Matangazo ya kipekee
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni Mazuri ya Mtumba Yanayovutia kwa Bei Nafuu
Premium
Wasiliana na muuzaji
Furniture za Kisasa Iringa Mwangata | Sofa, Vitanda, Meza na Kabati Bora
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni ya Mtumba Bei Nafuu โ Safi na Bora
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni Mazuri ya Mtumba Grade A Bei Nafuu Iringa
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunatengeneza furniture aina zote with high quality standard
Check with seller
Nauza Showcase Nzuri ya Kisasa
Nauza showcase nzuri ya kisasa kwa ajili ya chumba cha wageni au ofisi. Imetengenezwa kwa mbao imara na vioo vya ubora, inafaa kwa kuhifadhia vyombo, vitabu au mapambo. Hali yake ni nzuri sana na inauzwa kwa bei nafuu. ๐ Napatikana Iringa mjini ๐ Piga au tuma meseji kwa maelezo zaidi 0627477686 0710574686
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Tunatengeneza masofa ya kisasa
Tunatengeneza masofa ya kisasa ya aina mbalimbali tunapatikana iringa mjini Kwa mawasiliano 0624659006
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Tunatengeneza furniture aina zote with high quality standard
NB.Tunatengeneza furniture aina zote โ๏ธ with high quality standard ๐ฅ WE DO ๐ Interior and Exterior ๐Site visiting ๐ Office ; Changโombe Maduka Please call/Whatsapp us 0788847257
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Nauza mayai ya kisasa
Unataka kuwa MILIONEA? Uza MAYAI ! Anza hata na trey chache. Soko ni Kubwa. Uzia Nyumbani, Dukani, Kibandani, Gengeni... Agiza sasa kutoka KILOMBERO KUKU FARM Tsh.6,000/= @ Trey Piga 0769217810. Whatsapp 0677988499. * Makubwa ya kisasa yenye kiini cha njano. * Tupo Kilombero, Morogoro - Tanzania. * Tunasafirisha mikoa ...
Located: Morogoro, Morogoro, TZ
Check with seller
Tunauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama wazuri, waliokuzwa kwa ubora na afya njema. Unapata kuku safi, wenye uzito mzuri na tayari kwa matumizi ya familia, sherehe au biashara ya chakula. ๐ Napatikana Gangilonga Iringa mjini ๐ Piga simu / WhatsApp: 0627731551, 06222155033 ๐ Karibu uwasiliane nami kwa bei nafuu na huduma ya haraka.
Located: Iringa, Iringa, TZ
9000.00 TZS
Kuku wa Nyama Wanaouzwa Iringa โ Kuku Waliokomaa na Bei Nafuu
Kuku wa Nyama Wanaouzwa Iringa โ Waliokomaa na Wenye Afya Bora Unatafuta kuku wa nyama Iringa kwa matumizi ya nyumbani au biashara? Tunauza kuku wa nyama waliokomaa vizuri, wenye afya bora na uzito unaofaa kwa soko. Kuku wetu wanatunzwa katika mazingira mazuri ili kuhakikisha wanakuwa na ubora unaokidhi mahitaji ya wat...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
kuku wa kisasa wa nyama
Nauza kuku wa kisasa wenye afya nzuri na waliokuzwa kwa chakula bora. Unapata kuku bora kwa ajili ya biashara, sherehe, au matumizi ya nyumbani. Bei zetu ni nafuu na unaweza kupata kwa rejareja au jumla. ๐ Napatikana kihesa Iringa ๐ Wasiliana nami kwa maelezo zaidi 0718603656 0742610610
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Mayai ya kisasa
Nauza mayai ya kisasa, safi na yenye ubora kwa bei nafuu. Yanapatikana kwa wingi na kwa bei ya jumla na rejareja. ๐ Yanafaa kwa chakula cha familia ๐ Yanapatikana kwa wingi kwa wafanyabiashara wa mayai ๐ Ubora na uhakika wa kutosha MAHALI: Iringa Mjini MAWASILIANO: Piga/SMS/WhatsApp: 0789098984
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
masweta mazuri ya kisasa
Nauza masweta mazuri ya kisasa, yenye ubora mzuri na bei nafuu. Yanapatikana katika size na rangi tofauti kulingana na mahitaji yako. Yanafaa kwa matumizi ya kila siku na sherehe. Mahali: Iringa Mjini Wasiliana Nami: 0745395040
Located: Mafinga, Iringa, TZ
30000.00 TZS
Raba Kali za Mtumba Zinauzwa Iringa Mjini โ Imara na Bei Nafuu
Raba Kali za Mtumba Zinauzwa Iringa Mjini โ Ubora wa Juu kwa Bei Nafuu Unatafuta raba kali za mtumba Iringa zenye ubora mzuri na zinazodumu kwa muda mrefu? Tunauza raba za mtumba zilizochaguliwa kwa umakini, zikiwa katika hali safi na nzuri kwa matumizi ya kila siku. Raba hizi ni imara, zinavaa kwa urahisi na zinafaa k...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Nauza mashati ya kiume ya mtumba
Nauza mashati ya kiume ya mtumba grade A, ubora wa hali ya juu na bado mapya kwa kuvaa. โ๏ธ Yanapatikana kwa rangi na design mbalimbali โ๏ธ Ubora wa kudumu na muonekano wa kisasa โ๏ธ Bei nafuu na inakubaliana Mahali: Iringa mjini Mawasiliano: 0657693380 Piga/Sms/WhatsApp kwa maelezo zaidi
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Nauza masweta Mazuri ya Mtumba Grade A kwa Bei Nafuu Iringa
Nauza masweta mazuri ya mtumba grade A, ubora wa hali ya juu na bado mapya kwa kuvaa. Yanafaa kwa msimu wa baridi na yana muonekano wa kisasa. ๐ Bei ni nafuu na inakubaliana ๐ Yanapatikana kwa rangi na size tofauti Mahali: Iringa mjini Mawasiliano: 0624589320 Piga/Sms/WhatsApp kwa maelezo zaidi
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
