1 results match your search criteria
Premium listings
Premium
45.00 TZS
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325 Malipo awamu mbili miez 6&12 Miezi 6 malipo kwa week 15821 Miezi 12 malipo kwa week 10640 Karibuni sana iringa free delivery Piga 0611218325
Premium
Check with seller
Nauza magauni ya Mtumba Grade A β Bei Nafuu
Nauza magauni ya mtumba grade A yenye ubora mzuri na muonekano wa kuvutia. Magauni yapo katika hali safi na yamechaguliwa vizuri, yanafaa kwa matumizi ya kila siku na sherehe. π Nipo Iringa mjini, Mashine Tatu β
Ubora wa juu (Grade A) β
Bei nafuu na maongezi yapo β
Ukifika unachagua mwenyewe Mawasiliano: Piga/WhatsApp:...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza Showcase Nzuri ya Kisasa
Nauza showcase nzuri ya kisasa kwa ajili ya chumba cha wageni au ofisi. Imetengenezwa kwa mbao imara na vioo vya ubora, inafaa kwa kuhifadhia vyombo, vitabu au mapambo. Hali yake ni nzuri sana na inauzwa kwa bei nafuu. π Napatikana Iringa mjini π Piga au tuma meseji kwa maelezo zaidi 0627477686 0710574686
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Nauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama waliokomaa vizuri, wenye afya bora na wanakua haraka. Kuku wanapatikana kwa bei nafuu na mzuri kwa biashara au matumizi ya nyumbani. Maelezo ya Ziada: β
Kuku wazima na wenye uzito wa kutosha β
Bei nafuu kwa jumla na rejareja β
Napatikana Iringa Mawasiliano: Piga/SMS: 0760812258
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Raba Kali za Mtumba Bei Nafuu Iringa Miyomboni
Nauza raba kali za mtumba zenye ubora mzuri na bado zipo kwenye hali safi. π Napatikana Iringa Mjini β Miyomboni. Karibu ujipatie raba imara kwa matumizi ya kila siku kwa bei nafuu. Mawasiliano: 0718239676 Piga/WhatsApp kwa maelezo zaidi.
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Mchele grade 1 kutoka mbeya
Karibu mchele grade 1 kutoka Mbeya kwa bei punguzo kilo ni 2000 Tunasafirisha popote ulipo Contact 0627109582 Kilo ni 2000
Located: Mbeya, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Mayai ya kisasa
Nauza mayai ya kisasa, safi na yenye ubora kwa bei nafuu. Yanapatikana kwa wingi na kwa bei ya jumla na rejareja. π Yanafaa kwa chakula cha familia π Yanapatikana kwa wingi kwa wafanyabiashara wa mayai π Ubora na uhakika wa kutosha MAHALI: Iringa Mjini MAWASILIANO: Piga/SMS/WhatsApp: 0789098984
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza furniture za bei nafuu
Furniture mpyaa za bei ndogo Makabati Vitanda Showcase #kulipia kwa hawamu uhakikaa njoo WhatsApp 0627866680 Iringa town
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Tunatengeneza masofa ya kisasa
Tunatengeneza masofa ya kisasa ya aina mbalimbali tunapatikana iringa mjini Kwa mawasiliano 0624659006
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Mashuka ya Mtumba na Bed Cover za Ubora β Bei Nafuu
Nauza mashuka ya mtumba safi na bed cover nzuri kwa bei nafuu. Ubora mzuri na wa kudumu Safi na zenye mvuto Bei nafuu kuanzia Tsh 15,000 na kuendelea Huduma: π¦ Delivery inapatikana kulingana na eneo ulilopo Mawasiliano: π Piga / WhatsApp:0762241408
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza unga wa sembe
MAMA SWAI SUPER SEMBE UNGA BORA WA MAHINDI..5KG,10KG,25KG... β
UNAFAA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI β
MIGAHAWANI β
KUUZA MADUKANI TUNAPATIKANA MASHINE YA MWEMBETOGWA INAYOTAZAMANA NA UKUMBI WA SHULE YA SEKONDARI MWEMBETOGWA.. Simu namba 0766811362. KARIBUNI SANA..
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Nauza Kuku wa sasso ni wazuri
KARIBUNI mjipatie kuku aina ya sasso wanapatikana wakuuza na kufuga wamepata chanjo wote
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
