Katika sehemu hii unaweza kununua au kuuza aina mbalimbali za vyombo vya usafiri ndani ya Iringa kupitia Gulio Iringa. Tunakupa nafasi ya kupata magari ya aina tofauti, pikipiki, malori, mabasi, pamoja na magari ya biashara kwa bei nafuu na zinazolingana na soko. Kila tangazo lina maelezo muhimu kama hali ya chombo, mwaka wa kutengenezwa, umbali uliosafiri (mileage), pamoja na mahali kilipo ili kukusaidia kufanya uamuzi sahihi. Tunafanya kazi na wauzaji na wanunuzi wanaoaminika kuhakikisha mchakato wa mauzo unakuwa rahisi, salama na wa haraka. Tafuta chombo cha usafiri kinachokufaa kwa matumizi binafsi au ya kibiashara kupitia jukwaa letu.
Premium listings
Premium
Wasiliana na muuzaji
Wauzaji wa accessories za magari
Tunauza spare zote za magari Tunauza accessories zote za magari Tunauza lubricant aina zote Tunafunga android music system Tunapatikana uhindini Iringa mjini
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
6000000.00 TZS
Tunanunua na kuuza bajaji
TUNAUZA NA KINUNUA BAJAJI USED ..Full document* ..Price/bei-6,000,000/= ..Location~Dar es salaam~Mbagala ☎️Call & WhatsApp:0694048469📞 Mikoani Tunatuma Kwa Uwaminifu Mkubwa 🙏🏽🙏🏽
Located: Mbagalla, Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Wauzaji wa accessories za magari
Tunauza spare zote za magari Tunauza accessories zote za magari Tunauza lubricant aina zote Tunafunga android music system Tunapatikana uhindini Iringa mjini
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
