Tafuta mali isiyohamishika Tanzania – nyumba, viwanja, ofisi na biashara kwa ununuzi, kodi au uwekezaji kupitia Gulio Iringa.
Higher price first
2.00 TZS
Nyumba za zinazouzwa Iringa Ofa Bora za Makazi
🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳 KARIBU, *IRINGA MJINI VYUMBA* , *APARTMENT* , *NYUMBA NZIMA* , *FREMU&CONTENA* ⭐⭐VYUMBA vinapatikana: Maeneo ya: 💚 Isakalilo 💚Zizi 💚Mlandege 💚Kwa kilosa 💚 Mkimbizi 💚 Mawelewele 💚Donibosco 💚Kihesa 💚Tumaini 💚Mkwawa 💚Ikonongo 💚Itamba 💚Wilolesi 💚Gangilonga 💚 Ipogolo 💚 Kitwiru 💚Mwangata 💚Kigamboni 💚 Kig...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
2.00 TZS
Mashamba ya miti yanauzwa
Wakuu kuna haya Mashamba yanauzwa, Kama una mzigo we ruka na mojawapo: Iringa, Wilaya ya Mafinga, Kata ya Mdabulo, Isipii. 1. Ekari 10: Shamba na Miti Pine (miaka 8) -> 15.5M 2. Ekari 20: Shamba na Miti Pine (miaka 7) -> 24M 3. Ekari 20: Shamba na Miti Pine (miaka 5) -> 18M 4. Ekari 5 - Shamba -> 2.1M 🎯Mao...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
Nyumba za Kupanga Iringa Bei Nafuu na Makazi Bora
*📢 UNAHITAJI CHUMBA/NYUMBA YA KUPANGA AU FRAME YA BIASHARA?* Usijisumbue tena! Tunapangisha vyumba safi, salama na bei nafuu Iringa Mjini 🏠 ✅ *FRAME ZA BIASHARA MJINI* 👉Kuna frame ya 250K Mjini, Karibu Ofisi Za Vyunjabei 👉Kuna frame ya 250k Kitanzini karibu na ofisi za vyumjabei kodi 250k ✅ *Single Room:* 25k–50k ✅ *Se...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
Napangisha apartment mtwivila
Apartment ya vyumba viwili vya kulala, ambapo chumba kimoja ni master, inapangishwa katika eneo la Mtwaivira karibu kabisa na shule ya msingi na jirani na barabara ya lami. Ni apartment nzuri, safi na yenye mpangilio mzuri: ina sebule ya kutosha kwa familia, jiko lililo tayari kwa matumizi, na vyumba vyenye nafasi nzur...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
Kiwanja kinauzwa ipogolo
🌲 *Haya! Haya! Hayaaaa!!!...*🌲👉👉 Kile *(KIWANJA KIZURI) SAANA* Cha *(PALE IPOGOLO)* Mkoani *(IRINGA)* Bado Kipo -KIWANJA *(KIPO KLM 3)* From 👉 *(CITY CENTER)* -KIWANJA kinafikika GARI inafika *(MPAKA👉SAITI)* -KIWANJA KIPO Kwa JUU Sio *(BONDENI)* -KIWANJA KINAFAA Kwa *(UWEKEZAJI)* kama Vile *(SHAMBA)* 👉 *(YADI)* au *(GO...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
2.00 TZS
Miti inauzwa eneo la itimbo
Miti inauzwa eneo la Itimbo, ikiwa ni hekari moja yenye miti mikubwa, imara na iliyokomaa kwa zaidi ya miaka 10. Ni nafasi bora sana kwa wanaohitaji miti ya kutengeneza mbao nyingi kwa matumizi ya ujenzi, biashara ya mbao, au miradi ya viwandani. Miti hii imepandwa kwa mpangilio mzuri, imetunzwa vizuri, na ipo kwenye a...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Ramani za nyumba iringa za kisasa
Kazi mpya hii kutoka DBD ipo kwenye mchakato wa kukamilika Haina mteja hii na ukipata ni ya kwako pekeako hihi design 👉 Ramani hii ni mchangayiko wa SOBA HOUSE (Round house) na hidden roof (flat roof) ni jengo lenye mvuto wa kipekee na decorations zenye mvuto wake , swimming pool,pia Ra yake ni minimalist creen sanaaa ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Tuna design na tuna Jenga nyumba
Tuna design,tuna Jenga tuna Fanya makadilio ya ujenzi , ukarabati, landscape ( garden) designing,Tunatoa ushauri kabla na baada ya ujenzi,Tunabuni langi mbalimbali pia ,karibu tukupe huduma 💪 🙌 📞0673143486 IRINGA MJINI.
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Karibu Gentle Hills Hotel – Iringa Tanzania
🌿 Karibu Gentle Hills Hotel – Iringa, Tanzania 🌿 Enjoy comfort, relaxation, and unforgettable hospitality in the gentle hills of Gangilonga, Iringa. Whether you're traveling for business or leisure, Gentle Hills Hotel offers peaceful accommodation, modern rooms, delicious meals, and a welcoming environment for every gu...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Rent
Check with seller
Shamba la Kilimo Linauzwa Iringa Ekari 16
SHAMBA LINAUZWA – IRINGA Unatafuta shamba kubwa kwa ajili ya kilimo, ufugaji au uwekezaji? Hili ni fursa nzuri kwako. 📍 Mahali: Eneo la Ekari 16, takribani kilomita 25 kutoka Mji wa Iringa kuelekea Mbeya, na kilomita 1 tu kutoka Barabara Kuu ya Iringa–Mbeya. 🌿 Ukubwa wa Shamba: Ekari 16 💰 Bei: Shilingi Milioni 100 (maz...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Kiwanja kipo mafinga nauza
BEI IMEVUNJWA UKUBWA WA KIWANJA MITA 25KWA 22. KIWANJA KIPO LUMWAGO MAFINGA IRINGA TANZANIA 🇹🇿. BEI NI MILIONI MBILI. BARABARA, UMEME, MAJI, VYOTE VIPO JILANI. 📲O768651525.
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Nyumba ya Vyumba 4 Inauzwa Isakalilo Iringa kwa Milioni 35
🏡 NYUMBA INAUZWA – ISAKALILO, IRINGA 🏡 Unatafuta nyumba kubwa ya familia katika eneo zuri na linalokua kwa kasi? Hii ni fursa yako ya kumiliki nyumba yenye nafasi kubwa na mazingira mazuri katika eneo la Isakalilo, Iringa. ✅ Maelezo ya Nyumba: Vyumba 4 vya kulala Sebule kubwa Dining room Jikoni Vyoo na mabafu Veranda y...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Buy
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
