TUNATENGENEZA WENYEWE!
Tunauza kwa bei ya jumla kuanzia SH 4,000 kwa agizo la pea 10 na kuendelea, na kwa rejareja ni SH 7,000 tu. Ubora wetu ni wa kiwango cha juu kwa sababu bidhaa zetu tunazitengeneza sisi wenyewe, ndiyo maana wateja wetu wengi wanarudi tena na tena.
Zaidi ya mauzo, tunatoa ushauri bure kabisa kwa watu wanaotaka kuanza biashara, hasa katika eneo la mitumba na viatu. Tumeshaunda group la WhatsApp ambalo limekusanya wafanyabiashara na wanaoanza safari ya biashara ili kujifunza mambo muhimu kama mbinu za kupata wateja, jinsi ya kupanga bei, kutengeneza faida, kutambua bidhaa bora, na namna ya kuendelea kukua bila kuogopa kuanza. Mafunzo ni bure kabisa, malengo yetu ni kukuinua na kukupa mwanga wa kuanza bila wasiwasi.
Kama ungependa kujiunga na familia yetu, karibu nicheki inbox au WhatsApp kupitia 0716 454 646.
Usisahau KUNIFOLLOW ili upate taarifa za mizigo mipya, ofa, na elimu fupi za biashara kila siku.
