Premium listings
Premium
Wasiliana na muuzaji
Viwanja vinauzwa kigonzile
Njooo ujichukulie viwanja ivyoo apoo mia 700sq kwa milioni tatu na nusu Kila kimoja pga 0714974268 location kigonzile karibu na Shule ya st Dominic
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Brauzi za Mtumba Grade 1 Zinauzwa
Brauzi za Mtumba Grade 1 Zinauzwa 📌 Maelezo: Nauza brauzi safi za mtumba Grade 1 – ubora mzuri, bado zipo kwenye hali nzuri kwa matumizi ya muda mrefu. 📍 Mahali: Iringa mjini, Frelimo ✅ Faida: Ubora wa juu (Grade 1) Bei nafuu na punguzo kwa wanaochukua nyingi Zinafaa kwa biashara au matumizi binafsi 📞 Mawasiliano:06248...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza unga wa lishe
Ni unga mzuri kwa afya yako inatumika na lika zote Kuna mchangiko wa mahindi, Soya Ngano Karanga Ulezi
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Wauzaji wa furniture za ndani
Karibu kwenye duka letu la furniture za ndani, ambapo tunauza aina zote za samahani, sofa, meza za jikoni na sebule, viti vya kuburudisha, kabati, rafu, na mapambo ya nyumbani kwa ubora wa hali ya juu. Tunahakikisha kila bidhaa inakidhi mahitaji yako ya mtindo, uimara, na unafuu. Kwa bei nafuu na huduma bora, unaweza k...
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza kuku wa Sasso wa ubora wa juu
Wauzaji wa kuku na vifaranga Bora vya sasso Washauri wa kitaalamu na wafugaji wa mabanda ya kuku Tunatumia mpaka mikoani
Located: Ismani, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunatengeneza furniture aina zote with high quality standard
NB.Tunatengeneza furniture aina zote ✔️ with high quality standard 🔥 WE DO 📍 Interior and Exterior 📍Site visiting 📍 Office ; Chang’ombe Maduka Please call/Whatsapp us 0788847257
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Wauzaji wa accessories za magari
Tunauza spare zote za magari Tunauza accessories zote za magari Tunauza lubricant aina zote Tunafunga android music system Tunapatikana uhindini Iringa mjini
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza unga wa sembe
MAMA SWAI SUPER SEMBE UNGA BORA WA MAHINDI..5KG,10KG,25KG... ✅UNAFAA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI ✅ MIGAHAWANI ✅KUUZA MADUKANI TUNAPATIKANA MASHINE YA MWEMBETOGWA INAYOTAZAMANA NA UKUMBI WA SHULE YA SEKONDARI MWEMBETOGWA.. Simu namba 0766811362. KARIBUNI SANA..
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunatoka mikopo kwa watumishi
𝗙𝗔𝗡𝗜𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗠𝗜𝗖𝗥𝗢𝗙𝗜𝗡𝗔𝗡𝗖𝗘. 𝖳𝖺𝖺𝗌𝗂𝗌𝗂 𝗂𝗇𝖺𝗒𝗈𝗍𝗈𝖺 𝗆𝗂𝗄𝗈𝗉𝗈 𝗄𝗐𝖺 𝗐𝖺𝗍𝗎𝗆𝗂𝗌𝗁𝗂 𝗐𝖺 𝖴𝖬𝖬𝖠 𝗒𝖾𝗇𝗒𝖾 𝗋𝗂𝖻𝖺 𝗇𝖺𝖿𝗎𝗎 𝗓𝖺𝗂𝖽𝗂. 𝖪𝗎𝖻𝗐𝖺 𝗄𝗎𝗅𝗂𝗄𝗈 𝗎𝗇𝖺𝗁𝗎𝖽𝗎𝗆𝗂𝗐𝖺 𝗉𝗈𝗉𝗈𝗍𝖾 𝗄𝗐𝖺 𝗇𝗃𝗂𝖺 𝗒𝖺 𝗌𝗂𝗆𝗎 𝗍𝗎. 𝖶𝖺𝗌𝗂𝗅𝗂𝖺𝗇𝖺 𝗇𝖺𝗌𝗂.𝗄𝗐𝖺 𝗇𝖺𝗆𝖻𝖺 0620673040/0768417146. 𝖠𝗎 𝗍𝗎𝗆𝖺 𝗍𝗎 𝗎𝗃𝗎𝗆𝖻𝖾
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni Mazuri ya Mtumba Grade A Bei Nafuu Iringa
Nauza magauni mazuri ya mtumba Grade A yenye ubora wa hali ya juu, safi, na ya mitindo ya kisasa. Magauni yetu yanatoka kwa wachuuzi wa kuaminika na yamechaguliwa kwa uangalifu kuhakikisha kila kipande kina muonekano mzuri, kinaendana na mitindo ya sasa, na kinastahili kwa sherehe, shuleni, au matumizi ya kila siku. Tu...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
TANGAZO LA KAZI
We are Hiring! HR Coordinator --- Why Join Us? At Ramada Hotel, we believe our people are our greatest asset. This role offers the chance to develop your HR career in a supportive, international hospitality environment, while making a meaningful impact on employee engagement and organisational success. --- About the Ro...
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nguo za Mtumba za Watoto Zinapatikana
Nauza Nguo nzuri na za bei nafuu za watoto 🔹 Mahali: Iringa, Mashine Tatu 🔹 Ubora: Zipo katika hali nzuri, zimechaguliwa kwa umakini 🔹 Bei: Nafuu kabisa – unapata kwa bei ya jumla na rejareja 👉 Karibu ujipatie nguo bora za mtumba kwa ajili ya watoto wako! 📞 Kwa mawasiliano: 0769333551
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Vifaa vya stationary na bei zake wholesale
VIFAA VYA STATIONARY NA BEI ZAKE WHOLESALE – KIKAMILIFU NA CHA KIASILI! 🔹 Unatafuta vifaa vya stationary na bei zake wholesale kwa biashara yako, shule au ofisi? 🔹 Tunakuletea bidhaa bora zaidi kwa bei za jumla (wholesale) – thamani kwa pesa yako! ✨ Tunauza: ✔ Penseli za ubora wa juu ✔ Kalamu za kugusa na zisizokausha ...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Michezo ya watoto shuleni
Michezo ya Watoto Shuleni – Furaha, Afya na Elimu Bora Tunatoa michezo bora ya watoto shuleni inayochangia afya, akili na maendeleo ya mtoto 🧸⚽🎨. Michezo ya kujifunzia, michezo ya nje na ya darasani inayofaa kwa shule za awali, msingi na chekechea. Inasaidia kukuza ubunifu, nidhamu, ushirikiano na uwezo wa kufikiri kwa...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Duka la Vifaa vya stationary
Duka la Vifaa vya Stationary – Bidhaa Bora na Bei Nafuu! ✏️ Unatafuta vifaa vya shule, ofisi au biashara? Tembelea duka letu la vifaa vya stationary kwa: Kalamu, penseli, daftari, rula, kikokotoo 📒 Gift bags, staples na vifaa vingine vyote vya ofisi 🎁 Bei za jumla na rejareja 💰 Huduma ya haraka na rafiki 🤝 📍 Tembelea s...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Vifaa vya Shule Stationery Orodha Kamili ya Bidhaa
Vifaa vya Shule Stationery - Orodha Kamili ya Bidhaa 🎒 Unatafuta vifaa vya shule vya ubora wa juu kwa bei nafuu? Tunayo vifaa vya shule stationery vya kila aina: kalamu, daftari, rula, lifti, kikokotoo, penseli, na zaidi! 😍 ✅ Bei za jumla na rejareja ✅ Bidhaa mpya na za kuaminika ✅ Huduma haraka na rafiki 📍 Tembelea du...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Vifaa vya Shule Stationery Jumla Tanzania
Nunua vifaa vya shule stationery kwa jumla kwa wanafunzi Tanzania. Penseli, kalamu, daftari, rula na vifaa vingine vya elimu kwa bei nafuu."
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Vifaa vya shule stationery
TUNAUZA JUMLA ,REJAREJA NA TUNASUPPLY ✅All Stationery & Office Supplies ✅All School &Ict Equipments ✅Branding & Promotion Materials Na Vingine Vingi ————————————— TUNAO UZOEFU NA UWEZO WA KUTOSHA KUHUDUMIA Wafanyabiashara Wakubwa na Wadogo,Taasisi za Uma na Binafsi hata Mashirika ya Kimataifa KWA MFUMO WA C...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Orodha ya Vifaa vya stationary
Tunauza kila kitu unachohitaji kwa shule, ofisi au biashara yako. Angalia baadhi ya bidhaa zetu: Penseli na kalamu ✏️🖊️ Notebooks na diaries 📓📔 Kamba za vitambulisho 🏷️ Vifaa vya kuchora na rangi 🎨 Staplers, files, na vifaa vingine vya ofisi 📎 Wasiliana nasi sasa: ABE MWANGAZA STATIONERY 📌 Instagram: @mwangaza_statione...
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Tunauza Vifaa vya stationery bei ya jumla
Karibu mwangaza Stationery and supplies. TUNAUZA JUMLA ,REJAREJA NA TUNASUPPLY ✅All Stationery & Office Supplies ✅All School &Ict Equipments ✅Branding & Promotion Materials Na Vingine Vingi ————————————— TUNAO UZOEFU NA UWEZO WA KUTOSHA KUHUDUMIA Wafanyabiashara Wakubwa na Wadogo,Taasisi za Uma na Binafsi h...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Tunauza gift bags bei ya jumla
Tunauza Gift Bags kwa Bei ya Jumla! 🎁✨ Pata gift bags zenye ubora wa juu kwa bei nafuu kwa mauzo ya jumla. Kamili kwa maduka, biashara, au matukio maalum. Wasiliana nasi sasa: ABE MWANGAZA STATIONERY 📌 Instagram: @mwangaza_stationery_supply Ubora, bei nafuu, na huduma ya haraka – chagua Mwangaza Stationery!
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Kamba za Vitambulisho Bei ya Jumla
Kamba za Vitambulisho Bei ya Jumla 🎫 Tunauza kamba za vitambulisho za ubora wa juu kwa bei ya jumla – kamili kwa ofisi, shule, na hafla za makampuni. Zenye nguvu, zenye rangi mbalimbali na zinazodumu. 📦 Ununuzi wa jumla = faida zaidi 🚚 Usafirishaji haraka ndani ya Tanzania 👉 Wasiliana nasi leo upate kamba bora kwa bei ...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Tunauza Notebook na Diaries Bei ya Jumla
Tunauza Notebook na Diaries Bei ya Jumla 📒✍️ Pata notebook na diaries za ubora wa juu kwa bei ya jumla – zinafaa kwa shule, ofisi, taasisi na wauzaji wa rejareja. Zinapatikana kwa miundo mbalimbali, jalada imara na bei nafuu kulingana na idadi. 📦 Ununuzi wa jumla = faida zaidi 🚚 Usafirishaji ndani ya Tanzania 👉 Wasilia...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Best Scientific Calculator Tanzania
Best Scientific Calculator Tanzania – Nunua Original kwa Bei Nafuu 🇹🇿 Unatafuta best scientific calculator Tanzania kwa masomo, mitihani au matumizi ya kitaalamu? Tunauza scientific calculators bora na original zinazofaa wanafunzi wa sekondari, vyuo na walimu. ✔️ Zinakubalika kwenye mitihani ✔️ Zinahesabu kwa haraka na...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
