2 results match your search criteria
Premium listings
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza unga wa mchele
Tunauza unga halisi wa mchele usioongezwa kitu chochote kwa matumizi wa uji, mkate na vitumbua kilo moja sh 3500/= Tupo Iringa mjini mawasiliano zaidi tupigie 0658931392 mikoa ya jirani tunatuma kwa uaminifu
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Mayai ya kisasa bei ya jumla
Nauza mayai ya kisasa safi na yenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu ya jumla. Yanafaa kwa biashara ya chakula, migahawa, hoteli au matumizi ya nyumbani. ✅ Ubora wa kuaminika ✅ Bei nafuu ya jumla ✅ Upatikanaji wa kila siku Nipo Iringa, unaweza kuagiza kidogo au kwa wingi kulingana na mahitaji yako. Mawasiliano:075359...
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Mabelo ya Nguo za Mitumba Bei Nafuu
Nauza mabelo ya nguo bora za mitumba aina mbalimbali kwa bei nafuu. 👉 Ubora wa hali ya juu 👉 Bei rafiki na inayokubaliana 👉 Chaguo la mteja – mitindo na makundi tofauti Napatikana Iringa. Kwa mawasiliano na maelezo zaidi nipigie simu au tuma meseji. Simu/WhatsApp: 0716454646
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Mchele grade 1 kutoka mbeya
Karibu mchele grade 1 kutoka Mbeya kwa bei punguzo kilo ni 2000 Tunasafirisha popote ulipo Contact 0627109582 Kilo ni 2000
Located: Mbeya, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka pia Tunabadirisha muundo wa zamani kuwa wa kisasa kwa Bei nafuu tunapatikana iringa mjini mtaa wa zizi 0616181457
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nguo za Mtumba za Watoto Zinapatikana
Nauza Nguo nzuri na za bei nafuu za watoto 🔹 Mahali: Iringa, Mashine Tatu 🔹 Ubora: Zipo katika hali nzuri, zimechaguliwa kwa umakini 🔹 Bei: Nafuu kabisa – unapata kwa bei ya jumla na rejareja 👉 Karibu ujipatie nguo bora za mtumba kwa ajili ya watoto wako! 📞 Kwa mawasiliano: 0769333551
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
TANGAZO LA KAZI
We are Hiring! HR Coordinator --- Why Join Us? At Ramada Hotel, we believe our people are our greatest asset. This role offers the chance to develop your HR career in a supportive, international hospitality environment, while making a meaningful impact on employee engagement and organisational success. --- About the Ro...
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza kuku wa Sasso wa ubora wa juu
Wauzaji wa kuku na vifaranga Bora vya sasso Washauri wa kitaalamu na wafugaji wa mabanda ya kuku Tunatumia mpaka mikoani
Located: Ismani, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Viwanja vipi iringa maneno ya kitwiru
Viwanja vipo Iringa manispaa maeneo ya kitwiru Vipo top top bei ni tofaut tofauti kulingana na eneo lilipo wewe piga cm tuu unapata kulingana na bei Yako na huduma zote zipo havina shida yoyote ile Na pia ya maji ni muhimu sana Col 0794496510
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Wauzaji wa accessories za magari
Tunauza spare zote za magari Tunauza accessories zote za magari Tunauza lubricant aina zote Tunafunga android music system Tunapatikana uhindini Iringa mjini
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Brauzi za Mtumba Grade 1 Zinauzwa
Brauzi za Mtumba Grade 1 Zinauzwa 📌 Maelezo: Nauza brauzi safi za mtumba Grade 1 – ubora mzuri, bado zipo kwenye hali nzuri kwa matumizi ya muda mrefu. 📍 Mahali: Iringa mjini, Frelimo ✅ Faida: Ubora wa juu (Grade 1) Bei nafuu na punguzo kwa wanaochukua nyingi Zinafaa kwa biashara au matumizi binafsi 📞 Mawasiliano:06248...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Viwanja vinauzwa
VIWANJA VINAUZWA. ✅VIWANJA VIPO KINYANAMBO A (MIFUGO) MAFINGA IRINGA 🇹🇿. ✅VIWANJA VIMEPIMWA UKUBWA WA MITA 20 KWA 25 NA 20 KWA 20 . ✅BEI NI MILIONI TATU NA LAKI TANO PUNGUZO LIPO KIDOGO. ✅VIMEBAKI VIWANJA VITATU TU. ✅O768651525.
Located: Mafinga, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Original Casio Calculator price
Unatafuta Original Casio Calculator kwa bei ya uhakika? Karibu upate Casio calculator original 100% kwa Original Casio Calculator price inayomfaa mwanafunzi, mwalimu na mfanyabiashara. ✅ Original Casio (si bandia) ✅ Inafaa shule, vyuo, ofisi na biashara ✅ Scientific & Standard Calculators zinapatikana ✅ Bei nafuu k...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Scientific calculator casio
Casio Scientific Calculator Original Tunauza Casio scientific calculator kwa bei nafuu Tanzania. Inafaa kwa shule, vyuo na matumizi ya kitaalamu. 👉 Wasiliana nasi leo upate calculator bora cha hesabu.
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
