Katika sehemu hii ya Vyuo Vikuu Binafsi, utapata taarifa na matangazo ya vyuo vikuu vinavyomilikiwa na wamiliki binafsi vinavyotoa elimu ya juu kwa ngazi mbalimbali, ikiwa ni Certificate, Diploma, Bachelor (Degree), Masters, na hata PhD. Vyuo hivi vinatoa mafunzo katika fani nyingi kama ualimu, afya, biashara, uhasibu, sheria, sayansi, teknolojia ya habari, kilimo, utalii, na taaluma nyinginezo, kwa mbinu za kisasa za kufundisha. Mafunzo haya yanalenga kuwajengea wanafunzi ujuzi wa vitendo na maarifa ya kitaaluma ili waweze kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya kijamii, kiuchumi, na kitaifa, ama kujiandaa kwa ajira au kujiajiri. Katika category hii utaona maelezo ya sifa za kujiunga, muda wa masomo, ratiba, ada, mafunzo ya vitendo, na aina ya vyeti vinavyotolewa baada ya kuhitimu. Sehemu hii inawafaa wahitimu wa kidato cha sita, wajasiriamali wa elimu, na wale wanaotaka kupata fursa mbadala ya elimu ya juu katika vyuo binafsi vyenye miundombinu ya kisasa na mwalimu binafsi.
Hatujaweza kupata matokeo yoyote kwa utafutaji wako…
Hapa kuna baadhi ya ushauri wa kupata matokeo bora zaidi
Use more general keywords
Check spelling of position
Reduce filters, use less of them
