92 results match your search criteria
Premium listings
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza mayai ya kisasa
Unataka kuwa MILIONEA? Uza MAYAI ! Anza hata na trey chache. Soko ni Kubwa. Uzia Nyumbani, Dukani, Kibandani, Gengeni... Agiza sasa kutoka KILOMBERO KUKU FARM Tsh.6,000/= @ Trey Piga 0769217810. Whatsapp 0677988499. * Makubwa ya kisasa yenye kiini cha njano. * Tupo Kilombero, Morogoro - Tanzania. * Tunasafirisha mikoa ...
Located: Morogoro, TZ
Premium
Check with seller
Nauza Showcase Nzuri ya Kisasa
Nauza showcase nzuri ya kisasa kwa ajili ya chumba cha wageni au ofisi. Imetengenezwa kwa mbao imara na vioo vya ubora, inafaa kwa kuhifadhia vyombo, vitabu au mapambo. Hali yake ni nzuri sana na inauzwa kwa bei nafuu. 📍 Napatikana Iringa mjini 📞 Piga au tuma meseji kwa maelezo zaidi 0627477686 0710574686
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Nauza masweta Mazuri ya Mtumba Grade A kwa Bei Nafuu Iringa
Nauza masweta mazuri ya mtumba grade A, ubora wa hali ya juu na bado mapya kwa kuvaa. Yanafaa kwa msimu wa baridi na yana muonekano wa kisasa. 👉 Bei ni nafuu na inakubaliana 👉 Yanapatikana kwa rangi na size tofauti Mahali: Iringa mjini Mawasiliano: 0624589320 Piga/Sms/WhatsApp kwa maelezo zaidi
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Viwanja vipi iringa maneno ya kitwiru
Viwanja vipo Iringa manispaa maeneo ya kitwiru Vipo top top bei ni tofaut tofauti kulingana na eneo lilipo wewe piga cm tuu unapata kulingana na bei Yako na huduma zote zipo havina shida yoyote ile Na pia ya maji ni muhimu sana Col 0794496510
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Magauni ya Mtumba Bei Nafuu – Safi na Bora
Nauza magauni ya mtumba ya kike yenye ubora mzuri na muonekano wa kisasa. Magauni yapo katika hali nzuri, safi na yanapatikana kwa bei nafuu sana. ➡️ Aina mbalimbali za magauni (short, long & casual wear) ➡️ Ubora mzuri – yanavaliwa muda mrefu ➡️ Bei nafuu inayokufaa Mahali: Iringa mjini– Kitanzini Wasiliana Nasi: ...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza magauni ya Mtumba Grade A – Bei Nafuu
Nauza magauni ya mtumba grade A yenye ubora mzuri na muonekano wa kuvutia. Magauni yapo katika hali safi na yamechaguliwa vizuri, yanafaa kwa matumizi ya kila siku na sherehe. 📍 Nipo Iringa mjini, Mashine Tatu ✅ Ubora wa juu (Grade A) ✅ Bei nafuu na maongezi yapo ✅ Ukifika unachagua mwenyewe Mawasiliano: Piga/WhatsApp:...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza unga wa lishe
Ni unga mzuri kwa afya yako inatumika na lika zote Kuna mchangiko wa mahindi, Soya Ngano Karanga Ulezi
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza unga wa mchele
Tunauza unga halisi wa mchele usioongezwa kitu chochote kwa matumizi wa uji, mkate na vitumbua kilo moja sh 3500/= Tupo Iringa mjini mawasiliano zaidi tupigie 0658931392 mikoa ya jirani tunatuma kwa uaminifu
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Tunauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama wazuri, waliokuzwa kwa ubora na afya njema. Unapata kuku safi, wenye uzito mzuri na tayari kwa matumizi ya familia, sherehe au biashara ya chakula. 📍 Napatikana Gangilonga Iringa mjini 📞 Piga simu / WhatsApp: 0627731551, 06222155033 👉 Karibu uwasiliane nami kwa bei nafuu na huduma ya haraka.
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka pia Tunabadirisha muundo wa zamani kuwa wa kisasa kwa Bei nafuu tunapatikana iringa mjini mtaa wa zizi 0616181457
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Magauni Mazuri ya Mtumba Grade A Bei Nafuu Iringa
Nauza magauni mazuri ya mtumba Grade A yenye ubora wa hali ya juu, safi, na ya mitindo ya kisasa. Magauni yetu yanatoka kwa wachuuzi wa kuaminika na yamechaguliwa kwa uangalifu kuhakikisha kila kipande kina muonekano mzuri, kinaendana na mitindo ya sasa, na kinastahili kwa sherehe, shuleni, au matumizi ya kila siku. Tu...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Kiwanja kipo mafinga nauza
BEI IMEVUNJWA UKUBWA WA KIWANJA MITA 25KWA 22. KIWANJA KIPO LUMWAGO MAFINGA IRINGA TANZANIA 🇹🇿. BEI NI MILIONI MBILI. BARABARA, UMEME, MAJI, VYOTE VIPO JILANI. 📲O768651525.
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Hotel Iringa Nzuri Huduma Bora na Malazi ya Ubora
FJN Countryside Hotel ni sehemu sahihi na bora kwa ajili ya kufanyia vikao mbalimbali ndani ya Iringa Mjini. Tunatoa mazingira tulivu, safi na yenye utulivu yanayokufaa kwa vikao vya harusi, vikao vya kiofisi, mikutano ya kibiashara, warsha, mafunzo, kongamano, sherehe ndogo, pamoja na mikusanyiko mingine ya kijamii. U...
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Miti inauzwa eneo la itimbo
Miti inauzwa eneo la Itimbo, ikiwa ni hekari moja yenye miti mikubwa, imara na iliyokomaa kwa zaidi ya miaka 10. Ni nafasi bora sana kwa wanaohitaji miti ya kutengeneza mbao nyingi kwa matumizi ya ujenzi, biashara ya mbao, au miradi ya viwandani. Miti hii imepandwa kwa mpangilio mzuri, imetunzwa vizuri, na ipo kwenye a...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Mashamba ya miti yanauzwa
Wakuu kuna haya Mashamba yanauzwa, Kama una mzigo we ruka na mojawapo: Iringa, Wilaya ya Mafinga, Kata ya Mdabulo, Isipii. 1. Ekari 10: Shamba na Miti Pine (miaka 8) -> 15.5M 2. Ekari 20: Shamba na Miti Pine (miaka 7) -> 24M 3. Ekari 20: Shamba na Miti Pine (miaka 5) -> 18M 4. Ekari 5 - Shamba -> 2.1M 🎯Mao...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
E4M SOCIAL CENTRE IRINGA
E4M SOCIAL CENTRE IRINGA NJIAPANDA YA TOSA. UKUMBI WA KISASA KABISAA WENYE UWEZO WA KUBEBA WATU 600 KWA GHARAMA YA SHILINGI LAKI SITA TU. KWA BOOKING TUPIGIE KUPITIA NAMBA 0742260293 AU 0768450235. WAHI MAPEMA UJIPATIE KILICHO BORA KABISAAAA MSIMU HUU WA SHEREHE NA MIKUTANO MBALIMBALI NYOTE MNAKARIBISHWA.
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Kiwanja kinauzwa isakalilo
Kiwanja kinauzwa katika eneo la Isakalilo, Manispaa ya Iringa, kikiwa na ukubwa wa 25 kwa 35. Ni eneo zuri sana kwa makazi, uwekezaji au ujenzi wa mradi binafsi kutokana na mandhari tulivu na miundombinu iliyo karibu. Kiwanja kimepimwa rasmi, hivyo mnunuzi anapata uhakika wa umiliki halali na hati safi. Maji na umeme v...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Nyumba za kupanga iringa mjini
Napangisha nyumba nzima, fremu za biashara, vyumba vya kupanga na apartment za kisasa katika maeneo mbalimbali ya Iringa Mjini. Tunatoa makazi yenye usalama, huduma muhimu kama maji na umeme, pamoja na mazingira rafiki kwa familia, wanafunzi, wafanyakazi na wafanyabiashara. Nyumba na vyumba vyetu viko karibu na barabar...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Napangisha apartment mtwivila
Apartment ya vyumba viwili vya kulala, ambapo chumba kimoja ni master, inapangishwa katika eneo la Mtwaivira karibu kabisa na shule ya msingi na jirani na barabara ya lami. Ni apartment nzuri, safi na yenye mpangilio mzuri: ina sebule ya kutosha kwa familia, jiko lililo tayari kwa matumizi, na vyumba vyenye nafasi nzur...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Karibu Autorex Garage Iringa
Karibu Autorex Garage Iringa – kituo chako cha uhakika kwa huduma bora za matengenezo na utunzaji wa gari. Tunatoa Wheel Alignment ya kisasa kwa usahihi zaidi ili kuhakikisha gari lako linasimama na kusafiri kwa mtiririko mzuri. Pia tunafanya Car Services kamili ikijumuisha engine check, brake check, oil change, filter...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Check with seller
Iringa Cleaning and Fumigation
Iringa Cleaning and Fumigation ni kampuni ya kitaalamu inayotoa huduma bora za usafi na udhibiti wa wadudu kwa viwango vya juu kabisa. Inayoongozwa na Owner @iam_dainesfelista ambaye pia ni CEO wa @iringacleaning_fumigation, tunahakikisha nyumba yako, ofisi, apartment, airbnb au biashara yako inakuwa safi, salama na ye...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Check with seller
G’S Contractors Co. Ltd iringa
G’S Contractors Co. Ltd ni kampuni inayoongoza mkoani Iringa katika utoaji wa huduma za ujenzi wa majengo na miradi ya civil engineering. Tunajivunia taaluma, uzoefu na uaminifu katika kutekeleza miradi mikubwa na midogo kwa viwango vya kimataifa. Timu yetu ya wataalamu imebobea katika ujenzi wa nyumba za kisasa, majen...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Check with seller
Infinity photo studio
WEDDING || ALL EVENTS || STUDIO PORTRAITS Creating Timeless Memories Tunatoa huduma za upigaji picha na video kwa viwango vya juu, tukilenga kukuwezesha kuhifadhi kumbukumbu za muhimu kwa njia ya kipekee na ya kisasa. Iwe ni harusi, send-off, birthday, graduation, corporate events au photoshoot za studio, tunahakikisha...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
