Pata mitindo mipya ya mavazi, viatu na bidhaa za fashion kwa bei nafuu, chagua unachopenda kupitia Gulio Iringa.
Matangazo ya kipekee
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni Mazuri ya Mtumba Yanayovutia kwa Bei Nafuu
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni ya Mtumba Bei Nafuu – Safi na Bora
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni Mazuri ya Mtumba Grade A Bei Nafuu Iringa
Premium
Check with seller
Magauni ya Mtumba Grade 1 – Bei Nafuu
Nauza magauni ya mtumba grade A yenye ubora mzuri na muonekano wa kuvutia. Magauni yapo katika hali safi na yamechaguliwa vizuri, yanafaa kwa matumizi ya kila siku na sherehe. 📍 Nipo Iringa mjini, Mashine Tatu ✅ Ubora wa juu (Grade A) ✅ Bei nafuu na maongezi yapo ✅ Ukifika unachagua mwenyewe Mawasiliano: Piga/WhatsApp:...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Mabelo ya Nguo za Mitumba Bei Nafuu
Nauza mabelo ya nguo bora za mitumba aina mbalimbali kwa bei nafuu. 👉 Ubora wa hali ya juu 👉 Bei rafiki na inayokubaliana 👉 Chaguo la mteja – mitindo na makundi tofauti Napatikana Iringa. Kwa mawasiliano na maelezo zaidi nipigie simu au tuma meseji. Simu/WhatsApp: 0716454646
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Nauza viatu vya Travolta
Viatu vya Mtumba Grade A Travolta Vinauzwa 🥿 Nauza viatu vya mtumba grade A vilivyo kwenye hali nzuri sana. 📍 Napatikana Iringa mjini ✅ Ubora wa hali ya juu ✅ Bei nafuu kabisa ✅ Vyote viko tayari kwa matumizi Karibu ununue kwa ajili yako au biashara. Piga/WhatsApp: 0621006724
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Brauzi za Mtumba za Ubora wa Juu Zinauzwa Frelimo Iringa
Je, unatafuta brauzi za mtumba Grade 1 Iringa zenye ubora wa hali ya juu na bei nafuu? Tunauza brauzi safi za mtumba zilizochaguliwa kwa umakini, zikiwa katika hali nzuri na zinazofaa kwa matumizi binafsi au biashara ya nguo. Brauzi hizi zina muonekano mzuri, zinadumu kwa muda mrefu na zinapatikana katika mitindo mbali...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Magauni ya Mtumba Bei Nafuu – Safi na Bora
Nauza magauni ya mtumba ya kike yenye ubora mzuri na muonekano wa kisasa. Magauni yapo katika hali nzuri, safi na yanapatikana kwa bei nafuu sana. ➡️ Aina mbalimbali za magauni (short, long & casual wear) ➡️ Ubora mzuri – yanavaliwa muda mrefu ➡️ Bei nafuu inayokufaa Mahali: Iringa mjini– Mashine tatu Wasiliana Nas...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Nguo za Mtumba za Watoto Zinapatikana
Nauza Nguo nzuri na za bei nafuu za watoto 🔹 Mahali: Iringa, Mashine Tatu 🔹 Ubora: Zipo katika hali nzuri, zimechaguliwa kwa umakini 🔹 Bei: Nafuu kabisa – unapata kwa bei ya jumla na rejareja 👉 Karibu ujipatie nguo bora za mtumba kwa ajili ya watoto wako! 📞 Kwa mawasiliano: 0769333551
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
