1 results match your search criteria
Premium listings
Premium
45.00 TZS
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325 Malipo awamu mbili miez 6&12 Miezi 6 malipo kwa week 15821 Miezi 12 malipo kwa week 10640 Karibuni sana iringa free delivery Piga 0611218325
Premium
Check with seller
kuku wa kisasa wa nyama
Nauza kuku wa kisasa wenye afya nzuri na waliokuzwa kwa chakula bora. Unapata kuku bora kwa ajili ya biashara, sherehe, au matumizi ya nyumbani. Bei zetu ni nafuu na unaweza kupata kwa rejareja au jumla. π Napatikana kihesa Iringa π Wasiliana nami kwa maelezo zaidi 0718603656 0742610610
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Tunatengeneza masofa ya kisasa
Tunatengeneza masofa ya kisasa ya aina mbalimbali tunapatikana iringa mjini Kwa mawasiliano 0624659006
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Raba Kali za Mtumba Bei Nafuu Iringa Miyomboni
Nauza raba kali za mtumba zenye ubora mzuri na bado zipo kwenye hali safi. π Napatikana Iringa Mjini β Miyomboni. Karibu ujipatie raba imara kwa matumizi ya kila siku kwa bei nafuu. Mawasiliano: 0718239676 Piga/WhatsApp kwa maelezo zaidi.
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Tunauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama wazuri, waliokuzwa kwa ubora na afya njema. Unapata kuku safi, wenye uzito mzuri na tayari kwa matumizi ya familia, sherehe au biashara ya chakula. π Napatikana Gangilonga Iringa mjini π Piga simu / WhatsApp: 0627731551, 06222155033 π Karibu uwasiliane nami kwa bei nafuu na huduma ya haraka.
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Nauza unga wa mchele
Tunauza unga halisi wa mchele usioongezwa kitu chochote kwa matumizi wa uji, mkate na vitumbua kilo moja sh 3500/= Tupo Iringa mjini mawasiliano zaidi tupigie 0658931392 mikoa ya jirani tunatuma kwa uaminifu
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Tunatoka mikopo kwa watumishi
πππ‘ππππͺπ π πππ₯π’πππ‘ππ‘ππ. π³πΊπΊππππ πππΊπππππΊ ππππππ πππΊ ππΊπππππππ ππΊ π΄π¬π¬π ππΎπππΎ πππ»πΊ ππΊπΏππ ππΊππ½π. πͺππ»ππΊ πππ
πππ πππΊπππ½πππππΊ ππππππΎ πππΊ ππππΊ ππΊ ππππ ππ. πΆπΊπππ
ππΊππΊ ππΊππ.πππΊ ππΊππ»πΊ 0620673040/0768417146. π π ππππΊ ππ πππππ»πΎ
Located: Iringa, TZ
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
masweta mazuri ya kisasa
Nauza masweta mazuri ya kisasa, yenye ubora mzuri na bei nafuu. Yanapatikana katika size na rangi tofauti kulingana na mahitaji yako. Yanafaa kwa matumizi ya kila siku na sherehe. Mahali: Iringa Mjini Wasiliana Nami: 0745395040
Located: Mafinga, TZ
Premium
Check with seller
Wauzaji wa accessories za magari
Tunauza spare zote za magari Tunauza accessories zote za magari Tunauza lubricant aina zote Tunafunga android music system Tunapatikana uhindini Iringa mjini
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza unga wa lishe
Ni unga mzuri kwa afya yako inatumika na lika zote Kuna mchangiko wa mahindi, Soya Ngano Karanga Ulezi
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza Showcase Nzuri ya Kisasa
Nauza showcase nzuri ya kisasa kwa ajili ya chumba cha wageni au ofisi. Imetengenezwa kwa mbao imara na vioo vya ubora, inafaa kwa kuhifadhia vyombo, vitabu au mapambo. Hali yake ni nzuri sana na inauzwa kwa bei nafuu. π Napatikana Iringa mjini π Piga au tuma meseji kwa maelezo zaidi 0627477686 0710574686
Located: Iringa, TZ
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
