Katika sehemu hii ya Kozi za Afya, utapata matangazo na taarifa za vyuo na taasisi mbalimbali zinazotoa mafunzo ya afya kwa ngazi ya cheti (Certificate) na stashahada (Diploma). Kozi hizi zinahusisha fani kama uuguzi, afya ya jamii, maabara, famasia, afya ya mazingira, kliniki, lishe, na huduma za afya kwa ujumla. Mafunzo haya yamelenga kuwajengea wanafunzi ujuzi wa vitendo na nadharia katika kuhudumia wagonjwa, kuzuia magonjwa, na kutoa huduma bora za afya kulingana na viwango na miongozo ya sekta ya afya nchini Tanzania. Katika category hii utaona maelezo kuhusu sifa za kujiunga, muda wa masomo, ada, ratiba, mafunzo kwa vitendo (Field na Practical), pamoja na vyeti vinavyotolewa baada ya kuhitimu. Sehemu hii ni muhimu kwa wahitimu wa sekondari na watu wenye nia ya kujifunza taaluma za afya kwa ajili ya ajira katika hospitali, vituo vya afya, mashirika ya kijamii, au kujiajiri.
We could not find any results for your search...
Following tips might help you to get better results
Use more general keywords
Check spelling of position
Reduce filters, use less of them
