Higher price first
Matangazo ya kipekee
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunatengeneza furniture aina zote with high quality standard
NB.Tunatengeneza furniture aina zote ✔️ with high quality standard 🔥 WE DO 📍 Interior and Exterior 📍Site visiting 📍 Office ; Chang’ombe Maduka Please call/Whatsapp us 0788847257
Located: Iringa, TZ
2.00 TZS
Kozi tunazotoa chuo cha udereva nit
Tunawakaribisha wote kujiunga na mafunzo ya uendeshaji wa mitambo (Heavy Duty Equipment Operation) yenye lengo la kuwapa washiriki ujuzi wa vitendo, maarifa ya kina na uwezo wa kufanya kazi kwenye mazingira halisi ya viwandani na miradi mikubwa ya ujenzi. Mafunzo haya yameandaliwa kwa ubora wa juu ili kuhakikisha kila ...
Located: Dodoma, Dodoma, TZ
Condition: New
2.00 TZS
Nyumba za Kupanga Iringa Bei Nafuu na Makazi Bora
*📢 UNAHITAJI CHUMBA/NYUMBA YA KUPANGA AU FRAME YA BIASHARA?* Usijisumbue tena! Tunapangisha vyumba safi, salama na bei nafuu Iringa Mjini 🏠 ✅ *FRAME ZA BIASHARA MJINI* 👉Kuna frame ya 250K Mjini, Karibu Ofisi Za Vyunjabei 👉Kuna frame ya 250k Kitanzini karibu na ofisi za vyumjabei kodi 250k ✅ *Single Room:* 25k–50k ✅ *Se...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
Nauza Kuku wa Nyama Mkimbizi Iringa
Unatafuta kuku wa nyama wenye ubora mzuri, waliofugwa katika mazingira safi, salama na yenye chakula cha kutosha? Tunakuletea ofa maalum ya kuku wa nyama kwa bei nafuu na inayomfaa kila mteja katika maeneo ya Iringa, hususan eneo la Mkimbizi, ambako huduma zetu zimekuwa zikiaminika na kupendwa na wateja wengi. Kila kuk...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
G’S Contractors Co. Ltd iringa
G’S Contractors Co. Ltd ni kampuni inayoongoza mkoani Iringa katika utoaji wa huduma za ujenzi wa majengo na miradi ya civil engineering. Tunajivunia taaluma, uzoefu na uaminifu katika kutekeleza miradi mikubwa na midogo kwa viwango vya kimataifa. Timu yetu ya wataalamu imebobea katika ujenzi wa nyumba za kisasa, majen...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
2.00 TZS
Nauza Toyota Rash kwa bei ya Milioni 6.3
Nauza Toyota Rash kwa bei ya Milioni 6.3. Gari ipo Mafinga, ipo katika hali nzuri, tayari kwa kuendesha. Kwa maelezo zaidi au kuja kuangalia gari, tafadhali wasiliana nami kupitia simu au WhatsApp 0752 555 884. Pata gari bora kwa bei nafuu, huduma ya haraka na ya kuaminika. Tuna uhakika utapendezwa na gari hii Toyota R...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
2.00 TZS
Manhattan_gym_fitness
Welcome to Manhattan Fitness Gym in Mtoni Kijichi, Dar es Salaam, the perfect place to achieve your health and fitness goals. We offer modern workout programs including strength training, aerobics, yoga, and personal training under the guidance of a certified Fitness Trainer and Healthy Eating Consultant. Join us to ge...
Located: Mtoni, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
2.00 TZS
E4M SOCIAL CENTRE IRINGA
E4M SOCIAL CENTRE IRINGA NJIAPANDA YA TOSA. UKUMBI WA KISASA KABISAA WENYE UWEZO WA KUBEBA WATU 600 KWA GHARAMA YA SHILINGI LAKI SITA TU. KWA BOOKING TUPIGIE KUPITIA NAMBA 0742260293 AU 0768450235. WAHI MAPEMA UJIPATIE KILICHO BORA KABISAAAA MSIMU HUU WA SHEREHE NA MIKUTANO MBALIMBALI NYOTE MNAKARIBISHWA.
Located: Iringa, Iringa, TZ
2.00 TZS
Tunauza vitu vipya au used vyenye ubora
Unatafuta vitu vipya au used vyenye ubora wa hali ya juu bila kupoteza muda kwenda dukani? MPONZI ELECTRONICS STORE inakuletea bidhaa bora, imara na zenye kudumu moja kwa moja kutoka kwa wauzaji wanaoaminika. Tunajivunia kutoa electronics za kisasa kama TV, simu, home theaters, friji, laptop, speaker, redio na vifaa vi...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
Neema beauty spa salon
Quality & Natural Beauty Salon Sed ut perspiciatis unde omnis iste natus error sit voluptatem accusantium doloremque laudantium totam rem aperia eaque ipsa quae abillo inventore veritatis quasi architecto beatae vitae dicta sunt explicabo. Nemo enim quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit sed consequuntur m...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
Tunatoa Kozi ya mapishi veta dar es salaam
Kozi ya Mapishi katika Chuo cha Ufundi Arizona @arizona_vtc 📌Fomu za Usajili zinapatikana Chuoni au kwa njia ya mtandao 📌Kozi inaanza tarehe 18/07/2022 (Miezi mitatu) 📌Swipe kuona muongozo na mtiririko wa kozi yote. 📌Wahitimu hupatiwa Vyeti 📌Chuo kimesajiliwa na VETA 📌Mafunzo kwa Vitendo 📌Ada inajumuisha uniform na vif...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
2.00 TZS
Jiunge na Kozi ya Video Production dar es salaam
Karibu CCT kwenye kozi ya Graphics & Video! Jifunze kutengeneza content ya kitaalamu inayovutia, ya ubora wa juu kwa ajili ya mitandao ya kijamii, biashara, matangazo, na maudhui ya digital marketing. Kozi hii inafaa kwa wajasiriamali, wauzaji wa bidhaa, waundaji wa video na picha, pamoja na wote wanaotaka kuongeza...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
2.00 TZS
Kiwanja kinauzwa ipogolo
🌲 *Haya! Haya! Hayaaaa!!!...*🌲👉👉 Kile *(KIWANJA KIZURI) SAANA* Cha *(PALE IPOGOLO)* Mkoani *(IRINGA)* Bado Kipo -KIWANJA *(KIPO KLM 3)* From 👉 *(CITY CENTER)* -KIWANJA kinafikika GARI inafika *(MPAKA👉SAITI)* -KIWANJA KIPO Kwa JUU Sio *(BONDENI)* -KIWANJA KINAFAA Kwa *(UWEKEZAJI)* kama Vile *(SHAMBA)* 👉 *(YADI)* au *(GO...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
