1 results match your search criteria
Premium listings
Premium
45.00 TZS
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325 Malipo awamu mbili miez 6&12 Miezi 6 malipo kwa week 15821 Miezi 12 malipo kwa week 10640 Karibuni sana iringa free delivery Piga 0611218325
Premium
Check with seller
Mayai ya kisasa bei ya jumla
Nauza mayai ya kisasa safi na yenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu ya jumla. Yanafaa kwa biashara ya chakula, migahawa, hoteli au matumizi ya nyumbani. âś… Ubora wa kuaminika âś… Bei nafuu ya jumla âś… Upatikanaji wa kila siku Nipo Iringa, unaweza kuagiza kidogo au kwa wingi kulingana na mahitaji yako. Mawasiliano:075359...
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka pia Tunabadirisha muundo wa zamani kuwa wa kisasa kwa Bei nafuu tunapatikana iringa mjini mtaa wa zizi 0616181457
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza viatu vya Travolta
Viatu vya Mtumba Grade A Travolta Vinauzwa 🥿 Nauza viatu vya mtumba grade A vilivyo kwenye hali nzuri sana. 📍 Napatikana Iringa mjini ✅ Ubora wa hali ya juu ✅ Bei nafuu kabisa ✅ Vyote viko tayari kwa matumizi Karibu ununue kwa ajili yako au biashara. Piga/WhatsApp: 0621006724
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza mayai ya kisasa
Unataka kuwa MILIONEA? Uza MAYAI ! Anza hata na trey chache. Soko ni Kubwa. Uzia Nyumbani, Dukani, Kibandani, Gengeni... Agiza sasa kutoka KILOMBERO KUKU FARM Tsh.6,000/= @ Trey Piga 0769217810. Whatsapp 0677988499. * Makubwa ya kisasa yenye kiini cha njano. * Tupo Kilombero, Morogoro - Tanzania. * Tunasafirisha mikoa ...
Located: Morogoro, TZ
Premium
Check with seller
Mabelo ya Nguo za Mitumba Bei Nafuu
Nauza mabelo ya nguo bora za mitumba aina mbalimbali kwa bei nafuu. 👉 Ubora wa hali ya juu 👉 Bei rafiki na inayokubaliana 👉 Chaguo la mteja – mitindo na makundi tofauti Napatikana Iringa. Kwa mawasiliano na maelezo zaidi nipigie simu au tuma meseji. Simu/WhatsApp: 0716454646
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Mikopo ya biashara kuanzia milioni moja
Mikopo ya BIASHARA kuanzia Milioni moja(1,000,000) na kuendelea. Ni kwa ajili ya wafanyabiashara walio na biashara Iringa. Tunakuja kukagua biashara,na kiwango cha mkopo kitategemeana na uwezo wa biashara yako. Piga simu ili uje Benki kwetu kwa maelezo zaidi. PIGA SIMU 0612 250266-Afisa Mikopo
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Rent
Premium
Check with seller
Viwanja vinauzwa
VIWANJA VINAUZWA. ✅VIWANJA VIPO KINYANAMBO A (MIFUGO) MAFINGA IRINGA 🇹🇿. ✅VIWANJA VIMEPIMWA UKUBWA WA MITA 20 KWA 25 NA 20 KWA 20 . ✅BEI NI MILIONI TATU NA LAKI TANO PUNGUZO LIPO KIDOGO. ✅VIMEBAKI VIWANJA VITATU TU. ✅O768651525.
Located: Mafinga, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Raba Kali za Mtumba Bei Nafuu Iringa Miyomboni
Nauza raba kali za mtumba zenye ubora mzuri na bado zipo kwenye hali safi. 📍 Napatikana Iringa Mjini – Miyomboni. Karibu ujipatie raba imara kwa matumizi ya kila siku kwa bei nafuu. Mawasiliano: 0718239676 Piga/WhatsApp kwa maelezo zaidi.
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza unga wa mchele
Tunauza unga halisi wa mchele usioongezwa kitu chochote kwa matumizi wa uji, mkate na vitumbua kilo moja sh 3500/= Tupo Iringa mjini mawasiliano zaidi tupigie 0658931392 mikoa ya jirani tunatuma kwa uaminifu
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza unga wa sembe
MAMA SWAI SUPER SEMBE UNGA BORA WA MAHINDI..5KG,10KG,25KG... âś…UNAFAA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI âś… MIGAHAWANI âś…KUUZA MADUKANI TUNAPATIKANA MASHINE YA MWEMBETOGWA INAYOTAZAMANA NA UKUMBI WA SHULE YA SEKONDARI MWEMBETOGWA.. Simu namba 0766811362. KARIBUNI SANA..
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Nauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama waliokomaa vizuri, wenye afya bora na wanakua haraka. Kuku wanapatikana kwa bei nafuu na mzuri kwa biashara au matumizi ya nyumbani. Maelezo ya Ziada: âś… Kuku wazima na wenye uzito wa kutosha âś… Bei nafuu kwa jumla na rejareja âś… Napatikana Iringa Mawasiliano: Piga/SMS: 0760812258
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
