bei nafuu kwa jumla na rejareja โ
Napatikana Iringa Mawasiliano: Piga/SMS: 0760812258
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza kuku wa Sasso wa ubora wa juu
Wauzaji wa kuku na vifaranga Bora vya sasso Washauri wa kitaalamu na wafugaji wa mabanda ya kuku Tunatumia mpaka mikoani
Located: Ismani, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Viwanja vinauzwa
VIWANJA VINAUZWA. โ
VIWANJA VIPO KINYANAMBO A (MIFUGO) MAFINGA IRINGA ๐น๐ฟ. โ
VIWANJA VIMEPIMWA UKUBWA WA MITA 20 KWA 25 NA 20 KWA 20 . โ
BEI NI MILIONI TATU NA LAKI TANO PUNGUZO LIPO KIDOGO. โ
VIMEBAKI VIWANJA VITATU TU. โ
O768651525.
Located: Mafinga, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
ERNEO PLUMBING LTD
{ITEM_TITLE}-{ITEM_ID}
Located: Babala, Dodoma, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
100000.00 TZS
Nauza nguo
Nauza nguo za mtumba za kiume mtumba jumla na na na na na na na na
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Magodoro mazuri na imara
MAGODORO MAZURI NA IMARA โ LALA KWA RAHA! Unatafuta godoro zuri na imara kwa usingizi mzuri na afya bora? Tunakuletea magodoro ya kisasa, yanayodumu kwa muda mrefu na yenye ubora wa hali ya juu. โ
Hayapindi kirahisi โ
Yanatoa msaada mzuri wa mgongo โ
Yanapatikana kwa size zote (3x6, 4x6, 5x6, 6x6) โ
Bei nafuu + deliver...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Kabati la nguo milango miwili
๐ช KABATI LA NGUO MILANGO MIWILI โ IMARA & LA KISASA! Unatafuta kabati la nguo milango miwili lenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu? Tunakuletea makabati ya kisasa, imara na yanayodumu kwa muda mrefu. โ
Linatosha nguo nyingi โ
Lina muundo wa kuvutia (modern design) โ
Linapatikana kwa rangi mbalimbali โ
Linaletwa ...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Natafuta soko la kuku wa kienyeji
NA KUKU WA KIENYEJI โ NATAFUTA SOKO (DODOMA) ๐ Ninatafuta soko la kuku wa kienyeji waliokomaa, wenye afya nzuri na wanaofaa kwa matumizi ya nyumbani, sherehe, migahawa na hoteli. Nipo Dodoma na niko tayari kununua kuku wa kienyeji kwa wingi au mmoja mmoja kulingana na makubaliano. Iwapo una kuku wa kienyeji au unamjua ...
Located: Dodoma, Dodoma, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Nauza kuku wa kienyeji
KUKU WA KIENYEJI WANAUZWA๐ Unatafuta kuku wa kienyeji safi, wenye afya na mwenye ladha nzuri? Sasa umefanikiwa! โ
Kuku wa kienyeji wa hali ya juu โ
Wenye lishe bora na afya thabiti โ
Inafaa kwa nyama au mayai โ
Bei nafuu na inapatikana sasa ๐ Eneo: MWANZA ๐ Wasiliana nasi kwa: 0753249925
Located: Mwanza, Mwanza, TZ
Check with seller
Vifaa vya stationary na bei zake wholesale
VIFAA VYA STATIONARY NA BEI ZAKE WHOLESALE โ KIKAMILIFU NA CHA KIASILI! ๐น Unatafuta vifaa vya stationary na bei zake wholesale kwa biashara yako, shule au ofisi? ๐น Tunakuletea bidhaa bora zaidi kwa bei za jumla (wholesale) โ thamani kwa pesa yako! โจ Tunauza: โ Penseli za ubora wa juu โ Kalamu za kugusa na zisizokausha ...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Michezo ya watoto shuleni
Michezo ya Watoto Shuleni โ Furaha, Afya na Elimu Bora Tunatoa michezo bora ya watoto shuleni inayochangia afya, akili na maendeleo ya mtoto ๐งธโฝ๐จ. Michezo ya kujifunzia, michezo ya nje na ya darasani inayofaa kwa shule za awali, msingi na chekechea. Inasaidia kukuza ubunifu, nidhamu, ushirikiano na uwezo wa kufikiri kwa...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Duka la Vifaa vya stationary
Duka la Vifaa vya Stationary โ Bidhaa Bora na Bei Nafuu! โ๏ธ Unatafuta vifaa vya shule, ofisi au biashara? Tembelea duka letu la vifaa vya stationary kwa: Kalamu, penseli, daftari, rula, kikokotoo ๐ Gift bags, staples na vifaa vingine vyote vya ofisi ๐ Bei za jumla na rejareja ๐ฐ Huduma ya haraka na rafiki ๐ค ๐ Tembelea s...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Vifaa vya Shule Stationery Orodha Kamili ya Bidhaa
Vifaa vya Shule Stationery - Orodha Kamili ya Bidhaa ๐ Unatafuta vifaa vya shule vya ubora wa juu kwa bei nafuu? Tunayo vifaa vya shule stationery vya kila aina: kalamu, daftari, rula, lifti, kikokotoo, penseli, na zaidi! ๐ โ
Bei za jumla na rejareja โ
Bidhaa mpya na za kuaminika โ
Huduma haraka na rafiki ๐ Tembelea du...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Vifaa vya Shule Stationery Jumla Tanzania
Nunua vifaa vya shule stationery kwa jumla kwa wanafunzi Tanzania. Penseli, kalamu, daftari, rula na vifaa vingine vya elimu kwa bei nafuu."
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Vifaa vya shule stationery
TUNAUZA JUMLA ,REJAREJA NA TUNASUPPLY โ
All Stationery & Office Supplies โ
All School &Ict Equipments โ
Branding & Promotion Materials Na Vingine Vingi โโโโโโโโโโโโโ TUNAO UZOEFU NA UWEZO WA KUTOSHA KUHUDUMIA Wafanyabiashara Wakubwa na Wadogo,Taasisi za Uma na Binafsi hata Mashirika ya Kimataifa KWA MFUMO WA C...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
