1 results match your search criteria
Premium listings
Premium
Check with seller
Tunatoka mikopo kwa watumishi
𝗙𝗔𝗡𝗜𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗠𝗜𝗖𝗥𝗢𝗙𝗜𝗡𝗔𝗡𝗖𝗘. 𝖳𝖺𝖺𝗌𝗂𝗌𝗂 𝗂𝗇𝖺𝗒𝗈𝗍𝗈𝖺 𝗆𝗂𝗄𝗈𝗉𝗈 𝗄𝗐𝖺 𝗐𝖺𝗍𝗎𝗆𝗂𝗌𝗁𝗂 𝗐𝖺 𝖴𝖬𝖬𝖠 𝗒𝖾𝗇𝗒𝖾 𝗋𝗂𝖻𝖺 𝗇𝖺𝖿𝗎𝗎 𝗓𝖺𝗂𝖽𝗂. 𝖪𝗎𝖻𝗐𝖺 𝗄𝗎𝗅𝗂𝗄𝗈 𝗎𝗇𝖺𝗁𝗎𝖽𝗎𝗆𝗂𝗐𝖺 𝗉𝗈𝗉𝗈𝗍𝖾 𝗄𝗐𝖺 𝗇𝗃𝗂𝖺 𝗒𝖺 𝗌𝗂𝗆𝗎 𝗍𝗎. 𝖶𝖺𝗌𝗂𝗅𝗂𝖺𝗇𝖺 𝗇𝖺𝗌𝗂.𝗄𝗐𝖺 𝗇𝖺𝗆𝖻𝖺 0620673040/0768417146. 𝖠𝗎 𝗍𝗎𝗆𝖺 𝗍𝗎 𝗎𝗃𝗎𝗆𝖻𝖾
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Brauzi za Mtumba Grade 1 Zinauzwa
Brauzi za Mtumba Grade 1 Zinauzwa 📌 Maelezo: Nauza brauzi safi za mtumba Grade 1 – ubora mzuri, bado zipo kwenye hali nzuri kwa matumizi ya muda mrefu. 📍 Mahali: Iringa mjini, Frelimo ✅ Faida: Ubora wa juu (Grade 1) Bei nafuu na punguzo kwa wanaochukua nyingi Zinafaa kwa biashara au matumizi binafsi 📞 Mawasiliano:06248...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza viatu vya Travolta
Viatu vya Mtumba Grade A Travolta Vinauzwa 🥿 Nauza viatu vya mtumba grade A vilivyo kwenye hali nzuri sana. 📍 Napatikana Iringa mjini ✅ Ubora wa hali ya juu ✅ Bei nafuu kabisa ✅ Vyote viko tayari kwa matumizi Karibu ununue kwa ajili yako au biashara. Piga/WhatsApp: 0621006724
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza kuku wa Sasso wa ubora wa juu
Wauzaji wa kuku na vifaranga Bora vya sasso Washauri wa kitaalamu na wafugaji wa mabanda ya kuku Tunatumia mpaka mikoani
Located: Ismani, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza furniture za bei nafuu
Furniture mpyaa za bei ndogo Makabati Vitanda Showcase #kulipia kwa hawamu uhakikaa njoo WhatsApp 0627866680 Iringa town
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Mashuka ya Mtumba na Bed Cover za Ubora – Bei Nafuu
Nauza mashuka ya mtumba safi na bed cover nzuri kwa bei nafuu. Ubora mzuri na wa kudumu Safi na zenye mvuto Bei nafuu kuanzia Tsh 15,000 na kuendelea Huduma: 📦 Delivery inapatikana kulingana na eneo ulilopo Mawasiliano: 📞 Piga / WhatsApp:0762241408
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Wauzaji wa accessories za magari
Tunauza spare zote za magari Tunauza accessories zote za magari Tunauza lubricant aina zote Tunafunga android music system Tunapatikana uhindini Iringa mjini
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama waliokomaa vizuri, wenye afya bora na wanakua haraka. Kuku wanapatikana kwa bei nafuu na mzuri kwa biashara au matumizi ya nyumbani. Maelezo ya Ziada: ✅ Kuku wazima na wenye uzito wa kutosha ✅ Bei nafuu kwa jumla na rejareja ✅ Napatikana Iringa Mawasiliano: Piga/SMS: 0760812258
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
kuku wa kisasa wa nyama
Nauza kuku wa kisasa wenye afya nzuri na waliokuzwa kwa chakula bora. Unapata kuku bora kwa ajili ya biashara, sherehe, au matumizi ya nyumbani. Bei zetu ni nafuu na unaweza kupata kwa rejareja au jumla. 📍 Napatikana kihesa Iringa 📞 Wasiliana nami kwa maelezo zaidi 0718603656 0742610610
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Viwanja vinauzwa
VIWANJA VINAUZWA. ✅VIWANJA VIPO KINYANAMBO A (MIFUGO) MAFINGA IRINGA 🇹🇿. ✅VIWANJA VIMEPIMWA UKUBWA WA MITA 20 KWA 25 NA 20 KWA 20 . ✅BEI NI MILIONI TATU NA LAKI TANO PUNGUZO LIPO KIDOGO. ✅VIMEBAKI VIWANJA VITATU TU. ✅O768651525.
Located: Mafinga, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza Kuku wa sasso ni wazuri
KARIBUNI mjipatie kuku aina ya sasso wanapatikana wakuuza na kufuga wamepata chanjo wote
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza unga wa mchele
Tunauza unga halisi wa mchele usioongezwa kitu chochote kwa matumizi wa uji, mkate na vitumbua kilo moja sh 3500/= Tupo Iringa mjini mawasiliano zaidi tupigie 0658931392 mikoa ya jirani tunatuma kwa uaminifu
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
