68 results match your search criteria
Premium listings
Premium
Wasiliana na muuzaji
kuku wa kisasa wa nyama
Nauza kuku wa kisasa wenye afya nzuri na waliokuzwa kwa chakula bora. Unapata kuku bora kwa ajili ya biashara, sherehe, au matumizi ya nyumbani. Bei zetu ni nafuu na unaweza kupata kwa rejareja au jumla. š Napatikana kihesa Iringa š Wasiliana nami kwa maelezo zaidi 0718603656 0742610610
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunatengeneza masofa ya kisasa
Tunatengeneza masofa ya kisasa ya aina mbalimbali tunapatikana iringa mjini Kwa mawasiliano 0624659006
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni ya Mtumba Bei Nafuu ā Safi na Bora
Nauza magauni ya mtumba ya kike yenye ubora mzuri na muonekano wa kisasa. Magauni yapo katika hali nzuri, safi na yanapatikana kwa bei nafuu sana. ā”ļø Aina mbalimbali za magauni (short, long & casual wear) ā”ļø Ubora mzuri ā yanavaliwa muda mrefu ā”ļø Bei nafuu inayokufaa Mahali: Iringa mjiniā Kitanzini Wasiliana Nasi: ...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Viwanja vinauzwa kigonzile
Njooo ujichukulie viwanja ivyoo apoo mia 700sq kwa milioni tatu na nusu Kila kimoja pga 0714974268 location kigonzile karibu na Shule ya st Dominic
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka pia Tunabadirisha muundo wa zamani kuwa wa kisasa kwa Bei nafuu tunapatikana iringa mjini mtaa wa zizi 0616181457
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Mayai ya kisasa
Nauza mayai ya kisasa, safi na yenye ubora kwa bei nafuu. Yanapatikana kwa wingi na kwa bei ya jumla na rejareja. š Yanafaa kwa chakula cha familia š Yanapatikana kwa wingi kwa wafanyabiashara wa mayai š Ubora na uhakika wa kutosha MAHALI: Iringa Mjini MAWASILIANO: Piga/SMS/WhatsApp: 0789098984
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza unga wa lishe
Ni unga mzuri kwa afya yako inatumika na lika zote Kuna mchangiko wa mahindi, Soya Ngano Karanga Ulezi
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Wauzaji wa accessories za magari
Tunauza spare zote za magari Tunauza accessories zote za magari Tunauza lubricant aina zote Tunafunga android music system Tunapatikana uhindini Iringa mjini
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza furniture za bei nafuu
Furniture mpyaa za bei ndogo Makabati Vitanda Showcase #kulipia kwa hawamu uhakikaa njoo WhatsApp 0627866680 Iringa town
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza Showcase Nzuri ya Kisasa
Nauza showcase nzuri ya kisasa kwa ajili ya chumba cha wageni au ofisi. Imetengenezwa kwa mbao imara na vioo vya ubora, inafaa kwa kuhifadhia vyombo, vitabu au mapambo. Hali yake ni nzuri sana na inauzwa kwa bei nafuu. š Napatikana Iringa mjini š Piga au tuma meseji kwa maelezo zaidi 0627477686 0710574686
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama wazuri, waliokuzwa kwa ubora na afya njema. Unapata kuku safi, wenye uzito mzuri na tayari kwa matumizi ya familia, sherehe au biashara ya chakula. š Napatikana Gangilonga Iringa mjini š Piga simu / WhatsApp: 0627731551, 06222155033 š Karibu uwasiliane nami kwa bei nafuu na huduma ya haraka.
Located: Iringa, TZ
Premium
Wasiliana na muuzaji
Mabelo ya Nguo za Mitumba Bei Nafuu
Nauza mabelo ya nguo bora za mitumba aina mbalimbali kwa bei nafuu. š Ubora wa hali ya juu š Bei rafiki na inayokubaliana š Chaguo la mteja ā mitindo na makundi tofauti Napatikana Iringa. Kwa mawasiliano na maelezo zaidi nipigie simu au tuma meseji. Simu/WhatsApp: 0716454646
Located: Iringa, TZ
Check with seller
Suruali za kike za mtumba
DescriptionBATELEUR SAFARIS presents... RUAHA CHRISTMAS PARTY & SAFARI! š Ruaha National Park | šļø 25th & 26th December, 2025 2 DAYS / 1 NIGHT EXPERIENCE - AN ALL INCLUSIVE SAFARI PACKAGE! - Transport, 3 Meals, Accommodation, Soft Drinks, Entry & Guiding fees with so much fun! š° PRICES... > East African ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Mashuka ya mtumba grade 1 ubora wa juu
Unatafuta mashuka ya mtumba grade 1 yenye ubora wa hali ya juu? Napatikana Iringa Mjini na nauza mashuka safi, imara, yenye rangi nzuri na yanayodumu muda mrefu. Kila shuka linaweza kutumika kwa matumizi ya nyumbani, nyumba za kulala wageni, hosteli, au matumizi ya kawaida. Mashuka yangu ya mtumba grade 1 yamechaguliwa...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
2.00 TZS
Huduma za printing iringa mjini
Tunatoa huduma za design na printing Iringa kwa ubora wa juu na kwa bei nafuu. Tunakusaidia kutengeneza bidhaa zako za biashara, sherehe, au mahitaji binafsi kwa ubunifu wa kipekee. Huduma zetu zinajumuisha uchapishaji wa karatasi, mabango, mabrosha, flyers, business cards, na bidhaa zingine nyingi za marketing. Pia tu...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
ERNEO PLUMBING LTD
ERNEO PLUMBING LTD We deal with: 1. Industry water pipe fitting 2. Farm water pipe fitting 3. House water pipe fitting We use: 1. PPR PIPE 2. IPS PIPE šø Instagram: Fundi bomba iringa š WhatsApp: 0764687454 Iringa ā Kihesa
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Huduma ya usafirishaji iringa
BATELEUR SAFARIS presents... RUAHA CHRISTMAS PARTY & SAFARI! š Ruaha National Park | šļø 25th & 26th December, 2025 2 DAYS / 1 NIGHT EXPERIENCE - AN ALL INCLUSIVE SAFARI PACKAGE! - Transport, 3 Meals, Accommodation, Soft Drinks, Entry & Guiding fees with so much fun! š° PRICES... > East African citizens - ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Transaction: Sell
2.00 TZS
Neema beauty spa salon
Quality & Natural Beauty Salon Sed ut perspiciatis unde omnis iste natus error sit voluptatem accusantium doloremque laudantium totam rem aperia eaque ipsa quae abillo inventore veritatis quasi architecto beatae vitae dicta sunt explicabo. Nemo enim quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit sed consequuntur m...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Infinity photo studio
WEDDING || ALL EVENTS || STUDIO PORTRAITS Creating Timeless Memories Tunatoa huduma za upigaji picha na video kwa viwango vya juu, tukilenga kukuwezesha kuhifadhi kumbukumbu za muhimu kwa njia ya kipekee na ya kisasa. Iwe ni harusi, send-off, birthday, graduation, corporate events au photoshoot za studio, tunahakikisha...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
2.00 TZS
GāS Contractors Co. Ltd iringa
GāS Contractors Co. Ltd ni kampuni inayoongoza mkoani Iringa katika utoaji wa huduma za ujenzi wa majengo na miradi ya civil engineering. Tunajivunia taaluma, uzoefu na uaminifu katika kutekeleza miradi mikubwa na midogo kwa viwango vya kimataifa. Timu yetu ya wataalamu imebobea katika ujenzi wa nyumba za kisasa, majen...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Check with seller
Iringa Cleaning and Fumigation
Iringa Cleaning and Fumigation ni kampuni ya kitaalamu inayotoa huduma bora za usafi na udhibiti wa wadudu kwa viwango vya juu kabisa. Inayoongozwa na Owner @iam_dainesfelista ambaye pia ni CEO wa @iringacleaning_fumigation, tunahakikisha nyumba yako, ofisi, apartment, airbnb au biashara yako inakuwa safi, salama na ye...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
2.00 TZS
Karibu Autorex Garage Iringa
Karibu Autorex Garage Iringa ā kituo chako cha uhakika kwa huduma bora za matengenezo na utunzaji wa gari. Tunatoa Wheel Alignment ya kisasa kwa usahihi zaidi ili kuhakikisha gari lako linasimama na kusafiri kwa mtiririko mzuri. Pia tunafanya Car Services kamili ikijumuisha engine check, brake check, oil change, filter...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
2.00 TZS
Napangisha apartment mtwivila
Apartment ya vyumba viwili vya kulala, ambapo chumba kimoja ni master, inapangishwa katika eneo la Mtwaivira karibu kabisa na shule ya msingi na jirani na barabara ya lami. Ni apartment nzuri, safi na yenye mpangilio mzuri: ina sebule ya kutosha kwa familia, jiko lililo tayari kwa matumizi, na vyumba vyenye nafasi nzur...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
Nyumba za kupanga iringa mjini
Napangisha nyumba nzima, fremu za biashara, vyumba vya kupanga na apartment za kisasa katika maeneo mbalimbali ya Iringa Mjini. Tunatoa makazi yenye usalama, huduma muhimu kama maji na umeme, pamoja na mazingira rafiki kwa familia, wanafunzi, wafanyakazi na wafanyabiashara. Nyumba na vyumba vyetu viko karibu na barabar...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
