Tafuta ardhi na viwanja Tanzania – plots kwa makazi, biashara au viwanda kwa wateja binafsi au makampuni kupitia Gulio Iringa.
Check with seller
Mashamba Yanauzwa Iringa | Ihemi, Kising'a, Ulete, Ilula na Lulanzi
Mashamba Yanauzwa Iringa – Fursa Kubwa ya Kilimo na Uwekezaji Je, unatafuta shamba kwa ajili ya kilimo, ufugaji au uwekezaji wa muda mrefu? Sasa fursa imepatikana ya kununua mashamba yenye ukubwa mbalimbali katika maeneo yenye rutuba na yanayofaa kwa shughuli za kilimo ndani ya Mkoa wa Iringa. Maeneo yanayopatikana: ✅ ...
Located: Iheme, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Viwanja vya Biashara Iringa | Viwanja Vinauzwa kwa Uwekezaji
Viwanja vya Biashara Vinauzwa Iringa – Fursa Bora ya Uwekezaji Je, unatafuta kiwanja cha biashara Iringa kwa ajili ya kujenga maduka, ofisi, lodge, hotel, godown au mradi mwingine wa kibiashara? Hii ni fursa nzuri kwa wawekezaji na wafanyabiashara wanaotaka kupata maeneo yenye thamani kubwa na ukuaji wa haraka. Tunayo ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Dalali wa Nyumba Iringa | Viwanja, Mashamba na Magari
Dalali wa Nyumba, Viwanja, Mashamba na Magari Iringa Je, unatafuta nyumba ya kununua au kupanga, kiwanja cha kujenga, shamba la kilimo, gari, au fremu za biashara katika Mkoa wa Iringa? Umefika mahali sahihi. Tunatoa huduma za udalali wa kuaminika na kuwasaidia wateja kupata mali bora kulingana na mahitaji na bajeti za...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Mashamba Iringa yanapatikana Iringa
TULIPAMWINGA MBETULI VAYAWE mashamba bado yapo yakutosha ndani ya mkoa wa iringa karibuni sana, Ninazo eka za kutosha kata ya lyamgungwe wilaya ya iringa vijijini Pia kwa wanaopenda kilimo cha umwagiliaji ninazo eka 7. Mawasiliano 0650152828 0795320922
Located: Iringa, Iringa, TZ
Transaction: Sell
2.00 TZS
Mashamba ya miti yanauzwa
Wakuu kuna haya Mashamba yanauzwa, Kama una mzigo we ruka na mojawapo: Iringa, Wilaya ya Mafinga, Kata ya Mdabulo, Isipii. 1. Ekari 10: Shamba na Miti Pine (miaka 8) -> 15.5M 2. Ekari 20: Shamba na Miti Pine (miaka 7) -> 24M 3. Ekari 20: Shamba na Miti Pine (miaka 5) -> 18M 4. Ekari 5 - Shamba -> 2.1M 🎯Mao...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
Miti inauzwa eneo la itimbo
Miti inauzwa eneo la Itimbo, ikiwa ni hekari moja yenye miti mikubwa, imara na iliyokomaa kwa zaidi ya miaka 10. Ni nafasi bora sana kwa wanaohitaji miti ya kutengeneza mbao nyingi kwa matumizi ya ujenzi, biashara ya mbao, au miradi ya viwandani. Miti hii imepandwa kwa mpangilio mzuri, imetunzwa vizuri, na ipo kwenye a...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
