Higher price first
Matangazo ya kipekee
Premium
2.00 TZS
Toyota passo Kali sana
TOYOTA PASSO kali sana, imetunzwa vizuri na ipo katika hali bora kwa matumizi ya kila siku. Inakuja na full AC baridi kali, cc 990 yenye ufanisi mkubwa wa mafuta na nguvu za kutosha kwa safari za mjini na za mbali. Ina mfumo mzuri wa music sound unaotoa sauti safi na ya kuvutia wakati wa kuendesha. Gari halina kipengel...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Huduma ya usafirishaji iringa
BATELEUR SAFARIS presents... RUAHA CHRISTMAS PARTY & SAFARI! ๐ Ruaha National Park | ๐๏ธ 25th & 26th December, 2025 2 DAYS / 1 NIGHT EXPERIENCE - AN ALL INCLUSIVE SAFARI PACKAGE! - Transport, 3 Meals, Accommodation, Soft Drinks, Entry & Guiding fees with so much fun! ๐ฐ PRICES... > East African citizens - ...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Premium
2.00 TZS
TUNAKULETEA KOZI YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI
TUNAKULETEA KOZI YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI UTAJIFUNZA โ Ubunifu na Uanzishaji wa Biashara โ Masoko na Uendeshaji wa Biashara โ Uzalishaji wa Bidhaa kama vile (Mafuta, Shampoo, Gel n.k) โ Usimamizi mzuri wa Fedha โ Digital Marketing n.k Kozi hii ni ya Online na Physical, watu wote mnakaribishwa kujiunga. Kwa wanafunzi ...
Located: Arusha, TZ
Condition: New
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunauza viatu vya kiume sandals
TUNATENGENEZA WENYEWE! Tunauza kwa bei ya jumla kuanzia SH 4,000 kwa agizo la pea 10 na kuendelea, na kwa rejareja ni SH 7,000 tu. Ubora wetu ni wa kiwango cha juu kwa sababu bidhaa zetu tunazitengeneza sisi wenyewe, ndiyo maana wateja wetu wengi wanarudi tena na tena. Zaidi ya mauzo, tunatoa ushauri bure kabisa kwa wa...
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Nauza simu nipo Iringa
M HORSE GB32 MPYAA TU INA CRECK NDOGO ISIYO NA MADHARA BEI 70,000 tu NIPO IRINGA TOWN 0678467780
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
2.00 TZS
Karibu usome katika Chuo Cha utalii Arusha
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐จ๐ง๐ ๐จ๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ก๐ฎ๐จ ๐๐ก๐ ๐๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข๐ ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐ก๐ ๐ฎ๐ง๐๐ฉ๐๐ง๐๐ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐๐ญ๐๐ง๐ ๐๐ณ๐ข๐ ๐ฎ๐ฆ๐ ๐ง๐๐๐๐ฌ๐ข ๐ณ๐ ๐ฆ๐๐ฌ๐จ๐ฆ๐จ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐๐ ๐ง๐๐๐ฎ๐ฎ ๐ฌ๐๐ง๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐๐จ๐ณ๐ข ๐ณ๐ข๐๐ฎ๐๐ญ๐๐ณ๐จ. ๐ ๐๐๐ซ๐ญ๐ข๐๐ข๐๐๐ญ๐ ๐ข๐ง ๐ญ๐จ๐ฎ๐ซ ๐ ๐ฎ๐ข๐๐ข๐ง๐ ๐ ๐๐๐ซ๐ญ๐ข๐๐ข๐๐๐ญ๐ ๐ข๐ง ๐ก๐จ๐ญ๐๐ฅ ๐ฆ๐๐ง๐๐ ๐๐ฆ๐๐ง๐ญ ๐ ๐๐๐ซ๐ญ๐ข๐๐ข๐๐๐ญ๐ ๐ข๐ง ๐ญ๐จ๐ฎ๐ซ ๐จ๐ฉ๐๐ซ๐๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐ ๐๐๐๐ซ๐๐ญ๐๐ซ๐ข๐๐ฅ ๐๐จ๐ฎ๐ซ๐ฌ๐ ๐๐๐๐ฌ๐ข๐ ๐๐จ๐ฆ๐ฉ๐ฎ๐ญ๐๐ซ ๐๐ฉ๐ฉ๐ฅ๐ข๐๐๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐๐๐๐ข๐ซ ๐๐ซ๐๐ฌ๐ฌ๐ข๐ง๐ , ๐๐ฎ๐ ๐ก๐...
Located: Usa River, TZ
Condition: New
Premium
Wasiliana na muuzaji
Tunauza simu na vifaa vya simu
#AZIZI #PHONE #STORE ๐ต DELIVERY TIME โ
๐ด MAKADUPA -IRINGA TUNAUZA SIMU NA VIFAA VYA SIMU AINA ZOTE ______&&& tunapatikana ๐ง ๐ง ________ ๐ง IRINGA STAND YA ZAMAN JENGO LA MZALENDO CHUMBA NO 17 Deo Mwenda Abubakar Kimario Neema Mathias 53 Contact: 0717536412
Located: Iringa, TZ
Premium
2.00 TZS
Neema beauty spa salon
Quality & Natural Beauty Salon Sed ut perspiciatis unde omnis iste natus error sit voluptatem accusantium doloremque laudantium totam rem aperia eaque ipsa quae abillo inventore veritatis quasi architecto beatae vitae dicta sunt explicabo. Nemo enim quia voluptas sit aspernatur aut odit aut fugit sed consequuntur m...
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
2.00 TZS
Tunatoa Kozi ya mapishi veta dar es salaam
Kozi ya Mapishi katika Chuo cha Ufundi Arizona @arizona_vtc ๐Fomu za Usajili zinapatikana Chuoni au kwa njia ya mtandao ๐Kozi inaanza tarehe 18/07/2022 (Miezi mitatu) ๐Swipe kuona muongozo na mtiririko wa kozi yote. ๐Wahitimu hupatiwa Vyeti ๐Chuo kimesajiliwa na VETA ๐Mafunzo kwa Vitendo ๐Ada inajumuisha uniform na vif...
Located: Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Premium
Wasiliana na muuzaji
Wauzaji wa iphones na Samsung iringa
Nauza simu za iPhone na Samsung pamoja na accessories mbalimbali za simu. Zipo kwenye hali nzuri na bei nafuu. Pata simu na vifaa vinavyokidhi mahitaji yako ya kila siku. ๐ Napatikana Iringa mjini ๐ Piga simu au tuma meseji kupata maelezo zaidi piga simu 0782 309 009
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Wasiliana na muuzaji
Hotel Iringa Nzuri Huduma Bora
FJN Countryside Hotel ni sehemu sahihi na bora kwa ajili ya kufanyia vikao mbalimbali ndani ya Iringa Mjini. Tunatoa mazingira tulivu, safi na yenye utulivu yanayokufaa kwa vikao vya harusi, vikao vya kiofisi, mikutano ya kibiashara, warsha, mafunzo, kongamano, sherehe ndogo, pamoja na mikusanyiko mingine ya kijamii. U...
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
2.00 TZS
Manhattan_gym_fitness
Welcome to Manhattan Fitness Gym in Mtoni Kijichi, Dar es Salaam, the perfect place to achieve your health and fitness goals. We offer modern workout programs including strength training, aerobics, yoga, and personal training under the guidance of a certified Fitness Trainer and Healthy Eating Consultant. Join us to ge...
Located: Mtoni, TZ
Condition: New
Premium
Check with seller
Magauni Mazuri ya Mtumba Grade A Bei Nafuu Iringa
Nauza magauni mazuri ya mtumba Grade A yenye ubora wa hali ya juu, safi, na ya mitindo ya kisasa. Magauni yetu yanatoka kwa wachuuzi wa kuaminika na yamechaguliwa kwa uangalifu kuhakikisha kila kipande kina muonekano mzuri, kinaendana na mitindo ya sasa, na kinastahili kwa sherehe, shuleni, au matumizi ya kila siku. Tu...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Magauni ya Mtumba Grade 1 โ Bei Nafuu
Nauza magauni ya mtumba grade A yenye ubora mzuri na muonekano wa kuvutia. Magauni yapo katika hali safi na yamechaguliwa vizuri, yanafaa kwa matumizi ya kila siku na sherehe. ๐ Nipo Iringa mjini, Mashine Tatu โ
Ubora wa juu (Grade A) โ
Bei nafuu na maongezi yapo โ
Ukifika unachagua mwenyewe Mawasiliano: Piga/WhatsApp:...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Mabelo ya Nguo za Mitumba Bei Nafuu
Nauza mabelo ya nguo bora za mitumba aina mbalimbali kwa bei nafuu. ๐ Ubora wa hali ya juu ๐ Bei rafiki na inayokubaliana ๐ Chaguo la mteja โ mitindo na makundi tofauti Napatikana Iringa. Kwa mawasiliano na maelezo zaidi nipigie simu au tuma meseji. Simu/WhatsApp: 0716454646
Located: Iringa, Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Nauza viatu vya Travolta
Viatu vya Mtumba Grade A Travolta Vinauzwa ๐ฅฟ Nauza viatu vya mtumba grade A vilivyo kwenye hali nzuri sana. ๐ Napatikana Iringa mjini โ
Ubora wa hali ya juu โ
Bei nafuu kabisa โ
Vyote viko tayari kwa matumizi Karibu ununue kwa ajili yako au biashara. Piga/WhatsApp: 0621006724
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Brauzi za Mtumba Grade 1 Zinauzwa
Brauzi za Mtumba Grade 1 Zinauzwa ๐ Maelezo: Nauza brauzi safi za mtumba Grade 1 โ ubora mzuri, bado zipo kwenye hali nzuri kwa matumizi ya muda mrefu. ๐ Mahali: Iringa mjini, Frelimo โ
Faida: Ubora wa juu (Grade 1) Bei nafuu na punguzo kwa wanaochukua nyingi Zinafaa kwa biashara au matumizi binafsi ๐ Mawasiliano:06248...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Magauni ya Mtumba Bei Nafuu โ Safi na Bora
Nauza magauni ya mtumba ya kike yenye ubora mzuri na muonekano wa kisasa. Magauni yapo katika hali nzuri, safi na yanapatikana kwa bei nafuu sana. โก๏ธ Aina mbalimbali za magauni (short, long & casual wear) โก๏ธ Ubora mzuri โ yanavaliwa muda mrefu โก๏ธ Bei nafuu inayokufaa Mahali: Iringa mjiniโ Kitanzini Wasiliana Nasi: ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nguo za Mtumba za Watoto Zinapatikana
Nauza Nguo nzuri na za bei nafuu za watoto ๐น Mahali: Iringa, Mashine Tatu ๐น Ubora: Zipo katika hali nzuri, zimechaguliwa kwa umakini ๐น Bei: Nafuu kabisa โ unapata kwa bei ya jumla na rejareja ๐ Karibu ujipatie nguo bora za mtumba kwa ajili ya watoto wako! ๐ Kwa mawasiliano: 0769333551
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Mashuka mazuri ya mtumba kwa bei poa Tanzania
Nauza mashuka ya mtumba safi na bed cover nzuri kwa bei nafuu. Ubora mzuri na wa kudumu Safi na zenye mvuto Bei nafuu kuanzia Tsh 15,000 na kuendelea Huduma: ๐ฆ Delivery inapatikana kulingana na eneo ulilopo Mawasiliano: ๐ Piga / WhatsApp:0762241408
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Mchele grade 1 kutoka mbeya
Karibu mchele grade 1 kutoka Mbeya kwa bei punguzo kilo ni 2000 Tunasafirisha popote ulipo Contact 0627109582 Kilo ni 2000
Located: Mbeya, Mbeya, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
