GOODWILL NOVELLUS SECONDARY SCHOOL 2026 ADMISSION Karibu shule bora ya sekondari β GOODWILL NOVELLUS Inayopatikana Maji ya Chai β Arusha, Tanzania, iliyo na kidato cha kwanza hadi cha nne. Ni shule ya wavulana na wasichana, ya kutwa na bweni yenye usajili Na. S. 5833. Nafasi za Masomo Nafasi za kujiunga na Kidato cha 1...
DescriptionBATELEUR SAFARIS presents... RUAHA CHRISTMAS PARTY & SAFARI! π Ruaha National Park | ποΈ 25th & 26th December, 2025 2 DAYS / 1 NIGHT EXPERIENCE - AN ALL INCLUSIVE SAFARI PACKAGE! - Transport, 3 Meals, Accommodation, Soft Drinks, Entry & Guiding fees with so much fun! π° PRICES... > East African ...
Unatafuta mashuka ya mtumba grade 1 yenye ubora wa hali ya juu? Napatikana Iringa Mjini na nauza mashuka safi, imara, yenye rangi nzuri na yanayodumu muda mrefu. Kila shuka linaweza kutumika kwa matumizi ya nyumbani, nyumba za kulala wageni, hosteli, au matumizi ya kawaida. Mashuka yangu ya mtumba grade 1 yamechaguliwa...
Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.
Pata Mabelo viatu vya watoto vya mtumba karibu mapya na kwa bei nafuu Dar es Salaam! Tunatoa chaguo kubwa la viatu vya mitindo mbalimbali, vinavyofaa kwa watoto wa rika zote. Ubora wa viatu vyetu unahakikisha faraja na kudumu, huku ukipata mitindo ya kuvutia inayopendeza kwa watoto. β Mitindo ya kisasa β Ubora wa juu β ...
Located:Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZCondition:UsedTransaction:Sell
TUNATENGENEZA WENYEWE! Tunauza kwa bei ya jumla kuanzia SH 4,000 kwa agizo la pea 10 na kuendelea, na kwa rejareja ni SH 7,000 tu. Ubora wetu ni wa kiwango cha juu kwa sababu bidhaa zetu tunazitengeneza sisi wenyewe, ndiyo maana wateja wetu wengi wanarudi tena na tena. Zaidi ya mauzo, tunatoa ushauri bure kabisa kwa wa...