Mitindo mipya ya wanaume Tanzania ikiwemo nguo, viatu na accessories. Chagua mavazi yanayoendana na mahitaji yako na wakati wa sasa.
Higher price first
Matangazo ya kipekee
Premium
Wasiliana na muuzaji
Sendo za mtumba za kiume
Karibu Saleko Mtumba Classic upate sendo za kiume za grade 1 zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu kabisa. Tunayo sendo za aina mbalimbali zenye mitindo ya kisasa, zinazofaa kwa matumizi ya nyumbani, michezo, safari na matumizi ya kila siku. ✔️ Quality kali ✔️ Bei rafiki ✔️ Mitindo tofauti ✔️ Size zote zinapatikana ...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Nauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama waliokomaa vizuri, wenye afya bora na wanakua haraka. Kuku wanapatikana kwa bei nafuu na mzuri kwa biashara au matumizi ya nyumbani. Maelezo ya Ziada: ✅ Kuku wazima na wenye uzito wa kutosha ✅ Bei nafuu kwa jumla na rejareja ✅ Napatikana Iringa Mawasiliano: Piga/SMS: 0760812258
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Nauza Kuku wa sasso ni wazuri
KARIBUNI mjipatie kuku aina ya sasso wanapatikana wakuuza na kufuga wamepata chanjo wote
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Tunauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama wazuri, waliokuzwa kwa ubora na afya njema. Unapata kuku safi, wenye uzito mzuri na tayari kwa matumizi ya familia, sherehe au biashara ya chakula. 📍 Napatikana Gangilonga Iringa mjini 📞 Piga simu / WhatsApp: 0627731551, 06222155033 👉 Karibu uwasiliane nami kwa bei nafuu na huduma ya haraka.
Located: Iringa, Iringa, TZ
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
