Pata mitindo ya wanawake kwa jumla na rejareja kutoka kwa wauzaji mbalimbali Tanzania. Nguo, viatu na mavazi ya sherehe au casual kwa bei nafuu.
Higher price first
Matangazo ya kipekee
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni Mazuri ya Mtumba Yanayovutia kwa Bei Nafuu
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni ya Mtumba Bei Nafuu – Safi na Bora
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni Mazuri ya Mtumba Grade A Bei Nafuu Iringa
Check with seller
Suruali za kike za mtumba
Mimi ni muuzaji wa mabelo ya nguo za mitumba zenye ubora wa hali ya juu. Nauza shuka mbalimbali, suruali za aina zote, nguo za watoto na nguo za wakubwa kwa bei nafuu na zinazomudu kila mfuko. Nguo zipo katika hali nzuri, safi na tayari kuuzwa rejareja au jumla. Nafaa kwa wafanyabiashara wanaoanza au wanaoendelea. Nipo...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Suti za Kike za Sketi Ndefu Iringa – Mitindo ya Kisasa
Suti za Kike za Sketi Ndefu Iringa – Muonekano wa Heshima na Kisasa ✨ Unatafuta suti za kike za sketi ndefu zenye muonekano wa smart, classy na wa kisasa? SUTiMWILIHENGA tunashona suti nzuri za wanawake zenye sketi ndefu kwa ubora wa hali ya juu zinazofaa kwa ofisini, ibadani, vikao, harusi na matukio mbalimbali rasmi....
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Suti za Kike za Vitambaa Iringa | Bei Nafuu na Kisasa
Suti za Kike za Vitambaa Iringa – Ubora, Heshima na Mitindo ya Kisasa ✨ Unatafuta suti za kike za vitambaa zenye ubora wa juu, zinazokupa muonekano wa kisasa, smart na wa heshima? SUTiMWILIHENGA tunashona suti za wanawake kwa kutumia vitambaa bora kabisa vinavyodumu na kuleta muonekano wa kifahari kwa kila mwanamke. ✔ ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Magauni Mazuri ya Mtumba Grade A Bei Nafuu Iringa
Nauza magauni mazuri ya mtumba Grade A yenye ubora wa hali ya juu, safi, na ya mitindo ya kisasa. Magauni yetu yanatoka kwa wachuuzi wa kuaminika na yamechaguliwa kwa uangalifu kuhakikisha kila kipande kina muonekano mzuri, kinaendana na mitindo ya sasa, na kinastahili kwa sherehe, shuleni, au matumizi ya kila siku. Tu...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
FURNITURE ZA USED ZINAUZWA IRINGA
🪑 FURNITURE ZA USED ZINAUZWA IRINGA 🛋️ Unatafuta furniture nzuri za used kwa bei nafuu? Karibu Ilala, Iringa upate: ✅ Masofa ✅ Vitanda ✅ Meza ✅ Viti ✅ Makabati ✅ Furniture mbalimbali za nyumbani na ofisini 📍 Location: Ilala, Iringa 📞 Wasiliana nasi: 0756 024 318 Bei nafuu • Quality nzuri • Huduma bora
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Suruali za kike za mtumba
DescriptionBATELEUR SAFARIS presents... RUAHA CHRISTMAS PARTY & SAFARI! 📍 Ruaha National Park | 🗓️ 25th & 26th December, 2025 2 DAYS / 1 NIGHT EXPERIENCE - AN ALL INCLUSIVE SAFARI PACKAGE! - Transport, 3 Meals, Accommodation, Soft Drinks, Entry & Guiding fees with so much fun! 💰 PRICES... > East African ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Bei Nafuu za Magauni ya Mtumba Iringa
CHIMBO LA MAGAUNI YA MTUMBA GRADE 1 IRINGA 👗 Unatafuta magauni mazuri ya mtumba grade 1 yenye ubora wa hali ya juu na bei nafuu? Karibu kwetu Iringa mjini mashine tatu mikoani, tunakuletea chaguo mbalimbali za magauni ya kisasa yanayovutia kwa matumizi ya kila siku, kazini, sherehe, dinner, kanisani na outing. ✨ Tunauz...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Magauni ya Kisasa Mtumba Iringa – Tunauza Jumla na Rejareja
Tunauza magauni mazuri ya mtumba grade 1 yaliyochaguliwa kwa umakini mkubwa, yenye ubora wa hali ya juu na mitindo ya kisasa inayovutia. Bidhaa zetu ni safi, zenye mvuto na zinazokidhi mahitaji ya wateja wa aina zote. 📍 Tupo Iringa Mjini (Mikoani) – Tunatuma mpaka ulipo popote Tanzania ✔ Tunauza kwa jumla na rejareja k...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Suti za Kike Graduation Iringa | Mitindo ya Kisasa
Suti za Kike za Graduation Iringa – Muonekano wa Kipekee kwa Siku Yako Maalum ✨🎓 Unatafuta suti za kike za graduation zenye muonekano wa classy, smart na wa kisasa kwa siku yako ya mahafali? SUTiMWILIHENGA tunakushonea suti nzuri za wanawake zinazokupa muonekano wa kuvutia na confidence siku yako muhimu ya graduation. ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Suti za Kike za Kisasa Iringa Mishono ya Ubora
Mishono ya Suti za Kike Iringa – Mitindo ya Kisasa na Ubora wa Hali ya Juu ✨ Je, unatafuta mishono ya suti za kike yenye muonekano wa classy, smart na wa kuvutia? SUTiMWILIHENGA tunakuletea mishono mizuri ya suti za wanawake inayokufanya uonekane tofauti kwenye ofisi, harusi, graduation, ibada na matukio mbalimbali ras...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Suti za Kike Wedding Iringa – Mitindo ya Kisasa
Mishono ya Suti za Kike Wedding Iringa – Muonekano wa Kifahari kwa Siku Maalum ✨ Je, unatafuta mishono ya suti za kike wedding yenye elegance, heshima na mvuto wa kipekee? SUTiMWILIHENGA tunashona suti za wanawake kwa ajili ya harusi zenye mitindo ya kisasa na ubora wa hali ya juu zinazokufanya uangaze kwenye siku yako...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
