TOYOTA PASSO kali sana, imetunzwa vizuri na ipo katika hali bora kwa matumizi ya kila siku. Inakuja na full AC baridi kali, cc 990 yenye ufanisi mkubwa wa mafuta na nguvu za kutosha kwa safari za mjini na za mbali. Ina mfumo mzuri wa music sound unaotoa sauti safi na ya kuvutia wakati wa kuendesha. Gari halina kipengele chochote cha kufanyiwa matengenezo makubwa, hivyo unanunua unatumia bila gharama zisizotarajiwa. Bei ni milioni 5.8 tu, na bado unaongea moja kwa moja na mmiliki bila wajanja au madalali. Hii ni nafasi nzuri kupata gari safi, ekonomia na linalodumu kwa muda mrefu. Kwa mawasiliano na kuona gari, piga au tuma WhatsApp 752 555 884. Usikose ofa hii kwa sababu magari ya bei nzuri kama haya hayaishii sokoni – chukua hatua sasa!
Dukani kwa magda nguo bei poa bei rahisi! Tengeneza faida mara mbili. Simu 0636408609 https://chat.whatsapp.com/H1ucVTOWSxO5QGix6srtDj?mode=gi_t Tunarahisisha biashara kwa watu wa mikoani kwa kuwafikishia mizigo kwa haraka na kwauaminifu mkubwa. Watu wa Dar Es Salaam karibuni dukani Kariakoo jengo la DDC. Jumla Tsh 45,...
Located:Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZCondition:NewTransaction:Sell
TULIPAMWINGA MBETULI VAYAWE mashamba bado yapo yakutosha ndani ya mkoa wa iringa karibuni sana, Ninazo eka za kutosha kata ya lyamgungwe wilaya ya iringa vijijini Pia kwa wanaopenda kilimo cha umwagiliaji ninazo eka 7. Mawasiliano 0650152828 0795320922
Nauza pop corn mashine mpyaaa mnooo 250k,kitanda 5 kwa 6 cha chuma sofa kote kwa 145k,azam ya antena kwa 30k,piano kwa 105k,sofa watu 3 kwa 110k,sofa watu 2 jipy na mito kwa 145k,kimeza cha tv kwa 35k,jiko plate 4 3 znatumia gas 1 umeme kwa 195k,king lion pikpiki no DDD KWA MILION 1.5 TUUU 0620840577 IRINGA MJINI wahii...
Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.
🚗 INAUZWA – Toyota IST Nauza gari aina ya Toyota IST kwa bei ya TSh milioni 7 tu. ✔️ Gari ipo katika hali nzuri ✔️ Inatembea vizuri sana ✔️ Inafaa kwa matumizi ya familia au biashara ✔️ Nyaraka zote zipo tayari 📍 Location: Iringa Kwa mawasiliano na maelezo zaidi piga simu au WhatsApp. Wahi kabla haijaenda! Namba ya sim...