1 results match your search criteria
Premium listings
Premium
45.00 TZS
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325 Malipo awamu mbili miez 6&12 Miezi 6 malipo kwa week 15821 Miezi 12 malipo kwa week 10640 Karibuni sana iringa free delivery Piga 0611218325
Premium
Check with seller
TANGAZO LA KAZI
We are Hiring! HR Coordinator --- Why Join Us? At Ramada Hotel, we believe our people are our greatest asset. This role offers the chance to develop your HR career in a supportive, international hospitality environment, while making a meaningful impact on employee engagement and organisational success. --- About the Ro...
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Tunakopesha na kuuza simu aina ya Samsung
TUNAKOPESHA NA KUUZA SIMU AINA YA SAMSUNG NDANI NA NJE YA IRINGA VIGEZO 1. VITAMBULISHO KATI YA NIDA, MPIGA KURA AU LESENI YA UDEREVA 2. NAMBA AKO YA SIMU 3. KIANZIO A05 Gb 64/4 Cash -365K A06 128/4gb Kianzio-120,000Tsh Weekly -11,475 Cash-470,000Tsh A05S 128/4gb Kianzio-120,000Tsh Cash -450,000Tsh A16128/4gb Kianzio-1...
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Rent
Premium
Check with seller
Magauni ya Mtumba Bei Nafuu โ Safi na Bora
Nauza magauni ya mtumba ya kike yenye ubora mzuri na muonekano wa kisasa. Magauni yapo katika hali nzuri, safi na yanapatikana kwa bei nafuu sana. โก๏ธ Aina mbalimbali za magauni (short, long & casual wear) โก๏ธ Ubora mzuri โ yanavaliwa muda mrefu โก๏ธ Bei nafuu inayokufaa Mahali: Iringa mjiniโ Kitanzini Wasiliana Nasi: ...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
masweta mazuri ya kisasa
Nauza masweta mazuri ya kisasa, yenye ubora mzuri na bei nafuu. Yanapatikana katika size na rangi tofauti kulingana na mahitaji yako. Yanafaa kwa matumizi ya kila siku na sherehe. Mahali: Iringa Mjini Wasiliana Nami: 0745395040
Located: Mafinga, TZ
Premium
Check with seller
Nauza spare za magari
Nauza spare zote za magari makubwa ya usafirishaji wa mizigo, zikiwemo sehemu za injini, breki, suspension, body parts, mfumo wa hewa, oil filters, fuel filters, tairi, vifaa vya umeme na vipuri vingine muhimu kwa malori kama Scania, Volvo, Actros, Howo, Fuso, Hino, Isuzu na mengine mengi. Vipuri vyetu ni vya ubora wa ...
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza Showcase Nzuri ya Kisasa
Nauza showcase nzuri ya kisasa kwa ajili ya chumba cha wageni au ofisi. Imetengenezwa kwa mbao imara na vioo vya ubora, inafaa kwa kuhifadhia vyombo, vitabu au mapambo. Hali yake ni nzuri sana na inauzwa kwa bei nafuu. ๐ Napatikana Iringa mjini ๐ Piga au tuma meseji kwa maelezo zaidi 0627477686 0710574686
Located: Iringa, TZ
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza unga wa mchele
Tunauza unga halisi wa mchele usioongezwa kitu chochote kwa matumizi wa uji, mkate na vitumbua kilo moja sh 3500/= Tupo Iringa mjini mawasiliano zaidi tupigie 0658931392 mikoa ya jirani tunatuma kwa uaminifu
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Tunatengeneza masofa ya kisasa
Tunatengeneza masofa ya kisasa ya aina mbalimbali tunapatikana iringa mjini Kwa mawasiliano 0624659006
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza unga wa lishe
Ni unga mzuri kwa afya yako inatumika na lika zote Kuna mchangiko wa mahindi, Soya Ngano Karanga Ulezi
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza kuku wa Sasso wa ubora wa juu
Wauzaji wa kuku na vifaranga Bora vya sasso Washauri wa kitaalamu na wafugaji wa mabanda ya kuku Tunatumia mpaka mikoani
Located: Ismani, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
