1 results match your search criteria
Check with seller
Toyota passo Kali sana
TOYOTA PASSO kali sana, imetunzwa vizuri na ipo katika hali bora kwa matumizi ya kila siku. Inakuja na full AC baridi kali, cc 990 yenye ufanisi mkubwa wa mafuta na nguvu za kutosha kwa safari za mjini na za mbali. Ina mfumo mzuri wa music sound unaotoa sauti safi na ya kuvutia wakati wa kuendesha. Gari halina kipengel...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
