Pata ajira za teknolojia, IT na digital solutions kwa urahisi. Tafuta au tangaza kazi za teknolojia zinazoaminika.
Lower price first
2.00 TZS
Kiwanja kinauzwa isakalilo
Kiwanja kinauzwa katika eneo la Isakalilo, Manispaa ya Iringa, kikiwa na ukubwa wa 25 kwa 35. Ni eneo zuri sana kwa makazi, uwekezaji au ujenzi wa mradi binafsi kutokana na mandhari tulivu na miundombinu iliyo karibu. Kiwanja kimepimwa rasmi, hivyo mnunuzi anapata uhakika wa umiliki halali na hati safi. Maji na umeme v...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
Karibu Autorex Garage Iringa
Karibu Autorex Garage Iringa – kituo chako cha uhakika kwa huduma bora za matengenezo na utunzaji wa gari. Tunatoa Wheel Alignment ya kisasa kwa usahihi zaidi ili kuhakikisha gari lako linasimama na kusafiri kwa mtiririko mzuri. Pia tunafanya Car Services kamili ikijumuisha engine check, brake check, oil change, filter...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
5.00 TZS
KIZITA SOFT LTD Iringa – Website, CCTV, GPS na Huduma za IT
KIZITA SOFT LTD – Suluhisho la Kisasa la Teknolojia kwa Biashara Yako Je, unatafuta kampuni ya kuaminika ya TEHAMA itakayokusaidia kukuza biashara yako kwa kutumia teknolojia za kisasa? KIZITA SOFT LTD ndiyo chaguo sahihi kwako. Tunatoa huduma mbalimbali za kitaalamu zinazolenga kuboresha uendeshaji wa biashara, kuonge...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
