Tafuta majengo, ardhi na viwanda Tanzania – warehouses, showrooms na biashara ndogo au kubwa kupitia Gulio Iringa kwa urahisi.
Check with seller
Dalali Iringa | Nyumba, Viwanja na Ofisi za Kupanga
DALALI IRINGAMJINI – NYUMBA, VIWANJA, MASHAMBA NA OFISI ZA KUPANGA IRINGA Je, unatafuta nyumba ya kuishi, kiwanja cha kujenga, shamba la kilimo au ofisi ya biashara kwa ajili ya kupangisha? Dalali Iringamjini tunakusaidia kupata mali unayoihitaji kwa haraka, kwa usalama na kwa bei inayokidhi mahitaji yako. Tunapatikana...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Shamba la Kilimo Linauzwa Iringa Ekari 16
SHAMBA LINAUZWA – IRINGA Unatafuta shamba kubwa kwa ajili ya kilimo, ufugaji au uwekezaji? Hili ni fursa nzuri kwako. 📍 Mahali: Eneo la Ekari 16, takribani kilomita 25 kutoka Mji wa Iringa kuelekea Mbeya, na kilomita 1 tu kutoka Barabara Kuu ya Iringa–Mbeya. 🌿 Ukubwa wa Shamba: Ekari 16 💰 Bei: Shilingi Milioni 100 (maz...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Godown ya Kupangisha Iringa Industrial Area SQM 1000
GODOWN KUBWA YA KUPANGISHA IRINGA INDUSTRIAL AREA 🏢 Unatafuta godown ya kisasa kwa ajili ya kuhifadhi bidhaa, vifaa vya biashara au shughuli za uzalishaji? Fursa hii ni kwa ajili yako. Inapangishwa godown kubwa yenye ukubwa wa mita za mraba 1,000 (SQM 1000) iliyopo katika Industrial Area, Iringa, eneo linalofikika kwa ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
DALALI IRINGA MJINI – NYUMBA, VIWANJA NA MASHAMBA IRINGA
🏡 DALALI IRINGA MJINI – NYUMBA, VIWANJA NA MASHAMBA IRINGA 🏡 Je, unatafuta nyumba ya kununua, kiwanja cha kujenga, au shamba kwa ajili ya kilimo na uwekezaji? Dalali Iringa Mjini ni sehemu sahihi ya kupata huduma za uhakika za udalali wa mali mbalimbali ndani na nje ya Mkoa wa Iringa. Tunakuunganisha na wamiliki wa mal...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Tuna design na tuna Jenga nyumba
Tuna design,tuna Jenga tuna Fanya makadilio ya ujenzi , ukarabati, landscape ( garden) designing,Tunatoa ushauri kabla na baada ya ujenzi,Tunabuni langi mbalimbali pia ,karibu tukupe huduma 💪 🙌 📞0673143486 IRINGA MJINI.
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Hotel Iringa Nzuri Huduma Bora
FJN Countryside Hotel ni sehemu sahihi na bora kwa ajili ya kufanyia vikao mbalimbali ndani ya Iringa Mjini. Tunatoa mazingira tulivu, safi na yenye utulivu yanayokufaa kwa vikao vya harusi, vikao vya kiofisi, mikutano ya kibiashara, warsha, mafunzo, kongamano, sherehe ndogo, pamoja na mikusanyiko mingine ya kijamii. U...
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
