Pata mitindo mipya ya mavazi, viatu na bidhaa za fashion kwa bei nafuu, chagua unachopenda kupitia Gulio Iringa.
Higher price first
2.00 TZS
Tunauza nguo za watoto zenye ubora
Tunauza nguo za watoto zenye ubora wa hali ya juu, zinazofaa kwa umri tofauti kuanzia watoto wachanga hadi wenye umri wa shule. Tunahakikisha kila bidhaa ina material laini, imara na salama kwa ngozi ya mtoto, hivyo kuwapa watoto faraja na muonekano mzuri kila siku. Tunatoa seti mbalimbali kama nguo za michezo, casual ...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
Wauzaji wa laptop iringa
Karibu kwenye Duka Kuu la Laptop, mahali ambapo unapata bidhaa mbalimbali za teknolojia za kisasa kwa bei za OFA zinazokuvutia. Tunajivunia kutoa aina mbalimbali za laptop za chapa maarufu, kompyuta ndogo za kubebeka (notebooks), vifaa vya kielektroniki, pamoja na accessoires za laptop kama vile madereva, charger, mous...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
FURNITURE ZA USED ZINAUZWA IRINGA
๐ช FURNITURE ZA USED ZINAUZWA IRINGA ๐๏ธ Unatafuta furniture nzuri za used kwa bei nafuu? Karibu Ilala, Iringa upate: โ
Masofa โ
Vitanda โ
Meza โ
Viti โ
Makabati โ
Furniture mbalimbali za nyumbani na ofisini ๐ Location: Ilala, Iringa ๐ Wasiliana nasi: 0756 024 318 Bei nafuu โข Quality nzuri โข Huduma bora
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Dukani kwa magda nguo bei poa bei rahisi!
Dukani kwa magda nguo bei poa bei rahisi! Tengeneza faida mara mbili. Simu 0636408609 https://chat.whatsapp.com/H1ucVTOWSxO5QGix6srtDj?mode=gi_t Tunarahisisha biashara kwa watu wa mikoani kwa kuwafikishia mizigo kwa haraka na kwauaminifu mkubwa. Watu wa Dar Es Salaam karibuni dukani Kariakoo jengo la DDC. Jumla Tsh 45,...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Suruali za kike za mtumba
DescriptionBATELEUR SAFARIS presents... RUAHA CHRISTMAS PARTY & SAFARI! ๐ Ruaha National Park | ๐๏ธ 25th & 26th December, 2025 2 DAYS / 1 NIGHT EXPERIENCE - AN ALL INCLUSIVE SAFARI PACKAGE! - Transport, 3 Meals, Accommodation, Soft Drinks, Entry & Guiding fees with so much fun! ๐ฐ PRICES... > East African ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Suruali za kike za mtumba
Mimi ni muuzaji wa mabelo ya nguo za mitumba zenye ubora wa hali ya juu. Nauza shuka mbalimbali, suruali za aina zote, nguo za watoto na nguo za wakubwa kwa bei nafuu na zinazomudu kila mfuko. Nguo zipo katika hali nzuri, safi na tayari kuuzwa rejareja au jumla. Nafaa kwa wafanyabiashara wanaoanza au wanaoendelea. Nipo...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Tunauza viatu vya kiume sandals
TUNATENGENEZA WENYEWE! Tunauza kwa bei ya jumla kuanzia SH 4,000 kwa agizo la pea 10 na kuendelea, na kwa rejareja ni SH 7,000 tu. Ubora wetu ni wa kiwango cha juu kwa sababu bidhaa zetu tunazitengeneza sisi wenyewe, ndiyo maana wateja wetu wengi wanarudi tena na tena. Zaidi ya mauzo, tunatoa ushauri bure kabisa kwa wa...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Tunauza bajaji used
TUNAUZA NA KUNUNUA BAJAJI USED **Full documentโ
**Price/bei-7,500,000/=๐ฐ **Location-Dar es salaam(mbagara)โ
โ๏ธCall & WhatsApp:0694048469๐ Mikoani Tunatuma Kwa Uwaminifu Mkubwa ๐๐ฝ๐๐ฝ
Located: Mbagalla, Dar es Salaam, TZ
Check with seller
Tunauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama wazuri, waliokuzwa kwa ubora na afya njema. Unapata kuku safi, wenye uzito mzuri na tayari kwa matumizi ya familia, sherehe au biashara ya chakula. ๐ Napatikana Gangilonga Iringa mjini ๐ Piga simu / WhatsApp: 0627731551, 06222155033 ๐ Karibu uwasiliane nami kwa bei nafuu na huduma ya haraka.
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Nauza Kuku wa sasso ni wazuri
KARIBUNI mjipatie kuku aina ya sasso wanapatikana wakuuza na kufuga wamepata chanjo wote
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Nauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama waliokomaa vizuri, wenye afya bora na wanakua haraka. Kuku wanapatikana kwa bei nafuu na mzuri kwa biashara au matumizi ya nyumbani. Maelezo ya Ziada: โ
Kuku wazima na wenye uzito wa kutosha โ
Bei nafuu kwa jumla na rejareja โ
Napatikana Iringa Mawasiliano: Piga/SMS: 0760812258
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Nauza kuku wa Sasso wa ubora wa juu
Wauzaji wa kuku na vifaranga Bora vya sasso Washauri wa kitaalamu na wafugaji wa mabanda ya kuku Tunatumia mpaka mikoani
Located: Ismani, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
