Tangaza huduma zako kupitia Gulio Iringa Pata huduma za ufundi, ujenzi, IT, usafiri, usafi na biashara zote sehemu moja.
Higher price first
Check with seller
Mikopo ya biashara kuanzia milioni moja
Mikopo ya BIASHARA kuanzia Milioni moja(1,000,000) na kuendelea. Ni kwa ajili ya wafanyabiashara walio na biashara Iringa. Tunakuja kukagua biashara,na kiwango cha mkopo kitategemeana na uwezo wa biashara yako. Piga simu ili uje Benki kwetu kwa maelezo zaidi. PIGA SIMU 0612 250266-Afisa Mikopo
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Rent
Check with seller
ABIY Furniture Iringa | Sofa za Kisasa na Samani Bora Tanzania
ABIY FURNITURE IRINGA – SAMANI ZA KISASA ZENYE UBORA WA HALI YA JUU Je, unatafuta sofa za kisasa, makabati ya nguo, meza za TV, seti za sebule au samani za ofisi zenye ubora wa hali ya juu? Karibu ABIY Furniture Iringa, mahali sahihi pa kupata samani za kisasa zinazoongeza hadhi, uzuri na thamani ya nyumba yako. Tunate...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Tunakopesha na kuuza simu aina ya Samsung
TUNAKOPESHA NA KUUZA SIMU AINA YA SAMSUNG NDANI NA NJE YA IRINGA VIGEZO 1. VITAMBULISHO KATI YA NIDA, MPIGA KURA AU LESENI YA UDEREVA 2. NAMBA AKO YA SIMU 3. KIANZIO A05 Gb 64/4 Cash -365K A06 128/4gb Kianzio-120,000Tsh Weekly -11,475 Cash-470,000Tsh A05S 128/4gb Kianzio-120,000Tsh Cash -450,000Tsh A16128/4gb Kianzio-1...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Rent
Check with seller
Mtaalamu wa Kuezeka Mapaa ya Nyumba Iringa
FUNDI BINGWA WA KUEZEKA MAPAA YA NYUMBA – IRINGA NA MAENEO YA JIRANI 🔨🏠 Je, unajenga nyumba mpya au unahitaji kubadilisha paa la nyumba yako? Usihangaike! Fundi Japhal Kalinga ni mtaalamu mwenye uzoefu wa kazi za uezekaji wa nyumba za aina zote kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu. ✅ Ufungaji wa truss za mbao ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Tunatoka mikopo kwa watumishi
𝗙𝗔𝗡𝗜𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗠𝗜𝗖𝗥𝗢𝗙𝗜𝗡𝗔𝗡𝗖𝗘. 𝖳𝖺𝖺𝗌𝗂𝗌𝗂 𝗂𝗇𝖺𝗒𝗈𝗍𝗈𝖺 𝗆𝗂𝗄𝗈𝗉𝗈 𝗄𝗐𝖺 𝗐𝖺𝗍𝗎𝗆𝗂𝗌𝗁𝗂 𝗐𝖺 𝖴𝖬𝖬𝖠 𝗒𝖾𝗇𝗒𝖾 𝗋𝗂𝖻𝖺 𝗇𝖺𝖿𝗎𝗎 𝗓𝖺𝗂𝖽𝗂. 𝖪𝗎𝖻𝗐𝖺 𝗄𝗎𝗅𝗂𝗄𝗈 𝗎𝗇𝖺𝗁𝗎𝖽𝗎𝗆𝗂𝗐𝖺 𝗉𝗈𝗉𝗈𝗍𝖾 𝗄𝗐𝖺 𝗇𝗃𝗂𝖺 𝗒𝖺 𝗌𝗂𝗆𝗎 𝗍𝗎. 𝖶𝖺𝗌𝗂𝗅𝗂𝖺𝗇𝖺 𝗇𝖺𝗌𝗂.𝗄𝗐𝖺 𝗇𝖺𝗆𝖻𝖺 0620673040/0768417146. 𝖠𝗎 𝗍𝗎𝗆𝖺 𝗍𝗎 𝗎𝗃𝗎𝗆𝖻𝖾
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
HUDUMA ZA UFUNDI UMEME NA SOLAR IRINGA MJINI ☀️🏠
HUDUMA ZA UFUNDI UMEME NA SOLAR IRINGA MJINI ☀️🏠 Je, unahitaji fundi umeme wa kuaminika kwa nyumba, biashara, ofisi au mradi wako wa ujenzi? Sisi ni wataalamu wa ufundi umeme na mifumo ya nishati ya sola (Solar) wenye uzoefu wa kutosha kuhakikisha kazi yako inafanyika kwa ubora wa hali ya juu na kwa viwango vya kisasa....
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
