Brauzi za Mtumba Grade 1 Zinauzwa
π Maelezo:
Nauza brauzi safi za mtumba Grade 1 β ubora mzuri, bado zipo kwenye hali nzuri kwa matumizi ya muda mrefu.
π Mahali: Iringa mjini, Frelimo
β
Faida:
Ubora wa juu (Grade 1)
Bei nafuu na punguzo kwa wanaochukua nyingi
Zinafaa kwa biashara au matumizi binafsi
π Mawasiliano:0624892999
Piga simu au WhatsApp kwa maelezo zaidi na bei.