Higher price first
Matangazo ya kipekee
Premium
100000.00 TZS
Nauza nguo
Nauza nguo za mtumba za kiume mtumba jumla na na na na na na na na
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Mabegi ya Shule ya Mtumba Imara na Mazuri kwa Bei Nafuu
Unatafuta mabegi ya shule ya mtumba yenye ubora na mitindo kwa bei nafuu? Karibu kwenye duka letu la mtumba ambapo tunauza mabegi ya shule ya mtumba kwa wanafunzi wa kila daraja. Mabegi yetu ni safi, imara, na yamechaguliwa kwa uangalifu ili kuhakikisha yanaendana na mahitaji ya shule na mitindo ya watoto. Tunayo mabeg...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nguo za mtumba za watoto
Nguo za Mtumba za Watoto โ Safi na Bei Nafuu! Tunauza nguo bora za watoto kuanzia miezi 0 hadi miaka 12. Mchanganyiko wa magauni, suruali, t-shirt, mashati na seti kamili. โ Jumla & rejareja โ Quality grade A โ Bei kuanzia Tsh 500/= kwa kipande โ Delivery Tanzania nzima
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
nguo za watoto za mtumba
Tafuta nguo za watoto za mitumba zenye ubora wa juu na mitindo ya kisasa! Tunauza: Shuka na suruali za watoto T-shirts, jackets, na nguo za michezo Nguo za shule na mitindo ya kila siku Bei nafuu, chaguo nyingi, na nguo zimehifadhiwa vizuri. Nzuri kwa watoto wadogo na wa shule. ๐ Pata kwenye soko zetu za Kariakoo, Bugu...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Suruali za cargo za kisasa
SURAULI ZA MTUMBA ZA CARGO ZA KISASA โ DAR ES SALAAM Nauza suruali za mtumba za cargo za kisasa kwa bei nafuu sana. Zipo katika hali nzuri, mitindo ya kisasa, zinafaa kuuzwa upya (resale). โ Wanaume na wanawake โ Rangi mbalimbali โ Size zote (S โ XXL) โ Ubora mzuri (Grade A/B) ๐ Mahali: Dar es Salaam ๐ฆ Jumla ๐ฐ Bei poa ...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
nguo za watoto za mtumba
Niongeze picha ya know I have to
Located: Dar es Salaam, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nunua jeans za kiume mtumba karibu mpya na kwa bei nafuu.
Pata Belo za jeans za kiume mtumba karibu mpya na kwa bei nafuu Dar es Salaam! Tunatoa chaguo kubwa la jeans zenye mitindo ya kisasa, zinazofaa kwa rika zote na kila mtindo wa kiume. Ubora wa nguo zetu unahakikisha zinadumu, zinafaa vizuri, na zinakidhi matarajio ya kila mteja. โ
Mitindo ya kisasa โ
Ubora wa juu โ
Chag...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Pata magauni mazuri ya mtumba karibu mapya bei nafuu
Pata Belo magauni mazuri ya mtumba karibu mapya na kwa bei nafuu Dar es Salaam. โ
Ubora wa juu, nguo zenye thamani ya pesa zako โ
Mitindo ya kisasa inayofaa kwa wadada wa rika zote โ
Chaguo nyingi za magauni, mashati, suruali na track suits โ
Zilizochaguliwa kwa uangalifu ili kuhakikisha zinakaa vizuri na zinadumu ๐ Da...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Jeans za kiume mtumba
Unatafuta belo za jeans za kiume mtumba jumla zenye ubora wa hali ya juu na zinazouzwa kwa bei nafuu? Karibu kwenye duka letu tunalouza belo za jeans za kiume mtumba grade 1, zikiwa na mitindo ya kisasa, ubora wa kudumu na ukubwa mchanganyiko unaokubalika sokoni. โ Jeans original kutoka Ulaya na Amerika โ Zinafaa kwa w...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Mabelo ya Nguo za Mtumba Yenye Faida Kubwa na Bei Nafuu
Unatafuta mabelo ya nguo za mtumba yenye faida kubwa? Karibu upate mabelo bora yaliyochaguliwa kwa umakini, yakiwa na nguo safi, zenye ubora wa juu na mitindo inayouzwa haraka sokoni. Tunapatikana na mabelo ya kike, kiume na watoto kwa bei nafuu kulingana na uwezo wako. Mabelo yetu yanafaa kwa wafanyabiashara wanaoanza...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nguo za mtumba grade one
Tunauza nguo za mtumba Grade One zenye ubora wa hali ya juu, karibu mpya, hazijachanika wala kuchuja rangi. Zipo kwa wanaume, wanawake na watoto. โ
Mitindo ya kisasa โ
Chaguo nyingi (mashati, suruali, magauni, track suit n.k.) โ
Bei nafuu sana โ
Unakaribishwa kuchagua mwenyewe ๐ Mahali: dar es salaam ๐ Wasiliana nasi k...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Suruali za kike za mtumba
DescriptionBATELEUR SAFARIS presents... RUAHA CHRISTMAS PARTY & SAFARI! ๐ Ruaha National Park | ๐๏ธ 25th & 26th December, 2025 2 DAYS / 1 NIGHT EXPERIENCE - AN ALL INCLUSIVE SAFARI PACKAGE! - Transport, 3 Meals, Accommodation, Soft Drinks, Entry & Guiding fees with so much fun! ๐ฐ PRICES... > East African ...
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Mchele grade 1 kutoka mbeya
Karibu mchele grade 1 kutoka Mbeya kwa bei punguzo kilo ni 2000 Tunasafirisha popote ulipo Contact 0627109582 Kilo ni 2000
Located: Mbeya, Mbeya, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
