65 results match your search criteria
Premium listings
Premium
Check with seller
Nauza spare za magari
Nauza spare zote za magari makubwa ya usafirishaji wa mizigo, zikiwemo sehemu za injini, breki, suspension, body parts, mfumo wa hewa, oil filters, fuel filters, tairi, vifaa vya umeme na vipuri vingine muhimu kwa malori kama Scania, Volvo, Actros, Howo, Fuso, Hino, Isuzu na mengine mengi. Vipuri vyetu ni vya ubora wa ...
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Viwanja vinauzwa kigonzile
Njooo ujichukulie viwanja ivyoo apoo mia 700sq kwa milioni tatu na nusu Kila kimoja pga 0714974268 location kigonzile karibu na Shule ya st Dominic
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Viwanja vipi iringa maneno ya kitwiru
Viwanja vipo Iringa manispaa maeneo ya kitwiru Vipo top top bei ni tofaut tofauti kulingana na eneo lilipo wewe piga cm tuu unapata kulingana na bei Yako na huduma zote zipo havina shida yoyote ile Na pia ya maji ni muhimu sana Col 0794496510
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama waliokomaa vizuri, wenye afya bora na wanakua haraka. Kuku wanapatikana kwa bei nafuu na mzuri kwa biashara au matumizi ya nyumbani. Maelezo ya Ziada: β
Kuku wazima na wenye uzito wa kutosha β
Bei nafuu kwa jumla na rejareja β
Napatikana Iringa Mawasiliano: Piga/SMS: 0760812258
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Tunatengeneza masofa ya kisasa
Tunatengeneza masofa ya kisasa ya aina mbalimbali tunapatikana iringa mjini Kwa mawasiliano 0624659006
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza unga wa mchele
Tunauza unga halisi wa mchele usioongezwa kitu chochote kwa matumizi wa uji, mkate na vitumbua kilo moja sh 3500/= Tupo Iringa mjini mawasiliano zaidi tupigie 0658931392 mikoa ya jirani tunatuma kwa uaminifu
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza viatu vya Travolta
Viatu vya Mtumba Grade A Travolta Vinauzwa π₯Ώ Nauza viatu vya mtumba grade A vilivyo kwenye hali nzuri sana. π Napatikana Iringa mjini β
Ubora wa hali ya juu β
Bei nafuu kabisa β
Vyote viko tayari kwa matumizi Karibu ununue kwa ajili yako au biashara. Piga/WhatsApp: 0621006724
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Wauzaji wa accessories za magari
Tunauza spare zote za magari Tunauza accessories zote za magari Tunauza lubricant aina zote Tunafunga android music system Tunapatikana uhindini Iringa mjini
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza mashati ya kiume ya mtumba
Nauza mashati ya kiume ya mtumba grade A, ubora wa hali ya juu na bado mapya kwa kuvaa. βοΈ Yanapatikana kwa rangi na design mbalimbali βοΈ Ubora wa kudumu na muonekano wa kisasa βοΈ Bei nafuu na inakubaliana Mahali: Iringa mjini Mawasiliano: 0657693380 Piga/Sms/WhatsApp kwa maelezo zaidi
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Tunatengeneza furniture aina zote with high quality standard
NB.Tunatengeneza furniture aina zote βοΈ with high quality standard π₯ WE DO π Interior and Exterior πSite visiting π Office ; Changβombe Maduka Please call/Whatsapp us 0788847257
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
TANGAZO LA KAZI
We are Hiring! HR Coordinator --- Why Join Us? At Ramada Hotel, we believe our people are our greatest asset. This role offers the chance to develop your HR career in a supportive, international hospitality environment, while making a meaningful impact on employee engagement and organisational success. --- About the Ro...
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Nauza masweta Mazuri ya Mtumba Grade A kwa Bei Nafuu Iringa
Nauza masweta mazuri ya mtumba grade A, ubora wa hali ya juu na bado mapya kwa kuvaa. Yanafaa kwa msimu wa baridi na yana muonekano wa kisasa. π Bei ni nafuu na inakubaliana π Yanapatikana kwa rangi na size tofauti Mahali: Iringa mjini Mawasiliano: 0624589320 Piga/Sms/WhatsApp kwa maelezo zaidi
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Kiwanja kinauzwa ipogolo
π² *Haya! Haya! Hayaaaa!!!...*π²ππ Kile *(KIWANJA KIZURI) SAANA* Cha *(PALE IPOGOLO)* Mkoani *(IRINGA)* Bado Kipo -KIWANJA *(KIPO KLM 3)* From π *(CITY CENTER)* -KIWANJA kinafikika GARI inafika *(MPAKAπSAITI)* -KIWANJA KIPO Kwa JUU Sio *(BONDENI)* -KIWANJA KINAFAA Kwa *(UWEKEZAJI)* kama Vile *(SHAMBA)* π *(YADI)* au *(GO...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Check with seller
Nyumba za kupanga iringa
*π’ UNAHITAJI CHUMBA/NYUMBA YA KUPANGA AU FRAME YA BIASHARA?* Usijisumbue tena! Tunapangisha vyumba safi, salama na bei nafuu Iringa Mjini π β
*FRAME ZA BIASHARA MJINI* πKuna frame ya 250K Mjini, Karibu Ofisi Za Vyunjabei πKuna frame ya 250k Kitanzini karibu na ofisi za vyumjabei kodi 250k β
*Single Room:* 25kβ50k β
*Se...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Nyumba zinazouzwa iringa
π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³ KARIBU, *IRINGA MJINI VYUMBA* , *APARTMENT* , *NYUMBA NZIMA* , *FREMU&CONTENA* ββVYUMBA vinapatikana: Maeneo ya: π Isakalilo πZizi πMlandege πKwa kilosa π Mkimbizi π Mawelewele πDonibosco πKihesa πTumaini πMkwawa πIkonongo πItamba πWilolesi πGangilonga π Ipogolo π Kitwiru πMwangata πKigamboni π Kig...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Check with seller
SHEBBY ALLY TUITION CENTRE
SHEBBY ALLY TUITION CENTRE HUDUMA ZETU: *MASOMO YA ZIADA (TUITION) KWA SHULE ZA MSINGI *MASOMO YA ZIADA(TUITION) KWA SHULE ZA SEKONDARI (O'LEVEL) *MASOMO YA ZIADA (TUITION) KWA A'LEVEL(ADVANCED) KATIKA MICHEPUO YA PCM,PCB,PGM,CBG,HKL,HGK,HGL,HGE,EGM *PRE FORM ONE KILA MWAKA *PRE FORM FIVE KILA MWAKA *ENGLISH COURSE *PR...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Check with seller
Shughuli za matrekta na kilimo
HGT Iringa Offices ipo Iringa Mjini na inatoa huduma bora za kilimo, ikiwemo mauzo na usambazaji wa matrekta, mashine za kilimo, na vifaa vya mashamba kwa wateja wa jumla na wa rejareja. Kampuni yetu ina uzoefu mkubwa katika sekta ya kilimo mseto, ikihakikisha wateja wanapata matrekta na vifaa vya hali ya juu vinavyosa...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Kidumo Garage mafundi toka moshi
Dodoma , iringa ,mbeya Kidumo Garage mafundi toka moshi Kwa matengenezo ya gari yako Tunaunda body zote za magari ya mizigo 1:single 2:tandam 3;box body 4:tiper 5:canter 6:Tunakata longbase kuwa tipper Tunapatikana dodoma mjini nyuma ya ofis za machame Tembelea page yetu instagram kidumo garage kuon kazi zetu Tupigie 0...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Toyota passo Kali sana
TOYOTA PASSO kali sana, imetunzwa vizuri na ipo katika hali bora kwa matumizi ya kila siku. Inakuja na full AC baridi kali, cc 990 yenye ufanisi mkubwa wa mafuta na nguvu za kutosha kwa safari za mjini na za mbali. Ina mfumo mzuri wa music sound unaotoa sauti safi na ya kuvutia wakati wa kuendesha. Gari halina kipengel...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Tunauza vitu vipya au used vyenye ubora
Unatafuta vitu vipya au used vyenye ubora wa hali ya juu bila kupoteza muda kwenda dukani? MPONZI ELECTRONICS STORE inakuletea bidhaa bora, imara na zenye kudumu moja kwa moja kutoka kwa wauzaji wanaoaminika. Tunajivunia kutoa electronics za kisasa kama TV, simu, home theaters, friji, laptop, speaker, redio na vifaa vi...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Tunauza viatu vya kiume sandals
TUNATENGENEZA WENYEWE! Tunauza kwa bei ya jumla kuanzia SH 4,000 kwa agizo la pea 10 na kuendelea, na kwa rejareja ni SH 7,000 tu. Ubora wetu ni wa kiwango cha juu kwa sababu bidhaa zetu tunazitengeneza sisi wenyewe, ndiyo maana wateja wetu wengi wanarudi tena na tena. Zaidi ya mauzo, tunatoa ushauri bure kabisa kwa wa...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Nauza Kuku wa Nyama Mkimbizi Iringa
Unatafuta kuku wa nyama wenye ubora mzuri, waliofugwa katika mazingira safi, salama na yenye chakula cha kutosha? Tunakuletea ofa maalum ya kuku wa nyama kwa bei nafuu na inayomfaa kila mteja katika maeneo ya Iringa, hususan eneo la Mkimbizi, ambako huduma zetu zimekuwa zikiaminika na kupendwa na wateja wengi. Kila kuk...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Wauzaji wa laptop iringa
Duka kubwa la laptop Tuna bidhaa mbalimbali kwa bei ya OFA Karibu tukuhudumie
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Tunauza simu na vifaa vya simu
#AZIZI #PHONE #STORE π΅ DELIVERY TIME β
π΄ MAKADUPA -IRINGA TUNAUZA SIMU NA VIFAA VYA SIMU AINA ZOTE ______&&& tunapatikana π§ π§ ________ π§ IRINGA STAND YA ZAMAN JENGO LA MZALENDO CHUMBA NO 17 Deo Mwenda Abubakar Kimario Neema Mathias 53 Contact: 0717536412
Located: Iringa, Iringa, TZ
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
