Matangazo ya kipekee
Premium
100000.00 TZS
Nauza nguo
Nauza nguo za mtumba za kiume mtumba jumla na na na na na na na na
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nguo za mtumba za watoto
Nguo za Mtumba za Watoto – Safi na Bei Nafuu! Tunauza nguo bora za watoto kuanzia miezi 0 hadi miaka 12. Mchanganyiko wa magauni, suruali, t-shirt, mashati na seti kamili. ✔ Jumla & rejareja ✔ Quality grade A ✔ Bei kuanzia Tsh 500/= kwa kipande ✔ Delivery Tanzania nzima
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Mabegi ya Shule ya Mtumba Imara na Mazuri kwa Bei Nafuu
Unatafuta mabegi ya shule ya mtumba yenye ubora na mitindo kwa bei nafuu? Karibu kwenye duka letu la mtumba ambapo tunauza mabegi ya shule ya mtumba kwa wanafunzi wa kila daraja. Mabegi yetu ni safi, imara, na yamechaguliwa kwa uangalifu ili kuhakikisha yanaendana na mahitaji ya shule na mitindo ya watoto. Tunayo mabeg...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
nguo za watoto za mtumba
Niongeze picha ya know I have to
Located: Dar es Salaam, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Gauni nzuri ya mtumba
BELO ZA GAUNI NZURI ZA MTUMBA ZIPO! 🌸 Unatafuta gauni la kisasa, maridadi na kwa bei nafuu? Tunazo gauni nzuri za mtumba zenye ubora wa hali ya juu, mitindo ya kisasa na rangi zinazovutia 💃 ✅ Bei nafuu ✅ Ubora mzuri ✅ Mitindo mbalimbali (kazini, sherehe, outing) 📦 Usafirishaji unapatikana 📞 Wasiliana nasi sasa upate ga...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Suruali za kike za mtumba
DescriptionBATELEUR SAFARIS presents... RUAHA CHRISTMAS PARTY & SAFARI! 📍 Ruaha National Park | 🗓️ 25th & 26th December, 2025 2 DAYS / 1 NIGHT EXPERIENCE - AN ALL INCLUSIVE SAFARI PACKAGE! - Transport, 3 Meals, Accommodation, Soft Drinks, Entry & Guiding fees with so much fun! 💰 PRICES... > East African ...
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Chimbo la Magauni ya Mtumba Bei Nafuu na Ubora Bora
Unatafuta magauni mazuri ya mtumba kwa biashara au matumizi binafsi? Karibu kwenye chimbo la magauni ya mtumba lenye bei nafuu na ubora bora. Tunapatikana na magauni ya kisasa, ya kike na ya heshima, yanayofaa ofisini, sherehe, harusi na matumizi ya kila siku. Magauni yetu hupatikana kwa kupanga au jumla, hivyo mfanyab...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Suruali za kike za mtumba
Mimi ni muuzaji wa mabelo ya nguo za mitumba zenye ubora wa hali ya juu. Nauza shuka mbalimbali, suruali za aina zote, nguo za watoto na nguo za wakubwa kwa bei nafuu na zinazomudu kila mfuko. Nguo zipo katika hali nzuri, safi na tayari kuuzwa rejareja au jumla. Nafaa kwa wafanyabiashara wanaoanza au wanaoendelea. Nipo...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Viatu vya watoto vya mtumba
Pata Mabelo viatu vya watoto vya mtumba karibu mapya na kwa bei nafuu Dar es Salaam! Tunatoa chaguo kubwa la viatu vya mitindo mbalimbali, vinavyofaa kwa watoto wa rika zote. Ubora wa viatu vyetu unahakikisha faraja na kudumu, huku ukipata mitindo ya kuvutia inayopendeza kwa watoto. ✅ Mitindo ya kisasa ✅ Ubora wa juu ✅...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Masweta mazuri ya mtumba
Mashati ya Kiume ya Mtumba – Daraja la Kwanza! 👔 Tunauza mashati ya kiume ya mtumba yaliyochaguliwa kwa umakini, yakiwa katika hali bora, safi na yenye mitindo ya kisasa. Yanapatikana kwa bei nafuu sana, yanafaa kwa kazi, ofisi, sherehe au matumizi ya kila siku. 👉 Ubora wa juu 👉 Bei rafiki 👉 Mitindo mbalimbali 👉 Huduma...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Suruali kali za mtumba
Nauza Belo suruali kali za mtumba zenye mitindo ya kisasa na ubora mzuri. Zinapatikana kwa wanaume, zinafaa kwa vijana na watu wazima. ✔ Cargo, jeans & official ✔ Rangi mbalimbali ✔ Size zote (S – XXL) ✔ Grade A/B – hali nzuri sana 📦 Jumla 💰 Bei nafuu kulingana na idadi 📞 Wasiliana sasa – stock ni ndogo
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza jezi za mtumba
Nauza Belo za jezi za mtumba bora kabisa 🔥 Jezi original za timu kubwa Ulaya na Afrika, zikiwa kwenye hali nzuri sana na bei nafuu. Zinapatikana kwa size zote, zinafaa kwa kuvaa, mazoezi au biashara ya rejareja. 📦 Tunatoa huduma ya usafirishaji 💰 Bei poa kulingana na ubora 📞 Wasiliana nasi sasa upate jezi zako mapema!
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Mchele grade 1 kutoka mbeya
Karibu mchele grade 1 kutoka Mbeya kwa bei punguzo kilo ni 2000 Tunasafirisha popote ulipo Contact 0627109582 Kilo ni 2000
Located: Mbeya, Mbeya, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
