10 results match your search criteria
Premium listings
Premium
Check with seller
Nauza spare za magari
Nauza spare zote za magari makubwa ya usafirishaji wa mizigo, zikiwemo sehemu za injini, breki, suspension, body parts, mfumo wa hewa, oil filters, fuel filters, tairi, vifaa vya umeme na vipuri vingine muhimu kwa malori kama Scania, Volvo, Actros, Howo, Fuso, Hino, Isuzu na mengine mengi. Vipuri vyetu ni vya ubora wa ...
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Wauzaji wa accessories za magari
Tunauza spare zote za magari Tunauza accessories zote za magari Tunauza lubricant aina zote Tunafunga android music system Tunapatikana uhindini Iringa mjini
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Toyota passo Kali sana
TOYOTA PASSO kali sana, imetunzwa vizuri na ipo katika hali bora kwa matumizi ya kila siku. Inakuja na full AC baridi kali, cc 990 yenye ufanisi mkubwa wa mafuta na nguvu za kutosha kwa safari za mjini na za mbali. Ina mfumo mzuri wa music sound unaotoa sauti safi na ya kuvutia wakati wa kuendesha. Gari halina kipengel...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Nauza tipa ya mchanga
Nauza gari aina ya tipa ya mchanga ambalo liko katika hali nzuri na linafaa kwa kazi zote za ujenzi, usafirishaji wa mchanga, mawe, kifusi na mizigo mingine ya site. Gari lina nguvu, lina injini imara, halina matatizo ya matumizi na limekuwa likitunzwa vizuri. Tipa hii inafaa kwa kampuni za ujenzi, wachimbaji, mafundi ...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Kidumo Garage mafundi toka moshi
Dodoma , iringa ,mbeya Kidumo Garage mafundi toka moshi Kwa matengenezo ya gari yako Tunaunda body zote za magari ya mizigo 1:single 2:tandam 3;box body 4:tiper 5:canter 6:Tunakata longbase kuwa tipper Tunapatikana dodoma mjini nyuma ya ofis za machame Tembelea page yetu instagram kidumo garage kuon kazi zetu Tupigie 0...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Shughuli za matrekta na kilimo
HGT Iringa Offices ipo Iringa Mjini na inatoa huduma bora za kilimo, ikiwemo mauzo na usambazaji wa matrekta, mashine za kilimo, na vifaa vya mashamba kwa wateja wa jumla na wa rejareja. Kampuni yetu ina uzoefu mkubwa katika sekta ya kilimo mseto, ikihakikisha wateja wanapata matrekta na vifaa vya hali ya juu vinavyosa...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Nauza Toyota Rash kwa bei ya Milioni 6.3
Nauza Toyota Rash kwa bei ya Milioni 6.3. Gari ipo Mafinga, ipo katika hali nzuri, tayari kwa kuendesha. Kwa maelezo zaidi au kuja kuangalia gari, tafadhali wasiliana nami kupitia simu au WhatsApp 0752 555 884. Pata gari bora kwa bei nafuu, huduma ya haraka na ya kuaminika. Tuna uhakika utapendezwa na gari hii Toyota R...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Wauzaji wa accessories za magari
Tunauza spare zote za magari Tunauza accessories zote za magari Tunauza lubricant aina zote Tunafunga android music system Tunapatikana uhindini Iringa mjini
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza spare za magari
Nauza spare zote za magari makubwa ya usafirishaji wa mizigo, zikiwemo sehemu za injini, breki, suspension, body parts, mfumo wa hewa, oil filters, fuel filters, tairi, vifaa vya umeme na vipuri vingine muhimu kwa malori kama Scania, Volvo, Actros, Howo, Fuso, Hino, Isuzu na mengine mengi. Vipuri vyetu ni vya ubora wa ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Nauza pikipiki namba C
Nauza Pikipiki Boxer 125 Namba C Iringa | Bei Poa Sh 850,000 Pikipiki hii ni Boxer 125 yenye namba C, ipo tayari kwa matumizi ya kila siku. Bei ni nafuu sana, Sh 850,000 tu. Pikipiki ni nzuri, imetunzwa kwa weledi, haina matatizo, na ni chaguo bora kwa yeyote anayehitaji usafiri wa haraka na wa kuaminika Iringa Mjini, ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
nauza pikipiki boxer used
Nauza pikipiki aina ya Boxer iliyopo katika hali nzuri, imetunzwa vyema na ipo tayari kwa matumizi ya kila siku mjini au kwa safari za mbali. Pikipiki hii ni ya kipekee kwa sababu ina injini yenye nguvu, inatoa mileage nzuri ya mafuta, na ni rahisi kudhibitiwa hata kwenye mitaa yenye foleni au barabara ngumu. Ni chaguo...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
6000000.00 TZS
Tunanunua na kuuza bajaji
TUNAUZA NA KINUNUA BAJAJI USED ..Full document* ..Price/bei-6,000,000/= ..Location~Dar es salaam~Mbagala โ๏ธCall & WhatsApp:0694048469๐ Mikoani Tunatuma Kwa Uwaminifu Mkubwa ๐๐ฝ๐๐ฝ
Located: Mbagalla, Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
