43 results match your search criteria
Check with seller
Mikopo ya biashara kuanzia milioni moja
Mikopo ya BIASHARA kuanzia Milioni moja(1,000,000) na kuendelea. Ni kwa ajili ya wafanyabiashara walio na biashara Iringa. Tunakuja kukagua biashara,na kiwango cha mkopo kitategemeana na uwezo wa biashara yako. Piga simu ili uje Benki kwetu kwa maelezo zaidi. PIGA SIMU 0612 250266-Afisa Mikopo
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Rent
Check with seller
Nauza magauni ya Mtumba Grade A – Bei Nafuu
Nauza magauni ya mtumba grade A yenye ubora mzuri na muonekano wa kuvutia. Magauni yapo katika hali safi na yamechaguliwa vizuri, yanafaa kwa matumizi ya kila siku na sherehe. 📍 Nipo Iringa mjini, Mashine Tatu ✅ Ubora wa juu (Grade A) ✅ Bei nafuu na maongezi yapo ✅ Ukifika unachagua mwenyewe Mawasiliano: Piga/WhatsApp:...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Nauza pikipiki boxer
Nauza pikipiki aina ya boxer Nipo iringa mjini Tsh 1,400,000k 0766 303 577 WhatsApp
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Nauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama waliokomaa vizuri, wenye afya bora na wanakua haraka. Kuku wanapatikana kwa bei nafuu na mzuri kwa biashara au matumizi ya nyumbani. Maelezo ya Ziada: ✅ Kuku wazima na wenye uzito wa kutosha ✅ Bei nafuu kwa jumla na rejareja ✅ Napatikana Iringa Mawasiliano: Piga/SMS: 0760812258
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Tunauza simu na vifaa vya simu
#AZIZI #PHONE #STORE 🛵 DELIVERY TIME ✅ 📴 MAKADUPA -IRINGA TUNAUZA SIMU NA VIFAA VYA SIMU AINA ZOTE ______&&& tunapatikana 🚧 🚧 ________ 🚧 IRINGA STAND YA ZAMAN JENGO LA MZALENDO CHUMBA NO 17 Deo Mwenda Abubakar Kimario Neema Mathias 53 Contact: 0717536412
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Tunatengeneza furniture aina zote with high quality standard
NB.Tunatengeneza furniture aina zote ✔️ with high quality standard 🔥 WE DO 📍 Interior and Exterior 📍Site visiting 📍 Office ; Chang’ombe Maduka Please call/Whatsapp us 0788847257
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Nauza unga wa lishe
Ni unga mzuri kwa afya yako inatumika na lika zote Kuna mchangiko wa mahindi, Soya Ngano Karanga Ulezi
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Nguo za Mtumba za Watoto Zinapatikana
Nauza Nguo nzuri na za bei nafuu za watoto 🔹 Mahali: Iringa, Mashine Tatu 🔹 Ubora: Zipo katika hali nzuri, zimechaguliwa kwa umakini 🔹 Bei: Nafuu kabisa – unapata kwa bei ya jumla na rejareja 👉 Karibu ujipatie nguo bora za mtumba kwa ajili ya watoto wako! 📞 Kwa mawasiliano: 0769333551
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Viwanja vinapatikana iringa maneno yote
🐦🐦🐦🐦🐦🐦🐦🐦🐦🐦🐦🐦🐦🐦🐦🐦 VIWANJA VIWANJA VIWANJA VIWANJA VIWANJA VIWANJA Iringa region VIWANJA vipoo maeneo ya: ⭐Isakalilo ⭐Kigonzile ⭐Itamba ⭐Mawelewele ⭐Zizi ⭐Mkimbizi ⭐Njia panda ya tosa ⭐Kitwiru ⭐Ipogolo ⭐Kitasengwa ⭐Ndiuka ⭐Igumbilo ⭐Viwengi ⭐Ilula Piga *simu,0753745947/0616857220* Iringa mjini Mr *share* *mkuu*
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Nauza mashati ya kiume ya mtumba
Nauza mashati ya kiume ya mtumba grade A, ubora wa hali ya juu na bado mapya kwa kuvaa. ✔️ Yanapatikana kwa rangi na design mbalimbali ✔️ Ubora wa kudumu na muonekano wa kisasa ✔️ Bei nafuu na inakubaliana Mahali: Iringa mjini Mawasiliano: 0657693380 Piga/Sms/WhatsApp kwa maelezo zaidi
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Wauzaji wa furniture mbalimbali
Tunauza furniture mbalimbali tunapatikana mshindo Ni watengenezaji wa samani mbalimbali Tupigie. 0757927279
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
TANGAZO LA KAZI
We are Hiring! HR Coordinator --- Why Join Us? At Ramada Hotel, we believe our people are our greatest asset. This role offers the chance to develop your HR career in a supportive, international hospitality environment, while making a meaningful impact on employee engagement and organisational success. --- About the Ro...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.